makundi4619
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 486
- 141
mbona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?Issue za slaa zinakuhusu nini wewe nani ndani ya CDM kalalamika pelekeni huo umbeya wenu wa lumumba kwa nape
Slaa ndiye anayekusanya kodi ya hii nchi Pambaf lazima ya ccm yasemwe kwasababu kodi yetu inaibwa na serikali yakembona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?
Kweli leo hii unaongelea kuua upinzani? Umekufa mawazo kabisa. Kama ingekuwa ni kukata tamaa inapaaswa kuondoa ccm maana miaka 50 lakini utasema imeanza jana. Pia kwa taarifa yako ccm inakuwa wapinzani soon.Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
na hizo alizo jigawia zimetoka wapi? Si kwenye kodi?Slaa ndiye anayekusanya kodi ya hii nchi Pambaf lazima ya ccm yasemwe kwasababu kodi yetu inaibwa na serikali yake
mbona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?
Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
na hizo alizo jigawia zimetoka wapi? Si kwenye kodi?
Na wewe ka-edit pale unapomwita Kamada wa ukweli. Ni kamandaMkuu wangu TUNTEMEKE edit hapo kwenye Sh140 halafu twende sawa Kamada wa ukweli.
Chadema bwana mna matatizo tena siyo madogo, we unatukana tu hata huja argue kwa evidence ili mradi tu kaguswa huyo jamaa yenu basi mnatusi. tatizo ni hiyo mbegu ya chuki mliyopandikizwa vichwani mwenu nd' maana watu wenye akili zao wanawasikiliza na kuwapembua baadae wana wadampu.... shukruni kwa vile hatutumii ID za ukweli lakini bila hivyo watu tungetafutana huku mtaani! tuwe wastaraabu...Vunjavunja
Re: Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA
Wewe mpuuzi sina mda wa kusoma hoja zako wewe mweu tu, huna jipya.
Aaaaah mkisha kamatwa pabaya mnakujaga na matusi .issue za cdm zinanihusu Kama Mimi mwananchi wakawaida lazimaNijue uadilifu wa huyu padre nitakaetaka kumchagua iyo 2015 Kama atagombeaIssue za slaa zinakuhusu nini wewe nani ndani ya CDM kalalamika pelekeni huo umbeya wenu wa lumumba kwa nape