Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

aliwatupia mawe ccm akajisahau na yeye anaishi kwenye jumba la vioo, amebaki kulalama,the strongest survives!
 
Msafiri Kasan .
Kama hakudanganya angekuwa wazi anawatuhumu nini Usalama wa Taifa
 
Slaa muongo huyo jamaa,na anawapa sumbu mbaya sana wajinga wake ngoja ashndwe wapa maziwa waone watakavyokata roho

Una haja ya kurudishwa darasani ............ licha ya kuwa na uelewa mdogo!
 
Hivi nikutupiana mawe au kuwekeana mambo wazi bila fitna ccm wapo busy wanafanya fitna badala ya kutekeleza majukumu yao
 
Sisi wapiga kura tuna angalia tu
2015 will be my first time to vote and I will vote right
Watanzania tumechoka msidhani hatuoni....
 
Naona unamuongelea Jakaya Kikwette maana yeye ndie kanjanja! Soma vizuri...

Bora JK ambaye alipewa udr wa heshima lakini angalau ana bachelor. Huyo Kanjanja hana tofauti na akina Shekhe Ilunga au Farid wenye PHD za islamic laws.
 
Bora JK ambaye alipewa udr wa heshima lakini angalau ana bachelor. Huyo Kanjanja hana tofauti na akina Shekhe Ilunga au Farid wenye PHD za islamic laws.

We kama nu ujinga basi duniani hapa we ni nguli! DR Slaa una mfananisha na cha nazi!!?
 
Huyo ni mfamaji haishi kutapatapa. Nashangaa waandishi wetu kuendelea kumuita dokta ilhali hawajawahi kusomea wala kupewa wa heshima. Au ni kwa kuwa ni Kanjanja mwenzao.

Dr slaa anaaminika,ni doctor wa ukweli na ni great thinker,Ni rais aliyeshinda na ana sifa zote za urais,hao usalama wa taifa acha wahangaike tu,Mungu anakulinda Dr upo ili tuishi baba,tusemee tulio mbali na utuwakilishe.Watz wengi tunakukubali unajua kujenga hoja na kubomoa hoja! Tupo pamoja,wao wana pesa na jeshi sisi tuna umoja na Mungu.Tunakupenda dr slaa usikate tamaa
 
unaonekana una matatizo binafsi na Dk. Slaa, kwani yeye amesomea na lishalijibu na kutoa ushahidi kwa vyombo vya habari. udk. wake kama sijasahau alispecialize ktk canon law

kama huna taarifa usiwe kama kunguru au kasutu, uliza upatiwe taarifa ili ujibu suala kwa uhakika

Huyu kalikenye nadhani ndo wale mamluki,achana nae kaka,last week tulijadili mambo ya elimu,watu walimaliza kwa kusema mtu makini sio vyeti ila ni uwezo wa kuongoza hata kama ni form 4.so compare strength ya dr slaa na ya cha Nazi,then weigh nani anafaa aitwe Dr
 
Kile kinachoitwa usalama wa taifa chini ya uongozi wa Jk ni wabaya mara kwa wapenda haki mara tano ya alivyokuwa Maliyamungu chini ya utawala wa Idd Amini. Fikiri juu ya waliyotendewa kina Mwakyembe, mwandosi, Ulimboka, Kibanda, wizi mkubwa mkubwa kama Epa, nk hakuna chochote cha maana kilichofanywa na taasisi hii iliyogeuka kuwa chama cha siasa kisichosajiliwa. Sana sana wamekuwa wafanikishaji wa kuwaficha wahusika kwa kueneza propaganda za kisiasa. Nitawalaani usiku na mchana na nitafunga na kuomba Mungu kwa ajili ya ukombozi wa wanyonge kunasuliwa chini ya watawala hawa dhalimu walioungana na dola kuwatafuna raia zake kama mtu alavyo mkate. Nitasimamia neno la Mungu kuwa hakuna amani kwa watendao uovu nione ikiwa Mungu atageuka kuwa kama hawa wadhalimu au ataliheshimu kwa kulitukuza neno lake. Mungu ibariki Tanzania ya wapenda amani kwa kuwatenga kabisa wasiopenda amani hata kizazi chao cha nne.
.

Safi,nami niko nawe
 
We kweli mpumbavu padri slaa ni raisi wa wapi ?ovyoo kabisa slaa akiwa raisi ni bora nchi ikatike vipande ape we uraisi aw moshi na karatu
 
We kweli mpumbavu padri slaa ni raisi wa wapi ?ovyoo kabisa slaa akiwa raisi ni bora nchi ikatike vipande ape we uraisi aw moshi na karatu



kwan sheria inamkataza padri au askofu au mchungaji au sheikh kuwa rais, acha kukurupuka kasome vizuri katiba ya 1977 kisha ulinganishe na hoja zako dhaifu. kwan padri sio raia wa tz. kweli watu kama ninyi ni hasara kuwemo ktk jamii. ni busara kuuliza ukaelemishwa kuliko kutukana. halafu umetumwa nn?
 
Bora JK ambaye alipewa udr wa heshima lakini angalau ana bachelor. Huyo Kanjanja hana tofauti na akina Shekhe Ilunga au Farid wenye PHD za islamic laws.


lete cv ya dk. slaa na kikwete halafu watu wachambue, kweli ww umetumwa, vp umelipwa sh? kwa kazi hii

ama kweli mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe- mkapa
 
Kazee kanaropo Kama cha kike akipewa uraiso katagombana na kila nchi !! Oh Kenya wanifuatata Mara America haweniwezi nitawaonyesha Mimi nan?fikirieni ninyi wapumbavu mnaojifanya wasomi kumbe mnazo dgr uchwara
Pambavu zenu!!
 
Back
Top Bottom