Mangi nadhani ni ajali ya kawaida tu. Ingekuwa ni makombora basi madhara yangekuwa makubwa zaidi maana alipotoka hospitali alitangaza kuendelea na ratiba yake ya kuhutubia wananchi hapo mwanza...ingawa ni vizuri pia kuwa na tahadhari zaidi katika kipindi huki.Haya ndomakombora yameanza nini? Haya tutasikia na kuona mengi. Pole Dr Slaa, Upone haraka uendeleze mapambano
Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono
baada ya kuteleza bafuni.......
:rapture::rapture:
baada ya kuteleza bafuni.......
Pole Dr, JK naye aliwahi anguka pale Jangwani ! na kule Mwanza kuna jamaa aling'ang'ania mguu wake.Zote ni harakati za uchaguzi tuu...hakuna kilichoharibika.
Makamuzi ya alone... ndio mambo gani tena?Alikuwa anatwanga makamuzi ya alone?
Aendelee kumlinda? Ina maana amelindwa na akavunjika vile vile. Ulinzi wa Mungu unaelemewa.
Wakati mwingine koment zako! tatizo huwa unafikiri una jua saana, unaboa.Hahaha,
Mungu huyu kashindwa kazi halafu watu wanazidi kumuomba tu.