Dk Slaa hajakomaa kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlanguzi, Jul 16, 2012.

 1. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

  2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
  3)Desmon Tutu?
  4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

  Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Join Date : 15th July 2012
  Posts : 82
  Rep Power : 317
  Likes Received 3
  Likes Given 0


  KWELI WEWE HAMNAZO YAANI HUELEWEKI. POST YAKO HAIELEWEKI KICHWA AU MIGUU WAPI IPO.

  KAJIPANGE UPYA
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,738
  Trophy Points: 280
  Mlanguzi, hebu tudokezee ratiba yenu ya mzunguko wa pili wa uchomaji makanisa huko zenji.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi yule geni wa Afande Kova, Joshua Muyungi, bado yuko kule Mambo ya Ndani Makao Makuu anendelea tu kupiga mzigo kama kawaida na damu ya Dr Ulimboka mikononi?
   
 5. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu. mbona unajali sana makanisa kuliko mashrika ya UMMA? jee ofisini ulipo unatumikia taifa au upo kikanisa?
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ni swali hilo!!!!

   
 7. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaoenekana watanganyika mnapenda sana makanisa kuliko hata ofisi za umma
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Siwafahamu watu hawa, ni akina nani hawa maana haya majina hayajawahi kuwepo duniani
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  nini hiki??
   
 10. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahhaa. hata wewe msomi? ukibadilishiwa sentence unafeli? hapa ndipo napoona udhaifu wa NECTA
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

  Mimi kama mimi basi Slaa atakufa njiani akipata misukosuko kama ya hao uliowaandika ,ule umri alio nao na afya yake inaonekana kabisa hahimili vishindo !
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,738
  Trophy Points: 280
  Kwani na mashirika ya umma yamo kwenye ratiba yenu wana uamsho?
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Kha, kumbe weye twatokea wote Wete? mie natokea pale pale kama nilivyoandika hapo kwene Id yangu, weye wa wapi?
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Necta ni nini kumbe Shehe, mie napenda sana urojo!!! Nipo hapa kijito upele naelekea Bwawani
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Huna maana!
   
 16. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kutelekeza familia na kupora wake za watu ndio tunachojivunia
   
 17. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kutia sign mikataba mibovu? inayoyumbisha taifa?
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

  Mimi kama mimi basi Slaa atakufa njiani akipata misukosuko kama ya hao uliowaandika ,ule umri alio nao na afya yake inaonekana kabisa hahimili vishindo !
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wewe ni yupi hapa?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  ......
  Unaumwa lakini unabisha kuwa huumwi!!

  Sasa hao penye red ndiyo kina nani?


  Penye green, Rudia tena mwenyewe kusoma...then tuambie unaelewa?  Utabisha tu, lakini yakhe we umepinduka!
  .....
   
Loading...