kwa akili yako ulitegemea waseme walikuwapo mwanza na walifanya kikao hicho!
wewe Makame umekula? Kama umeshiba basi kakojowe ulala. Mambo haya huna uwezo wa kuyajadili.
waste not your time on this guys.
i think this blog has been intruded by january makamba,ridhiwani kikwete and other relatives of mafisadi.
here they are trying to defend them.
WE ARE NOT STUPID.
invasion is anatural phenomena but logical thinking shows that we cannot have the victims or accused to tell us the tyruth which will eventually incriminate them.JK EL RJK and Rostam cannot say yes we went!
To prove Slaa wrong they were told to go to courts of law!Have they?NOPE!
WATU WANACHAKACHUA MENGI IKIWEMO
1. Mafuta
2. Leseni
3. Vyeti
4. Ndoa
5. Vibali
Na huchakachua kwa kutumia NEMBO, MIHURI, SIGN na vyengine
Unashangaa hilo
Au wewe ndio unakuwa Mbishi?
Au unakuwa GREAT SINK?
Makame a.k.a Ukame,
There is an English saying,''NEVER ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MAY NOT NOTICE THE DIFFERENCE''.
You're not a GREAT THINKER and never will be one. You shall remain a GREAT SINK forever and ever!
You are here just for the sake of arguring!In actual fact you are SINKING instead of THINKING! You keep on going around circles repeating and shouting on thyself with your own vomit! Huna jipya.
Maliza hiyo mara moja maan unatia aibu kwenye ukumbi huu!!!
awe amechakachuliwa au la ukweli ni kwamba slaa ana papara ikulu haimfai
ikulu ya nchi gani unayoongelea ndugu??? Hivi tanzania ikulu yake ina hadhi???? Ilikuwa na hadhi wakati alipotawala rais - marehemu julius kambarage nyerere - lakini kwa sasa imepoteza hadhi kabisaaaaaaaaaaaaa - ikulu inayokaa marais wasiojali wananchi wao - kazi kuandaa tafrija tuuuuuuu basi - ndio wanachojua -
laiti dr. Slaa angeliingia ikulu - hadhi ingerudi - alikuwa tayari kula muhogo ikulu - (kupunguza budget) na kutumia fedha kusaidia watanzania -
wee endelea kuitetea ikulu - wenzako ikulu wanajichana usiku na mchana bila kujali - labda nawewe ni mmoja wapo?? Na kama sio - think again great thinker
Hana hoja Slaa
PREACHER
Hapa inazungumziwa barua na kuchakachuliwa. Naamini hujachangia kwa kukubali hoja kuwa imechakachuliwa.
IKULU KUWA NA HADHI.
HADHI YA IKULU HAIJAWAHI KUSHUKA; sema tu kasumba za roho ya kwanini. Mwalimu ndio aliyeanzisha usemi huo wa KUNUKA KWA IKULU kwa vile aliopoong'atuka; hakuweza kufikiria kuwa warithi wake nao wataweza. Aliwacha NCHI kwenye Uchumi wa Hovyo; maduka meupe, bidha za rationing, miundombinu haba; usafiri wa mashaka; private sector iliyochakaa; Media ya Serikali na chama. TANZANIA ILIKUWA KAMA KIJIJI.
MWINYI NA MKAPA WAMEGEUZA HALI HIYO
1. Economic Liberalization
2. freedom of Press and of Speech.
3. Walau watanzania wanaweza kuangalia TV (NDIO UKAONA MA ITV; Nipashe, Majira, EATV and so on; the list is endless)
Huko kuwadharau viongozi wetu Wa Juu walioongoza TAIFA Hili baada ya NYERERE ni ULIMBUKENI na kunyesha dhahiri kutokuwa na shukrani.
Hata Multiparty System imekuja baada ya NYERERE.
TUWE NA HESHIMA KWA VIONGOZI WETU HAWA.
NI WAADILIFU.
UHURU WA KUSEMA UNATUMIWA NA WASIOJUA MAMBO KUWAZULIA KASHFA.
NYERERE OYE!!
MWINYI OYEEEE!!!
MKAPA OYEEEE!!!!
KIKWETE OYEEE!!!!!!!!!!!!
MWINYI
MAGEUZI YA UCHUMI
BIASHARA HURIA
VYAMA VINGI
MKAPA
UTEKELEZAJI WA SERA ZA UCHUMI HURIA
KUKUA KWA UCHUMI
SERA ZA FEDHA
KIKWETE
UDOM\
FERRY
MIUNDOMBINU
Ndugu yangu naona umeshalishwa Limbwata na sisiem. Pole sana! Inaonnyesha ujui maana na utaendelea hivyohivyo hadi mwisho wako!
Kuna kila mianya ya kuamini kuwa barua hiyo imechakachuliwa...hauna mtiririko wa kimantiki wala kubeba uzito wa unyeti wa yaliyomo, na aliyeiandika ni layman ambaye hajui barua nyeti ya kiofisi inaandikwaje. Cha zaidi haina kumbukumbu namba. Kuchamba kwingi....!!!
Amekanusha; kila mtu amekanusha; amebaki Slaa peke yake. Maskini
Ndugu yangu Makame, Kabwe kukanusha tu kuwa ile sahihi sio yake haitoshi, ili kuprove kuwa ile sahihi siyo yake aende mahakamai maana kuforge sahihi ya mtu ni kosa la jinai! la tutabaki tunaamini kuwa ile sahihi ni yake na yale maagizo ni yake!