Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Mithali 11:6 imeandikwa, haki yake mwenye haki itamwokoa, bali yeye afanyaye fitina, atanaswa katika hila zake.
 
Kamwambie maalim aache fikra za ki sultani ndipo tutamkabidhi nchi siyo propaganda hizi mnazotuwekea hapa mtandaoni
Kwahiyo mnakiri kwamba maalim alipata ridhaa ya walio wengi kwenye uchaguzi (wa 25 oct sio lile igizo lenu) shida tu ni kwamba hamtaki kumkabidhi nchi?
 
Tena Mkulu aliushangaza Ulimwengu kwa kutamka hadharani kuwa mastermind wa wi.. zi wa kura wa Zenji Jecha eti anastahili kupewa nishani ya utumishi uliotukuka!

Pengine Mkulu alikuwa anamaanisha kuwa Jecha anastahili nishani iliyotukuka kwa 'ukibaka' wa kura za wazanzibari kwenye uchaguzi mkuu wa October 25 mwaka jana.......
Kwakweli kama jecha atapewa tuzo..watu wengine wote ambao wameshawahi kupewa tuzo huko nyuma na wanajiheshimu itabidi wazirejeshe. Ni dhihaka kuwekwa kwenye kundi moja na jecha.
 
Shein wakileta fyokofyoko niambie... haipiti dakika 5 sijawashughulikia..

Jpm mwana diplomasia ambaye hajawahi kutokea tangu Tz izaliwe... analiyeleta muunganiko pemba na unguja kwa maneno yake ya busara.
 
Sidhani kama kweli dr.shein kayatamka haya ulioyaandika! Na kama kayasema kweli, atakuwa anaenda kinyume kbs na kauli ya mkuu wa kaya* tuwekee clip tiamini*
Aliyasema hayo kwenye baraza la eid jana. Hata mwananchi waliripoti
 
Shein wakileta fyokofyoko niambie... haipiti dakika 5 sijawashughulikia..

Jpm mwana diplomasia ambaye hajawahi kutokea tangu Tz izaliwe... analiyeleta muunganiko pemba na unguja kwa maneno yake ya busara.
Mbona dk 5 zimepita hajamaliza tatizo la Bkb? !
 
Viti vya moto si bara wa zenji, haki haipotei bali inacheleweshwa tu na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Kwahiyo mnakiri kwamba maalim alipata ridhaa ya walio wengi kwenye uchaguzi (wa 25 oct sio lile igizo lenu) shida tu ni kwamba hamtaki kumkabidhi nchi?
Umenielewa tofauti anyway nenda kwenye andiko langu kuhusu la muendelezo wa safari ya RAIS magufuli na demokrasia ya wapinzani utapata jibu lako au angalau utapata mwanga kwa kuwa nimeelezea kinagaubaga kila aina ya uchafu na propaganda zilizokuwa zinaenezwa hapa mtandao
 
Kamwambie maalim aache fikra za ki sultani ndipo tutamkabidhi nchi siyo propaganda hizi mnazotuwekea hapa mtandaoni
Hivi wajinga kama nyinyi bado mupo Tanzania?
Kwani ile bandari ya bagamoyo mmoja katika wafadhili ni nani?
Kule zanzibar waliofadhili chuo cha afya ni nani?
 
Shein angekuwa bara angeshatumbuliwa maana naona kama kaenda kinyume na mtazamo wa bob
 
Siku zote wapoka madaraka huwa wanaishi kwa kuweweseka maana anajua kakaa kiti ambacho hastahili
 
Kama hamjielewi wazanzibar mtakorogwa sana na watanganyika, wakati mkiwa na uhakika uchaguzi wenu ulivurugwa eti mnaambiwa mmpe Jecha nishani, bado hamwoni mnatukanwa kiaina?
Zaidi ya kumtukana mama wa mtu tusi la nguoni.
 
Back
Top Bottom