Hamna kitu, acha hizo maneno yako yote hana ukweli bali ni kuisingizia Serikali uongo
Mhahariri wa Tanzania Daima nani Kibanda!! kibanda siyo mtu wakuamini hata kidogo, Kibanda ni Mdomo wa EL, RA na Gazeti la Uhuru, angalia anavyo mshamburia Sitta! kama hujui jiulize mimi sivyo kama unavyofikiri ila sio kila kitu ni cha kuamini tena uongo wa wazi kama huo duh! Magazeti hayawezi kuwa mojamoja reliable source ya mambo kama hayo wewe umeona hilo gazeti?
Nionavyo mimi Kibanda anauchukia ufisadi kama alivyo Sitta ila suala la Kibanda kumshambulia Sitta hata mimi nashindwa kuelewa linatoka wapi? au wamegombania demu mahali nini?Mhahariri wa Tanzania Daima nani Kibanda!! kibanda siyo mtu wakuamini hata kidogo, Kibanda ni Mdomo wa EL, RA na Gazeti la Uhuru, angalia anavyo mshamburia Sitta! kama hujui jiulize mimi sivyo kama unavyofikiri ila sio kila kitu ni cha kuamini tena uongo wa wazi kama huo duh! Magazeti hayawezi kuwa mojamoja reliable source ya mambo kama hayo wewe umeona hilo gazeti?
Mfungeni Silaa, muzidi kjipotezea 2015, japo najua hiyo mbinu italenga kumuweka ndani mpaka uchaguzi wa 2015 utakapopita
Hamna kitu, acha hizo maneno yako yote hana ukweli bali ni kuisingizia Serikali uongo
Hamna kitu, acha hizo maneno yako yote hana ukweli bali ni kuisingizia Serikali uongo
Taratibu mkuu; Jamaa ameweka kabisa Source : Tanzania Daima..... Sasa uongo wake umetoka wapi? kwamba Source Sio Tanzania Daima au?
Sasa huu ni udini au chuki binafsi?. Hivi ni vigezo gani vinatumika kuwa na Tittle kubwa kwenye forum - "JF Senior Expert Member" kwa michango kama hii?.Mlijitahidi kumuondolea cheo cha Upadri ili akubalike kwa wtz wote kama mwanasiasa lakini bure yeye anakubalika kwa wana utatu mtakatifu.Raisi mwingine yeyote naaje awe wa dini yoyote au hata awe mpagani lakini wtz tuliowengi hatuko tayari kuwa na Rais Padri.Hilo lazima mlijue na mkimpitisha kugombea tena tutahakikisha tuanafanya kampeni usiku na mchana hata kura alizopata mara hii hatazipata