Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?

Kwani magamba nani kakomaa kisiasa zaidi ya kukomaa kifisadi?
 
Huyo Slaa hata siasa haijui, mwenye kuijuwa siasa hawezi kuwa na siasa majitaka.
 
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?

Nakubaliana na wewe kwamba Dk.slaa hawezi kuwa kama maalim Seif.Hawezi ku-bargain damu ya wapigania haki na cheo au ulinzi wa kusimamia mihadarati.Hawezi kufanya jitihada zote kupigania kuwa msimamizi wa KMKM.

Hapo kwa Raila Odinga: Dr Slaa ni powerful na anafanya kazi kilichopo tumuunge mkono kama Raila Odinga alivyoungwa mkono na vijana wengi ambao asilimia kubwa waliji-organize wenyewe hata nje ya party platform.Subiri mziki ndiyo unaanza kuelekea 2015 itakuwa ni historia Tanzania na Africa

Raila Odinga nakubali ni Bingwa wa siasa za kimapambano lakini ni lazima tulinganishe nature ya watanzania na wakenya.Dr Slaa kuweza kuchangamsha siasa za upinzani kunzia Bungeni na hadi unapoona sasa ni achievement kubwa kwa jamii iliyokuwa inaona upinzani kama uhaini.Slaa na CHADEMA team kwa ujumla wanastahili pongezi

Forget what sentiments you have against the man. Clearly on achievements, he remains a truly nationalistic patriot.The first ever public attempt against corruption was his 'Mwembe Yanga List of Shame declaration'.You cannot write the history of modern day Tanzanian political landscape without acknowledging his onerous contributions as a true nation builder, patriot, and insightful leader.

This forum is too limited for me to elaborate on his laudable achievements, as a student of history. Love or loathe him, he is the best of the bunch and is unparalleled till date achievement wise. He is head and shoulders above these wet clueless incompetent timid bunch.

Dr.Slaa, let it be known that you're well appreciated as a true-grit Tanzania of worth. Thank you.

Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

Mimi kama mimi basi Slaa atakufa njiani akipata misukosuko kama ya hao uliowaandika ,ule umri alio nao na afya yake inaonekana kabisa hahimili vishindo !

Air your views/opinion, agree/disagree. There's no need for insults, simple. Some of us contributing might be old enough to be your father.Show some respect and proper decorum. Thank you.
 
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?
Maandishi yako yananikumbusha enzi za mtu maarufu sana JF lakini kwa bahati nzuri amechinjiwa baharini, Malaria Sugu.
 
Inaoenekana watanganyika mnapenda sana makanisa kuliko hata ofisi za umma
Hata misikiti tunaipenda pia, ndio maana hatuchomi kanisa wala misikiti wala ofisi za umma, vyote hivi vinahitajika katika jamii ili kuleta ukamilifu.
 
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?
unapokuwa mgeni sehemu yoyote kama wewe ni muongeaji sana,unatakiwa usome mazingira kwanza ndiyo uanze shughuli yako ya umbeya,hutakiwi kukurupuka na kuanza kuwakaribisha wageni,kwenda hadi jikoni kuonja michuzi,na kufanya ambayo yatawaharibia siku wenyeji.sasa huyu jamaa anahaki zote za kutumia mtandao huu kwani hauna ubaguzi kwa mtu yeyote,lkn inatakiwa uwe makini sio kila kitu unachokiona humu lazima uchangie,halafu umejiunga jana tu lkn umekuwa na mbwembwe nyingi kuliko kawaida.tulia mtu wangu, soma mazingira,jifunze jinsi ya kujenga hoja,na ukiwa umeiva njoo na hoja zako mfu hizi! Imekuwa kama umetumwa kumshambulia Dr.slaa,maana jana niliona uzi wako humu jamvini ukimshambulia Dr.slaa,nilikushangaa sana kwa KASI,ARI,NA NGUVU Zako ulizokuja nazo!ushauri funguka kutoka kwenye box ulilomo utazame na mambo mengine!kwani juhudi zako hazitafanikiwa kwani watanzania ndiyo watakaochagua zipi pumba zipi mchele!2;naomba uwe na mpangilio mzuri wa mawazo yako pindi unapoandika na sio wazo la mwisho linakuwa la kwanza na la kwanza linakuwa la mwisho.asante!
 
Maalim Seif yupi?? Au ni huyu huyu aliyekubali kuolewa na ccm kwa kupewa umakamu wa rais?? Naomba jibu halafu uniambie anaujasiri upi'
 
Naona umeamua kuwatukama Askofu Desmond Tutu na Mzee Nelson Mandela hadharani. Yani unafananisha Bendera na leso ya makamasi!
 
ni huyu alieanzisha mfumo wa Vyama vingi vya siasa?
 
Join Date : 15th July 2012
Posts : 82
Rep Power : 317
Likes Received 3
Likes Given 0

KWELI WEWE HAMNAZO YAANI HUELEWEKI. POST YAKO HAIELEWEKI KICHWA AU MIGUU WAPI IPO.

KAJIPANGE UPYA

Teh teh sina haja ya kuendelea na comment zaidi kama mtu mwanyewe ndo huyu!
 
Huyu maalimu seif si aliwahi kusota sana rumande au siye?
 
Ndungu zangu nime amini kuwa Dr. Slaa ni tishio katika Tanzania hii. maana ukiona mtu anamtolea mfano kuhusiana na watu wengine alio amini kuwa walikuwa tishio jua kuwa Dr. Slaa amekuwa tishio, kwanza angalia anavyo yumbisha serikali. najinsi alivyo watia woga, wamebaki kutapatapa tu. hawana ujanja wowote tena. pia naamini kuwa hata wewe una amini kwa kazi yake ndiyo maana unajaribu kuangalia watu ulio kuwa unawaamini sana.

Nimatumaini yangu kuwa atazidi kusonga mbele tena kwa kasi.serikali haitaisha kigugumizi mpaka 2015 tutakapo wapungia mkono wa ccm bai bai ccm bai bai:A S-omg::A S-omg😛ia na kuwakalibisha katika utawala wa :welcome: CDM.
 
Nakubaliana na wewe kwamba Dk.slaa hawezi kuwa kama maalim Seif.Hawezi ku-bargain damu ya wapigania haki na cheo au ulinzi wa kusimamia mihadarati.Hawezi kufanya jitihada zote kupigania kuwa msimamizi wa KMKM.

Hapo kwa Raila Odinga: Dr Slaa ni powerful na anafanya kazi kilichopo tumuunge mkono kama Raila Odinga alivyoungwa mkono na vijana wengi ambao asilimia kubwa waliji-organize wenyewe hata nje ya party platform.Subiri mziki ndiyo unaanza kuelekea 2015 itakuwa ni historia Tanzania na Africa

Raila Odinga nakubali ni Bingwa wa siasa za kimapambano lakini ni lazima tulinganishe nature ya watanzania na wakenya.Dr Slaa kuweza kuchangamsha siasa za upinzani kunzia Bungeni na hadi unapoona sasa ni achievement kubwa kwa jamii iliyokuwa inaona upinzani kama uhaini.Slaa na CHADEMA team kwa ujumla wanastahili pongezi

Forget what sentiments you have against the man. Clearly on achievements, he remains a truly nationalistic patriot.The first ever public attempt against corruption was his 'Mwembe Yanga List of Shame declaration'.You cannot write the history of modern day Tanzanian political landscape without acknowledging his onerous contributions as a true nation builder, patriot, and insightful leader.

This forum is too limited for me to elaborate on his laudable achievements, as a student of history. Love or loathe him, he is the best of the bunch and is unparalleled till date achievement wise. He is head and shoulders above these wet clueless incompetent timid bunch.

Dr.Slaa, let it be known that you're well appreciated as a true-grit Tanzania of worth. Thank you.

Air your views/opinion, agree/disagree. There's no need for insults, simple. Some of us contributing might be old enough to be your father.Show some respect and proper decorum. Thank you.

Slaa is powerfull siyo kweli..hakuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom