Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Join Date : 15th July 2012
Posts : 82
Rep Power : 317
Likes Received 3
Likes Given 0

Mamluki utawajua tu, siku moja na nusu, post zapata 100, almost zote za kidini.
 
Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

....




.......



u Kova.....Selemani!


Lipi lilio wazi kuweni wazi ....

Kwamba CCM inataka kumfunga Slaa kama walivyofungwa kina Mandela?

Au Kuwa maalim seifu ni kidume kwa sababu ana sunna ya Ndevu!?..






.......
 
Ooh,masahibu ya kuvunjwa mkono aliyoyapata LIPUMBA enzi za mkapa ,angekua slaa angeshabwaga manyanga loooong time,huyo mzee alishazeeka sana asingemudu KASHIKASHI hizo.amshukuru JK ni msitaarabu sana anajaribu kumlinda babu yetu.
 
Alafu kajitu kenyewe kanachosema hivi unawez kukuta hata hajawahi kuwa kiranja wa darasa achilia mbali cheo chochote kwenye tawi la chama..
 
Unaweza kunambi makanisa mangapi hivi yanaongozwa na mashoga duniani na ile ziara ya uponyaji inaendelea wapi nahic tumbo langu linaniuma?

Hakuna kanisa linaloongozwa na mashoga. Ushoga ni dhambi na hata mwenyezi Mungu aliipiga kibiriti Sodoma na Gomora kwa uchafu huu, kama kuna taasisis yoyote inaongozwa na mashoga basi hilo siyo kanisa tena liite chochote utakacho, ni sawa ni kuulize waislamu wangapi wanakula nguruwe, jibu liko wazi kuwa hakuna Muislamu anayekula nguruwe, kama kuna watu wana majina ya kiislamu wanakula hiyo kitu basi hao wameshakosa sifa ya kuwa waislamu.Kama una maradhi ya tumbo nenda hospitalini.
 
jee anaweza kuwa kama maalim seif shariif- alieratibu mfumo wa vyama vingi hadi kufikia hapa tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa vyama vingi. Asilimia 80 ni zanzibar ambapo harakati za maalim seif zilianza hadi kufikia hapa

2)anaweza kustahamili vishindo kama mandele wakati wa utawala wa makaburu?
3)dosmon tutu?
4)raila odinga na utawala mbaya wa daniel arap moi?

Lipi hasa ukiondoa mkutano wa mwembe yanga ulimfanya dk slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia silaha nztio kama za makaburu afrika ya kusini na ya maalim seif huko zanzibar ?
hivi huyo hapo kwenye nyekundu si amekubali kuolewa na ccm, unafikiri watu kama wakina mandela wangekubali kuolewa ingekuaje!
Huyo mtu hayupo tena ni mke wa mtu!
 
Watu kama akina besigye na yule wa zimbabwe ,hao kweli wapambanaji.
Hapa kuna siku walianzisha OCCUPY UNGA LTD pale Arusha madukani ,basi mie nikajua mambo ya Tunisia tayari.niliingia humu jf tambo nilizokuta nikajua sasa The revolution is here here.slaa alikua frontline.
Ilikua usiku nikalala ,saa kumi usiku nikaamka na kulog in jf kujua development ya story.
Walah,mda huo kumbe ffu ndo wanasambaza watu pale ungaLTD.
Yaani within ten second hamna cha occupy wala nini.
Hawa watu kwa majigambo ni wazima haswa BUT ACTION ZERO.
 
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELE wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Dosmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?

Unampenda sana huyo Seif eeh, hueleweki unasema nini acha porojo zako dhaifu hapa ni wasomi wanajadili mada
 
Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

Mimi kama mimi basi Slaa atakufa njiani akipata misukosuko kama ya hao uliowaandika ,ule umri alio nao na afya yake inaonekana kabisa hahimili vishindo !

wewe unahimili tukupe? Kwani anaenda kulima?
 
Wewe kweli Mlanguzi, manake hata kuandika vizuri hujui, nahisi hata kusoma hujui pia!. Hizi ndo shida ya shule za kata!
 
Nilifikili unataka kujenga hoja kumbe unataka kutupigia propaganda.Sisi wengine tulishafanya maamuzi kwamba Dr Slaa safi na anafaa kwa mazingira ya nchi yetu.Lakini kama wewe unamwona Maalim Seif Anafaa kwa sababu ulizotoa Muunge mkono tu kwenye nafasi ya Uraisi bara na mpigie kampeni kwa vigezo unavyoamini.Sisi hatupendi vitu vya kufikirika eti Dr ingekuwa hivi angefanyaje? Hizo ni habari za speculative.Tunamuunga mkono Dr Slaa ni mwanasiasa aliyeiva.
 
Wewe naona ni mingoni wa walioamka na pombe mlizokunywa kabla ya kuvamia mkutano wa CDM kule Ndago hakuna ulichoandika.
 
Back
Top Bottom