Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

Huyo ni mfamaji haishi kutapatapa. Nashangaa waandishi wetu kuendelea kumuita dokta ilhali hawajawahi kusomea wala kupewa wa heshima. Au ni kwa kuwa ni Kanjanja mwenzao.

kwani jk anaitwa dokta alisomea wapi? mchimbi mbona aliludi tena darasani baada ya yule jamaa kusema kweli kuwa hakuwa na elimu hiyo?
 
Huyo ni mfamaji haishi kutapatapa. Nashangaa waandishi wetu kuendelea kumuita dokta ilhali hawajawahi kusomea wala kupewa wa heshima. Au ni kwa kuwa ni Kanjanja mwenzao.
Masaburin type, njaa zitakuua wewe acha kujidhalilisha.
 
nakubaliana na Dk. Slaa kuwa wazi kunatoa dukuduku za wapekuzi kuhangaika na kusema ya uongo kwa wnananchi... hongera Dk Slaa...
 
Mkidanganyana huko kanisani mnajiona mko wengi,kwa tarifa yenu ninyi wapumbavu mlio soma kwa hila na kudhulumu Watu dhaifu mtaona nchi chungu Watu wameamka .

kwani slaa anatumia kanisa? wakati huyo jk na lowasa kila siku wapo makanisani na misikitini kuomba kula? maaskofu ndio waliosema jk ni chaguo la mungu,kwani walimtaja slaa? uwe una akili wewe
 
Ni hakika kw sku za hiv karibun usalama wa taifa na jeshi la polisi nchin hawajihusishi kabsa na shughul zao kw mujibu wa sheria bali wanatengeneza mazingra laini kwa watawala kw kudhoofisha changamoto toka watu, press, wapinzan nk. Hiv sa' usalama wa raia, mali zao, kuaminiana baina yetu kunatoweka kabsa. Naamin hawa intelligence unit wote wamejikta kwenye siasa zaid kuliko majukumu yao
 
huyu mzee anataka vyombo nyeti vya usalama viijingize katika siasa ili chamachake kiendee kupata umaarufu. kama anaona anaahujumiwa kinyume cha sheria au utaratibu afungue kesi mahakani. ila hii tabia ya kuropoka mbele ya wananchi haiezi kujenga mazingira ya nchi kutawalika kwamujibu wa sheria. usalama wa taifa imekuwepo kabla ya chadema ambayo imejipatia umaarufu miaka kumi iliyopita. usalama wataifa unafanya kazi zake kwa weredi na nidhamu kubwa.kama ilivyo jukumu la usalama wa taifa ni kulinda na kutetea maslahi ya nchi hivyo kama wanamashaka na mwenendo wa chama chochote cha siasa nijukumu lao kufuatilia kwambinu zozote kwa kuzingatia sheria ili kutimiza majukumu yao kwa taifa. huyu mzee asilalamike chochote kwa kutafuta umaarufu wa muda mfupi tena wa bei nafuu. lazima mkumbuke majukumu yenu ya kikatiba kuwa ni kuishauri na kuikosoa serikali ili kuleta ustawi wa taifa na sio kupika majungu yanayozaa hali ya tafrani katika taifa kwa kile mnachokiita democrasia. huu ni wakati wa kushindana kwa hoja na sera si kwa kahfa na matusi ! ndugu padri mstaafu wilbroad slaa kumbuka jukumu lako kwa chama na taifa lako. fanya yale yanayokuhusu ambayo una wajibu wa kuyafanya kwa mujibu wa sheria.
 
Hoja imevamiwa na wenyewe kwa lengo lile lile la kupindisha ukweli .ukweli utabaki pale pale hawa jamaa wameshindwa kusimamia utaifa sasa wamehamia kwenye vyama dili mf.za mipaka ,wahamiaji haramu ,wala rushwa zimewashinda kutokana na wao kuwa sehem ya tatizo .maadili hamna hapa kazi ipo ya kupangua hii idara ni ya kufanyia kazi kupembua pumba na mchele ,pumba lazima zimo humu ,na mfumo hauwez kulea balaa hizi ,mfumo ufanye kazi yake mojawapo ikiwa hii ya kuondoa hawa jamaa .utakuta kapanda dala dala nauli ya mia tatu anatoa kitambulisho .nani kakutuma huo ni udhaifu mimi sipaswi nikujue wewe ni nan ndo nikuheshimu nitakuheshimu jinsi wewe mwenyewe unavojiheshim na si kinyume chake .
 
Kazee kanaropo Kama cha kike akipewa uraiso katagombana na kila nchi !! Oh Kenya wanifuatata Mara America haweniwezi nitawaonyesha Mimi nan?fikirieni ninyi wapumbavu mnaojifanya wasomi kumbe mnazo dgr uchwaraPambavu zenu!!
"JF members, where are we going..."Invisible and other mod's, were are you?'INAUMIZA KWAKWELI'
 
If God say yes no one can say no. Hakuna wa kuizuia chadema kwani Mungu ameshaikubali. Wote wenye nia mbaya mshindwe kwa jina la Mungu.
 
Back
Top Bottom