Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

unaonekana una matatizo binafsi na Dk. Slaa, kwani yeye amesomea na lishalijibu na kutoa ushahidi kwa vyombo vya habari. udk. wake kama sijasahau alispecialize ktk canon law

kama huna taarifa usiwe kama kunguru au kasutu, uliza upatiwe taarifa ili ujibu suala kwa uhakika

upo sawa mkuu,muda mwingine njia bora ya kuwasilisha mawazo/maoni ni kukaa kimya...mtu anakurupuka,amekariri u'dokta ni wa magonjwa tu.
 
yaani siku hizi JF imekua very funny, wanashindwa hata kujificha kabisa, ni shap-shaaaa wamesharukia thread

TUMEYUMBA SANA AISEE
 
mnapigwa nyie tena na mahabusu kule segerea...
kumbe mnamihemko hivi kama ng'ombe anataka dume
siasa ni uvumulivu na si matusi kama yako...unaonekana hata ndoa yako ina matatizo huko ulikoolewa utaachika muda si mrefu

Unapigwa nini!
 
upo sawa mkuu,muda mwingine njia bora ya kuwasilisha mawazo/maoni ni kukaa kimya...mtu anakurupuka,amekariri u'dokta ni wa magonjwa tu.

ndg yangu watu wengine hata kuwa nao ktk dunia hii ni kero hawana faida wanaiharibu nchi wangepaswa kufa ili nchi ipate faida
 
songo zimemuishia, mara uwt wanampa tip offs , mara wanamfuatilia, tuchukue lipi..
 
mnapigwa nyie tena na mahabusu kule segerea...
kumbe mnamihemko hivi kama ng'ombe anataka dume
siasa ni uvumulivu na si matusi kama yako...unaonekana hata ndoa yako ina matatizo huko ulikoolewa utaachika muda si mrefu

Sasa mbona na wewe unatukana? Huo uvumilivu uko wapi sasa?
 
Huyu mzee kila akilala anaota Usalama wa taifa
 
mnapigwa nyie tena na mahabusu kule segerea...
kumbe mnamihemko hivi kama ng'ombe anataka dume
siasa ni uvumulivu na si matusi kama yako...unaonekana hata ndoa yako ina matatizo huko ulikoolewa utaachika muda si mrefu

Hahaaaa! Mie nina shabaha!!
 
Anatoa tuhuma zisizo na ushahidi....! ama haujasoma vizuri kwa mleta uzi

Mandown unakosea sana, we unafiri mtu akitaka kukudhuru ni lazima uwe na ushahdi? Au unataka hadi wamng'oe kucha, wamtoe macho ndo uamini?
Fikiria vizuri kwanza, usishabikie bla kutizama hoja.
 
Last edited by a moderator:
Anayebishia hii habari ana lake jambo.Wengine huku site tunajua nini kinaendelea,tunaambiwa CCM wameanzisha kete la kuwasakama Viongozi wa juu wa Chadema kwa kutumia vyombo vya usalama na hata wengine kusema kete hii ikishindwa basi wao CCM Watakuwa wamekwisha.
 
Mandown unakosea sana, we unafiri mtu akitaka kukudhuru ni lazima uwe na ushahdi? Au unataka hadi wamng'oe kucha, wamtoe macho ndo uamini?
Fikiria vizuri kwanza, usishabikie bla kutizama hoja.

Kwahiyo hata hizu tuhuma za kumuua Zittodhidi ya [MENTION]ben sanane[/MENTION] na [MENTION]dr slaa[/MENTION] nizakweli kwa mujibu wa mashahidi!!!
 
Last edited by a moderator:
Tuwe wakweli jamani, Slaa muongo! Mie naju Kikwete ndie muongo nama1 TZ anasema maisha bora kwa kila Mtz ilihali umasikini umetamalaki nchini.

Kikwete ni muongo aliyekubuhu kwani alituongopea kuwa ANGETENGANISHA SIASA NA WAFANYABIASHARA kwa kupeleka muswada bungeni lakini mpaka leo wafanyabiashara wamejaa bungeni na serikalini!!! Gamba hili halo limemuishia kiunoni ameshindwa kulivua.
 
Huu ni uongo wa kishetani kabisa!! Laana kum!!
 
Kile kinachoitwa usalama wa taifa chini ya uongozi wa Jk ni wabaya mara kwa wapenda haki mara tano ya alivyokuwa Maliyamungu chini ya utawala wa Idd Amini. Fikiri juu ya waliyotendewa kina Mwakyembe, mwandosi, Ulimboka, Kibanda, wizi mkubwa mkubwa kama Epa, nk hakuna chochote cha maana kilichofanywa na taasisi hii iliyogeuka kuwa chama cha siasa kisichosajiliwa. Sana sana wamekuwa wafanikishaji wa kuwaficha wahusika kwa kueneza propaganda za kisiasa. Nitawalaani usiku na mchana na nitafunga na kuomba Mungu kwa ajili ya ukombozi wa wanyonge kunasuliwa chini ya watawala hawa dhalimu walioungana na dola kuwatafuna raia zake kama mtu alavyo mkate. Nitasimamia neno la Mungu kuwa hakuna amani kwa watendao uovu nione ikiwa Mungu atageuka kuwa kama hawa wadhalimu au ataliheshimu kwa kulitukuza neno lake. Mungu ibariki Tanzania ya wapenda amani kwa kuwatenga kabisa wasiopenda amani hata kizazi chao cha nne.
.
 
Back
Top Bottom