Dk. Slaa afanyiwa njama kufungwa

Kama ni kweli basi huu utakuwa ni ushauri wa Makamba tu! unajua kuna msemo mmoja unasema "Mbwa anae karibia kufa, hasikii hata mluzi wa bwana wake" CCM are dying dogs, they will never hear their master's wristle!
 
Mhahariri wa Tanzania Daima nani Kibanda!! kibanda siyo mtu wakuamini hata kidogo, Kibanda ni Mdomo wa EL, RA na Gazeti la Uhuru, angalia anavyo mshamburia Sitta! kama hujui jiulize mimi sivyo kama unavyofikiri ila sio kila kitu ni cha kuamini tena uongo wa wazi kama huo duh! Magazeti hayawezi kuwa mojamoja reliable source ya mambo kama hayo wewe umeona hilo gazeti?

we sio mwehu kweli ? Arafat nahisi umekurupukia muhtaza ambao hujauelewa
 
Mhahariri wa Tanzania Daima nani Kibanda!! kibanda siyo mtu wakuamini hata kidogo, Kibanda ni Mdomo wa EL, RA na Gazeti la Uhuru, angalia anavyo mshamburia Sitta! kama hujui jiulize mimi sivyo kama unavyofikiri ila sio kila kitu ni cha kuamini tena uongo wa wazi kama huo duh! Magazeti hayawezi kuwa mojamoja reliable source ya mambo kama hayo wewe umeona hilo gazeti?
Nionavyo mimi Kibanda anauchukia ufisadi kama alivyo Sitta ila suala la Kibanda kumshambulia Sitta hata mimi nashindwa kuelewa linatoka wapi? au wamegombania demu mahali nini?
 
Tukumbuke mapambano katika nchi za wenzetu: Sudan Kusin John Garang alipambana Gadaffi akamuua kumbe alikua anachochea zaidi ari, leo Sudan kusini inakamilisha kujitawala, Wakoloni walimfunga Nyerere lakini mwishowe walimwachia nchi, HIVYO basi kumfunga Dr Slaa kwetu sisi ni kutifanya mapambano yetu yazidi na HAKIKA NAWAAMBIA 2015 CCM WILL SURRENDER Tanganyika. Slaa ni HERO wetu nothing will ever change it, even kwa kutuua!
 
Mfungeni Silaa, muzidi kjipotezea 2015, japo najua hiyo mbinu italenga kumuweka ndani mpaka uchaguzi wa 2015 utakapopita

Mimi naamini kabisa hawa watu watamtia Slaaa ndani: kwamba amekosa au la. Hii ni njia ambayo Mungu amepanga Tanzania ikombolewe. Ili watu waweze kuichukia serikali dhalimu, ni lazima ifanye jambo litakalowaudhi wengi kiasi kwamba hapatakuwa na mjadala.
Na hii ndiyo historia inavyofundisha. Wakimfunga Slaa, basi lile tumaini pekee la watanzania litakuwa limefifia. Na hapo ndipo patatokea kukata tamaa. Na hakuna mpiganaji mzuri kama aliyekata tamaa! Ndo hapo ule msemo " umekwisha ewe Babeli, malaya, ...." utakapofanya kazi.
Na ndipo jiwe toka kusikojulikana litakapokuja na kupondaponda ufalme huu dhalimu wa CCM. Na hapatabaki jiwe litakalosimama: Si Mwinyi, Mkapa, Msekwa wala Malechela watakaonusurika! Naam anguko litakuwa kubwa zaidi kwa wale waliojiingiza na familia zao ! Kilio kitakuwaje kwa JK na Riz One! Ole wake Makamba na January! Ole wa kina Kawawa na wengineo! Siku zinakuja za kulia na kusaga meno! Umekwisha ee CCM......umekwisha huna pa kushika! Utanasukaje kwenye kashfa hizi: EPA, Meremeta, IPTL, Net Group, TRL, Dowans,TTCL ,Kiwira, Mwananchi GM, Uporaji Tanzanite, Kilombero Sugar, Mgororo Paper Mills.........utajinasuaje na wizi wa Richmond, Rada, Ndege, Utajitoaje kwenye uporaji ATCL, NBC, NMB ewe CCM?
 
Hamna kitu, acha hizo maneno yako yote hana ukweli bali ni kuisingizia Serikali uongo

Huyu mheshimiwa hajasema kitu ni gazeti hilo,haya hapo mwongo nani? Bahati mbaya wengi Arusha tulikuweko tukaona,tunajua.Mkubwa usinyooshe vidole tu, huo ni ukweli na hii serikali MBOVU!
 
kuwekwa ndani Dr Slaa ni suluhisho la matatizo yeti yote maana huyu Dr Slaa ameonyesha ana nia ya kweli kabisa na nchi yetu sasa akihukumiwa tu masaa matatu yanatosha kabisa kuiondoa CCM madarakani na JK atakimbia na pikipiki au kabajaj maana hata airport hatapata nafasi ya kufika

Hawa Mafisadi ambao wanasubiri mshiko wa DOWANs na RITEs wameona hata wakipata kuna shida kwa Dr Slaa sasa nashauri waharakishe mapema kumuhukumu mapema ili utabiri wa Shehe Yahya utimie
 
Gereza litabomoka kwa nguvu ya Mungu, hilo haliwezekani kabisa nafikiri ndani ya serikali kuna watu makini wanaofikiri hatima ya taifa hili hivyo hawawezi kubali wazo/hujuma hiyo ifanyike kwani mambo yatakuwa magumu zaidi.
 
Wamhukumu na wamfunge siku hiyo hiyo ya kesho kutwa..hiyo move itaharakisha zaidi ukombozi toka kwa hawa wakoloni weusi.
 
Wajaribu kumfunga halafu wakione cha moto. SSM na vibaraka wenu hebu kaeni kimya kabisa. Na wewe Idara ya habari maelezo kaa chonjo, najua mnawakilisha serikali but huwezi pia kutufunga vyombo vya private vya habari kabisa. Ndiyo maana editors wa private hawawezi kabisa kuhudhuria vikao vyenu vya utumbo.
 
Hivi slaa naye ni mwansiasa au ni padri tu?
Ikibainika kafanya jinai yoyote anafungwa tu na mahakama wala hafungwi na jk.Hilo linatokea nisisi tunaendelea tu na shughuli zetu.Nyie wafuasi wake wachche mkileta chokochoko vijana wetu wana usalama ambao kwa sasa wanakula mishahra ya bure watapata kazi ya kufanya.Hapo ni kabla ya sisi umma hatujaingi kuwadhibiti nyie hamna pa kufurukutia.
Wakti mnamuenzi Padri wenu mjue kuwa kuna mamilioni ya wtz ambao wako tayaru kumrarua kama simba akilete chokochoko.
 
Mlijitahidi kumuondolea cheo cha Upadri ili akubalike kwa wtz wote kama mwanasiasa lakini bure yeye anakubalika kwa wana utatu mtakatifu.Raisi mwingine yeyote naaje awe wa dini yoyote au hata awe mpagani lakini wtz tuliowengi hatuko tayari kuwa na Rais Padri.Hilo lazima mlijue na mkimpitisha kugombea tena tutahakikisha tuanafanya kampeni usiku na mchana hata kura alizopata mara hii hatazipata
 
Taratibu mkuu; Jamaa ameweka kabisa Source : Tanzania Daima..... Sasa uongo wake umetoka wapi? kwamba Source Sio Tanzania Daima au?

Huku ni kujitafutia umaarufu wa wazi wazi. Wewe mtu umeshindwa uchaguzi ulio huru na wa haki, waje wakufunge kwa lipi ?. Tatizo lenu wana CDM uelewa ni mdogo, mnataka kumpandisha Slaa chati ili aonekana mwana mapinduzi , kumbe tumeisha washitukia. Hakuna wa kumfunga slaa na hakuna mwenye shida nae, asijifanye na yeye kama Mandela , hawezi kufikia rank hiyo hata chembe.
 
Mlijitahidi kumuondolea cheo cha Upadri ili akubalike kwa wtz wote kama mwanasiasa lakini bure yeye anakubalika kwa wana utatu mtakatifu.Raisi mwingine yeyote naaje awe wa dini yoyote au hata awe mpagani lakini wtz tuliowengi hatuko tayari kuwa na Rais Padri.Hilo lazima mlijue na mkimpitisha kugombea tena tutahakikisha tuanafanya kampeni usiku na mchana hata kura alizopata mara hii hatazipata
Sasa huu ni udini au chuki binafsi?. Hivi ni vigezo gani vinatumika kuwa na Tittle kubwa kwenye forum - "JF Senior Expert Member" kwa michango kama hii?.
 
"Hata hivyo, baadhi ya wafuatiliaji na wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wameliambia gazeti hili kuwa serikali "ikifanya kosa la namna hiyo la kufunga Dk Slaa, inaweza kujikuta nchi ikiwaka moto na kulazimisha wananchi kuing'oa serikali madarakani kwa nguvu kama ilivyotokea Tunisia katika siku chache zilizopita.."

KWA KUWA TZ DAIMA NI LA CHADEMA ME NAONA KUNA WOGA MKUBWA KWA VIONGOZI WETU WA CHADEMA JUU YA KUFUNGWA KWA KIONGOZI WETU BAADA YA KUONEKANA KUWA NDIYE ALIYEKUWA CHANZO CHA MAUAJI. HAKUNA ANAYEPINGA HILO. VIDEO HATA KAMA ZIMECHAKACHULIWA LAKINI HAWEZI KUPINGA KUWA SIYE MCHOCHEZI. HIVU KUNA MANENO GANI MTU ASEME ILI IWE NDIO UCHOCHEZI? JE, HAIPASWI VIONGOZI WETU KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA?. HIVI HAPAKUWA NA NMNA NYINGINE YOYOTE YA KUWATOA VIONGOZI WETU?. MBONA HATA BAADA YA KUKAMATWA BAADAYE WALITOKA KWA DHAMANA? SI UTARATIBU HOUHUO UNGETUMIKA KULIKO KUVAMIA?
TUKIJA KISHERIA NI KWELI "ANA MAKOSA NA ANATAKIWA ASHITAKIWE KWA MAKOSA YA JINAI NA AFUNGWE".
SASA GAZETI LINAJARIBU KUWEKA SELF DEFENCE. ILA HOFU NI KUBWA MNO.
TUFANYEJE IKIWA KIONGOZI WETU ATAFUNGWA?. JE, HALI YA TUNISIA NI SAWA NA TANZANIA? ME NAONA - HAPANA!.
Tunisians had no freedom of speech for more than 23yrs. There was oppression. They were led by IRON FIST type of leradership. Ndio maana yule jamaa ALIJICHOMA MOTO HADI KUTEKETEA kuonyesha haridhishwi na Mamlaka iliyopo. Ndipo hapo riots zikaanza.
Tanzania tunaongozwa na utawala wa sheria na Mkwere ni msikivu. Ila penye makosa basi mkosaji lazima aadhibiwe kwa mujibu wa sheria.

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom