hivi ni lazima kusalimiana?? mbona sioni sehemu ikisema JK hakumsalimia Slaa??
Upuuzi wa Mtanzania wa leo, inflation juu, sie tuko bize kuangalia nani kamsalimia nani
Zitto ni mbunge na aliyefariki ni mbunge hivyo alipangwa kukaa banda la bunge na spika,naibu na mbowe ambao wote ni wabunge pia.....Dr sio mbunge...fuatilia maelezo ya Dr vizuri....hicho kiti kitupu pembeni ya Zitto kiko wapi?
Mhariri wa Mwananchi aitwae Dennis Msaki ni swahiba mkubwa wa Zitto Kabwe so udaku kama huu si ajabu kuandikwa na Mwananchi
Ili kuilinda hadhi ya jukwaa la siasa mimi nasubiri ihamishiwe panapostahili ndipo nichangie na kama itaendelea kubaki hapa nami nitadai haki yangu, haki hauletewi kwenye kisahani cha chai, haki inadaiwa,Kaka bado unayo tu?
Ah tusifike huko bana, ngoja kwanza na hii isogezesogeze page kama ile yako afu tutaitupia panapobidi.
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
hii picha haikupigwa makaburini bali uwanjani ambako regia aliagwa na kufanyika misa ya kumuombea na hilo hema liliwekwa maalumu kwa wabunge na watumishi wa bunge.dr. slaa na viongozi wengine walikuwa hema lililotazamana na hilo.aidha rais kikwete hakuja uwanjani bali alikuja makaburini. kiti kilicho wazi ni cha spika kwani picha hii ilipigwa wakati madam spika alipotoa salamu za rambi rambi.
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.
Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?
acha kuwa mzito wa kuelewa wewe. Ameshasema kwamba Mheshimiwa Mbowe na Zito walipewa kiti cha karibu na rais kwa kuwa ni viongozi wa kambi ya upinzani bungeni, sasa Slaa ni nani bungeni?Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
kweli mkuu hapo zito hahusiki. ni kweli mimi zito huwa kuna mambo huwa simwelewi sana lakini mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.sasa hapo mbunge wetu kahusikaje? Inaonesha Chuki yako kwa Zitto ni Kubwa sana kiasi kwamba uwepo wake hapa Dunian ndo kero yako kubwa sana kwa sasa!,