Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Kwa kweli mm acha niseme ukweli nasema ukweli kabisa, mwaka huu ccm imepita katika wakati mgumu sana lkn watashinda hivyo bac nafikiri watajifunza kutokana na makosa,sasa kwa upande wa Dr Slaa na Lipumba mm nawapa hongera sana,kwa maamuzi magumu, nawaomba wahamie Act CC tutawapa kura mwaka2020,kwani nyinyi mmeonyesha kweli mnataka mabadiliko ya kweli lkn hii chadema ya sasa au ukawa wao wanataka mabadiliko ya bandia sio halisi,kwa kweli nimewakubali.

Huo uhakika wa wao kushinda unaupata wapi!? Baki na ccm yako acha unafiki!
 
Ningemshauri Dr. Slaa ajiunge na ACT, wana maono yanayofanana. Safi mzee!
 
Hv ukiambiwa ulete ushahidi walau wa voice note akiwa anatupiwa vitu nnje hv utakua nao kwel.?

Ushahidi ??? Mimi nakaa kwa Slaa? Kawaulize walize Walinzi waliokuwepo kwake usiku ule??? Hivi kweli mwanaume kidume mwanamke anakulaza kwenye gari?? Na wewe ndio unataka uwe the next president?? Yaani Josephine yule ndie awe final say??
 
ZZK na Dk. Slaa ni wasaliti wa MABADILIKO waliamua kuunda ushirika katika uovu...."Bakutano ba Walozi"

Sasa kwa taarifa yako, hii ndo timu itakayokuletea wewe mabadiliko unayoyataka. Lipumba nae ajiunge nao! Nawaomba Slaa na Lipumba wajiunge na kijana mzalendo Zitto kutuletea mabadiliko ya kweli maana mpaka sasa wao wamejichuja na wenye vigeugeu.
 
Ushahidi ??? Mimi nakaa kwa Slaa? Kawaulize walize Walinzi waliokuwepo kwake usiku ule??? Hivi kweli mwanaume kidume mwanamke anakulaza kwenye gari?? Na wewe ndio unataka uwe the next president?? Yaani Josephine yule ndie awe final say??
Ukawa wachache sana wenye akili, wewe ni mmojawapo wa wengi ktk wana ukawa.
 
Wanahaki yakua wasaliti kwakua waliopokelewa chadema ni mafisadi waliowanadi Tz nzima, nawezakusema wale c waleta mabadiliko bali wanataka kuitenganisha Tz kwakuleta ukabila na udini. Nawapa big up sana @Dr slaa, @Plof Lipumba na Zitto hawa ndo mashujaa wa siasa👈👊
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau

Dr Slaa akienda ACT-Wazalendo, naamini baada ya 25 Oktoba 2015 chama hiki kitachukua sura mpya ktk siasa za Tanzania.
 
lowassa na sumaye wana sifa zinazofanana na zile zile za watanzania wapenda mabadiliko, wanaoichukia ccm na kazi zake zote za kishetani! Huwezi kuwafananisha na hao zitto na dr.w.slaa ambao wamejipambanua kama wapinga mabadiliko na tanzania yote inawafahamu kama vibaraka wa ccm.
wana sifa zinazofana za wizi wa mali za umma
 
Bravo Daktari Slaa...lakini nijuavyo UKIMYA ni silaa nzuri sana.Watu wengine hawampendi Dr.Slaa hivyo tuiombe Serikali impatie ulinzi ie tuwe na kikosi maalum cha kumlinda Dr Slaa na wajengewe nyumba zao karibu na nyumbani kwa Slaa Dr.
 
Mungano huu hauna madhara kwa ukawa, dr. slaa hana jipya. zzk amepima faida na hasara kwake?
 
Wanamfanyia nani kampeni


Hawa wote wanafadhiliwa na ccm ili kuudhoofisha nguvu ya mabadiliko na watakuwa wanamfanyia makomeo kampeni kichinichini. But if you don't want to change changes will change you.
 
aliyekuwa katibu mkuu wa chadema dk.wilbroad slaa, na kiongozi mkuu wa chama cha act wazalendo ndg.zitto kabwe wanatarajia kupanda jukwaa moja sasa kwa ajili ya kufanya kampeni.

Karibuni wadau
wote wafanya biashara za siasa, ogopa chama kinacho tegemea nguvu yanmtu mmoja ,ogopa chama kinacho fuata au kusikiliza maoni ya mwenye mali yake act sio chama cha demokrasia wote hao mslaa na zzk makapi ngoja wafanye wawezavyo ila wajue mwisho october uchaguzi ujao chama hicho hakifiki
 
Lowassa na Sumaye wana sifa zinazofanana na zile zile za watanzania wapenda mabadiliko, wanaoichukia CCM na kazi zake zote za kishetani! Huwezi kuwafananisha na hao Zitto na Dr.W.Slaa ambao wamejipambanua kama wapinga mabadiliko na Tanzania yote inawafahamu kama vibaraka wa CCM.
Wanaichukia ccm baada ya kukatwa? wee jamaa jinga sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom