Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Mkuu Tuntemeke, hii mada kwa kuwa inamtaka Dr. Slaa aijibu, nadhani ulikuwa na njia nyingi z kumpata kwanza ikiwemo twitter, fb, au hata kwa simu au kufika ofisini.

Kama umeshindwa zote basi jaribu ku-PM. Akishakujibu ndo uje utuwekee hapa jukwaani habari yenye mizania.

natumaini hata kama umesoma MEMKWA utakuwa umenielewa
 
Nenda kamuemail kumbe ni ishu yenu wawili mwaweza maliza!
 
Huu ni ufisadi wa hali ya juu, hizo ni fedha zetu walipa kodi.

Sasa huyo akipewa Urais itakuwaje? asahau Urais hata aende mashariki na magharibi. Na nyie magwanda mnaojidai mnapinga ufisadi, huu mnauitaje?
 
Nashangaa watu mnaopoteza muda wenu mwingi kumjadili Slaa na kimada wake hapa. Slaa is past kwenye ulingo wa siasa. Ni kama mstaafu au mfu kwenye siasa. Sasa hivi tuwajadili watu kama akina Makamba, Mwigulu,Zitto, Mnyika, Kafulila na wengineo wenye impact kwenye siasa zetu kwa sasa na kwa baadaye.
 
watu wengine wanashangaza! kwani kudaiwa jambo la ajabu??? jiulize serikali yako chini ya dhaifu inadaiwa trillion ngapi na zilifanyia nn? kwani dr. amekataa kulipa au ule muda wa deni umepita? tena wewe tumtemeke toa avatar hii ya koffi Anan unamuabisha unavochemka na kujiaibisha, you are an inconpoop!!
 
mimi naona tukujadili wewe kwanza! unafanana sana na avatar yako
 
Kumbe kujikopesha ruzuku ya chama ni ruksa? Kutokana na comment yako tukiita CDM ni SACCOS tutakuwa tupo sawa kabisa.
 
Je watu wa aina ya Tuntemeke wanahitajika katika siasa za kisasa za leo? Je wananafasi ya kuiona pepo au?

Yericko
Watu kama Tuntemeke ni muhimu sana kwenye siasa si kwa Tanzania tu duniani pote huku tulipo wanaitwa whistleblower ni watu tunawahitaji sana kwenye kuanika machafu ya viongozi wazandiki kama Dr. Slaa na mafisadi wengineo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama Dr amekopa na data unazo wewe inakuuma nini au ulitaka aibe kabisa , kumbuka kwamba deni halimfungi mtu , tafuta jambo la maana ulete hapa.
 
Chama cha siasa kinakopwa? huo ni wizi wa waziwazi!

Ina maana kuna nyingine hatuzijui.
TUNTEMEKE vipi software mpya ya bi Josephine huko? bado inatoa mapato "0"?

Kwi kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:
Chama cha siasa kinakopwa? huo ni wizi wa waziwazi!

Ina maana kuna nyingine hatuzijui.
TUNTEMEKE vipi software mpya ya bi Josephine huko? bado inatoa mapato "0"?

Kwi kwi kwi kwi.
Siasa za kizamani mpaka sasa hivi bado mnascan hivyo vielelezo? Hata wewe unashabikia uwongo vipi lakini !! Joyce wetu anatangaza tamko la ziwa malawi au kamwachia mwamba wa kaskazini mamvi aitangaze
 
Siasa za kizamani mpaka sasa hivi bado mnascan hivyo vielelezo? Hata wewe unashabikia uwongo vipi lakini !! Joyce wetu anatangaza tamko la ziwa malawi au kamwachia mwamba wa kaskazini mamvi aitangaze

Angekuwa Slaa rais si angeshachukuwa mkopo Malawi akasepa kimya kimya! Mungu huwa hatoi cheo cha Urais hivi hivi ana vigezo vyake!
 
Angekuwa Slaa rais si angeshachukuwa mkopo Malawi akasepa kimya kimya! Mungu huwa hatoi cheo cha Urais hivi hivi ana vigezo vyake!
Mnasubiri mwamba wa kaskazini awafanyie maamuzi mlikuwa mnafikiri urais ni kuserebuka Ngoma kipigo kinakuja muibe Kama kawaida yenu kwa kisingizio cha vita
 
Let's assume ni kweli Slaa kakopa hizo hela. Atarudisha, tatizo liko wapi? Hivi anayekopa ni sawa na anayeiba?
 
Kwani wewe ndiyo Chadema? Acha mambo yasiyokuhusu kwani chama kinaelewa kila kitu!!!
 
Mnasubiri mwamba wa kaskazini awafanyie maamuzi mlikuwa mnafikiri urais ni kuserebuka Ngoma kipigo kinakuja muibe Kama kawaida yenu kwa kisingizio cha vita

Mh. Sitta alishatanguliza kauli ya serikali, mh. Membe alitoa tamko rasmi, Lowasa aliiongezea tu; sumu ya ukabila inawatesa Chadema na mtakufa nayo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mh. Sitta alishatanguliza kauli ya serikali, mh. Membe alitoa tamko rasmi, Lowasa aliiongezea tu; sumu ya ukabila inawatesa Chadema na mtakufa nayo

Chama
Gongo la mboto DSM
Ogopa Lowassa Mwamba wa Kaskazini wenye uwezo wa kuijenga au kuibomoa CCM Mleteeni Ufala wenu wa kuserebuka mchiriku muone moto wa petroli
 
Ogopa Lowassa Mwamba wa Kaskazini wenye uwezo wa kuijenga au kuibomoa CCM Mleteeni Ufala wenu wa kuserebuka mchiriku muone moto wa petroli

ahaha haaaaaaa kama ni mwamba kwenu CCM ngoma nzito uliza uambiwe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…