Waswahili husema "mfamaji haishi kutapatapa". Chadema ipo katika "ulevi" wa kifo.
Hakuna kitu kibaya kama sikio la kufa. Halisikii.
Chadema baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi dhidi ya matarajio yao, na kwa kuwa wameshaonja kifo cha kushindwa, hivi sasa wanafanya kila hila na mbinu kwa kuwa they have nothing more to lose, kama kushindwa wameshashindwa. Iliobaki ndio haya tunayoyaona, kila jema na zuri la JK kwao kosa.
Na natumai wa Tanzania wengi wameshawashtukia mbinu yao "suicidal". Wapo tayari wafe, watu wauwane, lakini JK hapana asiwe madarakani! Wanajuwa fika kuwa wanawaweka wananchi katika hali ngumu kwa maandamano yao ya kila siku.
Nawaasa CCM, waacheni waaandamane mpaka waseme basi. Mradi wasitukane na kusema uongo kama walivyozowea.
Rais wa Moyoni wa Watanzania waliochakachuliwa Maisha.KAMA KUNA MTANZANIA ANABISHA AJARIBU.DR SLAA SIYO MNAFIKI NA HUWA AMUMUNYI MANENO.
Rais wa Moyoni wa Watanzania waliochakachuliwa Maisha.KAMA KUNA MTANZANIA ANABISHA AJARIBU.DR SLAA SIYO MNAFIKI NA HUWA AMUMUNYI MANENO.
Mkuu, Kikwete has to pack and go!! no way..imefikia point of no return..
pamoja na CDM kutumia diplomasia ya hali ya juu, bado inaonekana somo halijaeleweka kwa ccm na serikali yake
Mpango mkubwa wa Chadema ni kumfanya Padre Slaa awe Rais, ili alete Ukatoliki serikalini. Waislamu hawatokubali kumuona Slaa anakuwa Rais. Kama mnataka nchi iwe kama Sudan, Iraq, endeleeni na maandamano. No way, Padre Slaa awe Rais.
LOL! Sina mbavu mie!!hakika huu ubongo umechanganyika na super glue .....
Rais wa Moyoni wa Watanzania waliochakachuliwa Maisha.KAMA KUNA MTANZANIA ANABISHA AJARIBU.DR SLAA SIYO MNAFIKI NA HUWA AMUMUNYI MANENO.
Aliulizwa na Kinana kwenye mdahalo wa Star TV wakati wa kampeni pale alipokuwa akiahidi huduma za afya na elimu bure,, akaulizwa kwamba yeye ni mwenyekiti wa CCBRT na pia anamiliki shule kadhaa,, sasa ni lini ametoa huduma bure shuleni au hata kuhamasisha pale CCBRT iwe bure?........................"ALIMUMUNYA" siku hiyo. Nadhani ulitaka kusema "HAMUNG'UNYI"
lol yawezekana hukunielewa kwani ujumbe wangu unawahusu CCM wenyewe, kwa maana kwamba kama sii uhuni wa baashi ya viomgozi wa CCM haya maandamano ya Chadema yasingekuwepo wala kupata nguvu hii..Mkuu,
Mbinu za ccm zimeaanza kufanikiwa...Umeshaanza kuwaita Dkt Slaa na Mbowe wahuni.