huyu mzee anatapatapa.kwa kweli me namheshimu dr slaa kwa uzee wake,taaluma na busara alizonazo LAKINI naomba kumuuliza maswali machache.
.
1.kwanini alikwepa kwenda ikulu pamoja na timu ya chama kumuona rais abt katiba.
2.kwanini pale tabata nyumbani kwa kina Rejia alimkwepa rais alipoenda kutoa pole.
3.kwanini alimkwepa rais pale ifakara?watanzania sio wajinga.huu utetezi alioutoa hapa ni wa kitoto, si wa katibu mkuu wa chadema
4.atuthibitishie ni kweli kabisa hana chuki ya asili?
5.kwanini ana ng'ang'ania hata vitu visivyo na maana,kwanini hapendi kukosolewa na hapendi yaishe tusonge mbele.
NTASHUKURU DR KUPATA MAJIBU MAZURI.NAKUTAKIA AFYA NJEMA
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
usalama wa taifa na rais ndo walikuwa incharge pale makaburini. kwa mfano kikwete alitoa ushauri (amri) kuwa viongozi wa chini kama mwenyekiti wa halmashauri na yule wa kitongoji wapewe nafasi ya kuweka mashada kwa niaba ya wenyeji badala ya viongozi wa kitaifa tu.Babu anapenda sana kuwatajataja usalama wa taifa au ni mwenzao nini.naanza kupata hofu apa.hebu pia anifafanulie hili.
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.
Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?

Mkuu Dr. anasema alionyeshwa na watu wa usalama ili akae alipokaa. Sasa kama kulikuwa na kiti hicho ambacho kimantiki kilikuwa cha Dr. Slaa na hao watu wa usalama wakamwambia akae kwingine, basi Dr. Slaa anataka kutuambia kuwa watu wa usalama ndio waliomweka mbali na Rais au?
Wasalimiane ili iweje? Salamu zao zinatatua nini Kati ya haya
1. Umeme Juu 40%
2. Inflation Juu 19%-30%
3. Tz ni nchi ya ya Tatu kwa kuongoza kwa umaskini duniani
4. Tz nchi ya 3 kwa kuzisha Madini na ya 3 kwa umaskini duniani
4. Tz nchi ya mwisho kwa miundo mbinu ya Barabara kwa nchi za East Africa
5. Maisha ya mtanzania wa kawaida ni utata mtupu.....
6....
7....
8....
Unaweza ongeza orodha hiii...
Haya ndio mambo ya msingi ya kuzungumza na Sio kusalimiana kwenye misiba.... Period
mbona dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.
Hivi ni kweli kabisa kwamba dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?
ni kweli mkuu rais ndie angetakiwa amfuate dr. kumsalimia lakini halazimishwi naye pia anaongozwa na wanausalama na si kweli kuwa rais anatapatapa kutaka kusalimiwa na dr.haya ni maneno tu ya wazushi ambao wanataka kumbambikia maneno rais wetu.ukweli ni kwamba kuna uwezekano hata rais hakumuona dr. kwa jinsi jiografia ilivyokuwa. rais wetu alionyesha heshima kubwa kwa kuja kumzika kamanda regia.kule tabata slaa na zito hawakuwepo alipofika kikwete walikuwa makao makuu wakiratibu mipango kwa upande wa chamaKwa nini unadhani ilikuwa LAZIMA aende? isitoshe, kwenda ikulu ni kwa mwaliko. Una UHAKIKA kuwa alikuwa na mwaliko?
Again, kwa nini unadhani alimkwepa? do you think seriously kuwa kila mwananchi anaweza kusalimiana na Raisi anavotaka? Ni nani wanaoratibu watu wa kuslimiana na Rais kwenye shughuli kama hizo? Kwa nini Rais asimsalimie Dk, Slaa ambaye nduye aliyefiwa 'zaidi'? Ukienda msibani, mwenye msiba anakuja kukusalimia au wewe ndo unamfata aliyefiwa kumsalimia?
Soma no 2 hapo juu...the same story
Chuki ya asili ni ipi an isiyo asili ni ipi hapa?
Sidhani kama kuna kitu ameng'ang'ania.If anything, he has given his best for the benefit of this country., wanaong'ang'ania ndo hao wanaotapatapa kutaka kusalimiwa misibani!
huyu mzee anatapatapa.kwa kweli me namheshimu dr slaa kwa uzee wake,taaluma na busara alizonazo LAKINI naomba kumuuliza maswali machache.
1.kwanini alikwepa kwenda ikulu pamoja na timu ya chama kumuona rais abt katiba.
2.kwanini pale tabata nyumbani kwa kina Rejia alimkwepa rais alipoenda kutoa pole.
3.kwanini alimkwepa rais pale ifakara?watanzania sio wajinga.huu utetezi alioutoa hapa ni wa kitoto, si wa katibu mkuu wa chadema
4.atuthibitishie ni kweli kabisa hana chuki ya asili?
5.kwanini ana ng'ang'ania hata vitu visivyo na maana,kwanini hapendi kukosolewa na hapendi yaishe tusonge mbele.
NTASHUKURU DR KUPATA MAJIBU MAZURI.NAKUTAKIA AFYA NJEMA.
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.
Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?
Namnukuu Dr. Slaa kama ifuatvyo: "Mimi sipendi kuweka siasa kwenye mambo kama ya msiba, Dk Slaa siyo kichaa siyo kichaa aanze kukimbia kumsalimia Rais. Katika sehemu kama ile Rais huwa anakuja baada ya watu wote wakiwa wameshakaa, yeye ndiye hupita na kuanza kusalimia watu na hamjaona hata sehemu moja aliponyoosha mkono kunisalimia nikamkwepa,"
My take: Uelewa na IQ ya Dr. Slaa ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba alijua mapema kwamba kwenda ikulu kufanya mazungumzo na Rais Kigeugeu kama JK kungukuwa kuwavimbisha vichwa akina: Hojatete, FF, MS, Rejao, Kimbunga, na Ritz1