Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Kamwambie maalim aache fikra za ki sultani ndipo tutamkabidhi nchi siyo propaganda hizi mnazotuwekea hapa mtandaoni
Maalim seif hana kosa wala tatizo lolote nadhani una ajenda nyingine ,usiufiche ukweli ili uongo utamalaki huo ni unafiki mkubwa sana
 
Ukawa wamefanya nini? Kwan huwezi kuijadili mada katika uhalisia wake na ukaweka unafiki pembeni? Maana kama unafiki ndio tabia yao nadhan hata familia yako imegawanyika pia, ni kipi usicho kijua kuhusu zanzibar hadi useme ukawa wanamatatizo au ndio kujisahaulisha?
Akili za ukawa ni za ajabu sana
 
Maalim seif hana kosa wala tatizo lolote nadhani una ajenda nyingine ,usiufiche ukweli ili uongo utamalaki huo ni unafiki mkubwa sana
Wewe jambo ambalo alifanya juzi maalim kwenye msiba wa A.JUMBE unakiona ni sahihi kutompa DK.SHEIN mkono??? kama siyo tatizo la nini sasa hivi wana figisufigisu na profesa LIPUMBA lakini juzi wamekutana Hindu hosptal wakapeana mkono kama kawa naamini lowasa wakikutana na kikwete watapeana mkono kama ni usaliti kwanini yeye alimsaliti JUMBE Leo ndo anataka kutuambia anawapenda wazanzibar kuliko mtu yeyote maalim ana tatizo ukubali ukatae!!!
 
Wewe jambo ambalo alifanya juzi maalim kwenye msiba wa A.JUMBE unakiona ni sahihi kutompa DK.SHEIN mkono??? kama siyo tatizo la nini sasa hivi wana figisufigisu na profesa LIPUMBA lakini juzi wamekutana Hindu hosptal wakapeana mkono kama kawa naamini lkasa wakikutana na kikwete watapeana mkono kama ni usaliti kwanini yeye alimsaliti JUMBE Leo ndo anataka kutuambia anawapenda wazanzibar kuliko mtu yeyote maalim ana tatizo ukubali ukatae!!!
Ni sahihi kabisa maana kushi kinafiki ni mzingo mkubwa sana kuliko hata gunia la mavi unafiki ni kitu kibaya na wewe kwa akili yako ilivyo na mawazo ya kinafiki unaliona la kuto pewa mkono shein ni kubwa kuliko la kudhurumiwa ushindi kwa maalim?. Na kama unaona hivyo basi ni dhahiri na wewe unaroho ya ubinafsi kwa kuona teso lako tu na si ya wenzio
 
Usiweke hisia kwenye mambo mazito ya kitaifa Bali tuweke ukweli wa haya mambo tukizingatia hali halisi iliyopo mkuu itatusaidia kuliko kuweka propaganda ambazo hazina ukweli ndani yake
 
Ukweli upi unao utaka wewe ndugu yangu, kati yangu na wewe nani anaye ukwepa ukweli?? Unadhani kama wote tungeutaka ukweli kulikuwa na haja gani zanzibar kufika walipo fika leo? Ukweli na uhalisia unaujua wewe ?? Kama unaujua mbona hutaki kuuongelea? Hakuna haja ya kuwa wanafiki kama unataka ukweli basi na wewe jikite katika uhalisia kabisa mimi sio mnafiki na ninapenda kila kitu kkijadiliwe kiuhalisia na sio kupendelea upande ninao utaka mimi ,,unadhani uhalisia huo ungetendeka zanzibar shein angekataliwa mkono na seif?? Wazanzibar leo wangekuwa wamegawanyika kama hali ilivyo sasa? Jadili uhalisia na sio kupenda upande unafurahisha maskio yako ,katika hili kuwa mkweli kabisa haki ni ipi?
 
Mkuu naomba utafute thread yangu kwa juu imeandikwa mwendelezo wa safari ya RAIS MAGUFULI na demokrasia ya wapinzani itakujibu usiporidhika ndipo uje humu maana wewe hujui kabisa mambo ya ZNZ Bali unaweka hisia kwenye mambo mazito ya kitaifa
 
Hahahaaaa nadhani wewe ndio huijui kabisa zanzibar na huzijui siasa za zanzibar nimeish zanzibar tangu mmwaka1979 na familia yangu ipo zanzibar ingawa mimi kwa sasa nipo bara ndugu naifahamu zanzibar tangu ASP naifahamu vilivyo, kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni hivyo ninakijua ninacho simamia nasisitiza SIUPENDI UNAFIKI NA SITAUPENDA KAMWE.
 
Viongozi wa 'Thiem Zbar' Wajiandae kuwa kuni wakifika mbele za haki... Ujangili wa kura walioufanya kwa wanadam wenzao na kuwafanya waishi maisha ya kudhulumiwa kwa miaka mitano sio mdogo...
Sawa mungu
 
Hahahaaaa nadhani wewe ndio huijui kabisa zanzibar na huzijui siasa za zanzibar nimeish zanzibar tangu mmwaka1979 na familia yangu ipo zanzibar ingawa mimi kwa sasa nipo bara ndugu naifahamu zanzibar tangu ASP naifahamu vilivyo, kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni hivyo ninakijua ninacho simamia nasisitiza SIUPENDI UNAFIKI NA SITAUPENDA KAMWE.
Basi nakupuuza kama nilivyowapuuza wengine kuwa muache kupotosha umma juu ya hali halisi ya kisiasa ZNZ muwe wakweli kuanika uozo alioufanya maalim tokea enzi za akina A.JUMBE ndipo tutawaelewa vinginevyo hatutawaamini kamwe kwa kuwa na sisi tutaweka ukweli wenye mrengo wa kutuunganisha kitaifa na siyo hizo propaganda zenu mnazoeneza hapa mtandaoni
 
Simon mato dhahiri haijui Zanzibar. Leo hii Zanzibar hadi mtoto wa chekechea anajua uzuri Maalim ndiye mshindi wa uchaguzi. CCM imeiba ushindi wa watu wa Zanzibar mchana kweupe.
 
Huwezi kupinga hoja thabiti kama huna hoja thabiti na hapo zaid ni kuukimbia mjadala, huwezi kunipuuza kwa sababu nasimamia ukweli ulio kuchoma siamini katika unafiki na uongo naamini katika ukweli na uwazi unapenda kusikiliza taarifa za upande unao furahisha moyo wako hata kama ni za uongo ,nadhan unatakiwa kujifunza kusimamia uhalisia kwanza kabla hujatanguliza UCCM AU UCUF AU UCHADEMA mbele na nasisitiza tena SIUPENDI UNAFIKI NA SITAUPENSDA KAMWE.
 
Simon mato dhahiri haijui Zanzibar. Leo hii Zanzibar hadi mtoto wa chekechea anajua uzuri Maalim ndiye mshindi wa uchaguzi. CCM imeiba ushindi wa watu wa Zanzibar mchana kweupe.
Uzushi wa karne ..Wapemba ndio wako ivo na sio Wazanzibar na kwa sababu izo ndio fikra za Wapemba wote wazee wa nguvu za kiza.
 
Anaogopa fyokofyoko?! aje aseme kwa baba maalim mchokozi si alipewa ahadi atakae kuchokoza njoo niambie, analia nini?! Bado ipo siku ataenda kwa Jecha kumkadhi hilo jengo maana hakuna aunguae ila aushikae moto.
 
Shein kunywa chai yako Ikulu ikushuke, tembea kifua mbele kwamba wewe ndie Rais uliyechaguliwa Zanzibar na Mungu wako anakutambua na wala usiogope maana wewe una dola na Mkulu anakulinda na karufuu mapato yake yote fyeka wala usiwapelekee maendeleo wapemba. Ila jua tu pana leo na kesho ,katika hili humkomoi Seif unajikomoa mwenyewe kwani nafsi yako inajua kwamba hukushinda uraisi na umewekwa kwa kuendeleza koloni la watanganyika. Je kwa Mungu wako anaekutambua utasema nini ,sisi haturidhii wewe kuwa raisi wetu maana idadi kubwa ya watu hawakukuchagua kwa uchaguzi wa October pamoja na uchaguzi wenu wa march ambao watu asilimia 30% tu waliokuja kupiga kura.
 
Back
Top Bottom