Dk. Slaa awaangukia walimu

Mtindo wa walimu sa hivi ni noma,niliaangalia daftari la mwanafunzi moja ikiwa imesahishwa vizuri na kuwekewa good!Swali likiuliza:'HOW MANY TYPES OF COFFEE ARE FOUND IN AFRICA?METION THEM!Jibu lilotolewa lilikuwa 'TWO'!Kwenye ku'metion' jibu lilikuwa 1)COFFEE ANNAN,2) COFFEE OLLOMIDE!Kasahishiwa na kawekewa 'good'!Sasa sijui elimu yetu inaenda wapi?Dr Slaa okoa jahazi,inazama taratibu.
 
CCM haieleweki hivyo walimu tufundishe tu kwa sasa mpaka 2015 maana ndo mwisho wao.
 
Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.

Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?

Karibuni ila tusitukanane jengen hoja
 
Wewe unaleta upumbavu afu unataka usitukanwe, kwa akili yako fupi sensa ni ya ccm,!!?
 
Dr Slaa angekaa kimya au kusema watu wasikubali kuhesabiwa pia lingekuwa neno kubwa humu JF. Mods, hebu toa upumbavu huu mara moja!
 
Katika watu wasio jua umuhimu wa sensa wa kwanza ww ulio tuma hii post? Nani amesema ukiesabiwa ni wana ccm acha izo angalia mbele
 
Dr. Ni Dr. Tu. Anao ufahamu mkubwa kupitiliza mipaka ya vyama. SIKUTUKANI NG'OOOO
 
Kunduz!!

user-offline.png
HAYABWANA

Today 16:28
#1
Junior Member Array

Join Date : 26th August 2012

Posts : 1

Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.

Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?

Karibuni ila tusitukanane jengen hoja

Ile regular uyokuwa unavuta ukiwa mtoto ndo madhara yake yanaanza kuonekana.hakuna upinzani kwenye mambo yenye tija kwa taifa kama sensa.
 
Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.

Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?

Karibuni ila tusitukanane jengen hoja

HAYABWANA naona mawazo yako na ID yako havijaachana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
sensa ina chama?
Hivi kwa nini JF mods hamuchuji watu kama hawa? wanaharibu forum tu
 
Back
Top Bottom