Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 846
Nyie nyumbu juzi tu mlikuwa mnamtukana yeye na familiayake...leo mnasema anarudi?? Wanafiki wakubwa nyie
Hahaha huwiiii; watu bwana c Mchezo
Nyie nyumbu juzi tu mlikuwa mnamtukana yeye na familiayake...leo mnasema anarudi?? Wanafiki wakubwa nyie
Peoplessssss
Peoplessssss
Sawa.
BACK TANGANYIKA
Mwambieni Edward Lowassa "akafanye " Mazungumzo na Josephine Mushumbuz nawahakikishia Siku inayofata mtamkuta Dr.anasubiri Mlinzi aje afungue Geti aingie Ofisini.
Wewew TataMadiba umemeza malimaooo yateme basi uongee vizuri maana unashabikia sana magazeti ya udaku kama vile mdaku original. Jiunge na Team wema mkapambe magazeti ya udaku.Tumaini MAEKENE afisa propaganda wa CHADEMA anazidi kuwafariji siyo?
Mimi ni deleva wake...mpaka sasa yuko nyumbani anaangalia tamthilia