Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,300
- 27,911
Anamuwaza Lowassa.Ukawa wamefanya nini? Kwan huwezi kuijadili mada katika uhalisia wake na ukaweka unafiki pembeni? Maana kama unafiki ndio tabia yao nadhan hata familia yako imegawanyika pia, ni kipi usicho kijua kuhusu zanzibar hadi useme ukawa wanamatatizo au ndio kujisahaulisha?