Dk. Possi: Nimejiuzulu

Alipaswa aseme hivi..
"Nimelazimishwa kujiuzuru ili rais atimize matakwa yake ya kikatiba"
Kwa mujibu wa Mwakyembe ni kwamba Possi alipoteuliwa tu ubalozi na ubunge wake ulikoma palepale.Sasa anaanzaje tena kujiuzulu?Aseme tu ameandika barua ya kuliaga bunge maana haingii tena bungeni.
 
Kwahiyo kama hao walikosea basi na sisi tufanye hivyo hivyo. Akili yako ni yakufugia kuku tu.pole
 
Teh teh teh tangu Magu aingie magogoni sijawahi kuona inapita wiki bila kufanya vituko vyenye uvunjifu wa katiba na nimeamini kweli hataki ushauri wa mtu yoyote kabla ya kufanya maamuzi. Haya ndiyo madhara ya kujifanya anajua kila kitu sasa ndiyo anaitia Nchi machakani hatujui tunakwenda wapi hii ni sawa na Marubani kufa wakati ndege ipo angani
 
Dr. Makongoro Mahanga ukitoa ushauri mzuri wa kikatiba
 
Kama topic imekuzidi unaweza kuacha usijadili. Kuandamana marekani ni haki ya kikatiba na wala wenzio kule usifikiri ni kama huku ,katiba inafuatwa na inaheshimiwa kuliko unavyodhani.
Kama hamjui mambo mengine muwe mnanyamaza.
 

Sasa idadi itapunguaje ?
Haiwezi kupungua, mpaka sasa Rais ameshateua wabunge 8.
 
uteuzi ulikuwa batili kwa vile possi kajiuzulu baada siyo kabla ya uteuzi hivyo sanasana ni kuziba mahandaki wapaswa kuomba msamaha tu hakuna ubabaishaji hapo
Mmh kwani ubunge hakuutumikia ama kweli huko ni kuziba mahandaki tena ya IRAQ
 
ingekuwa rahisi hivyo ningekuwa Rais ningewateua na kuwatengua ubunge washkaji zangu kwa zamu angalau mwaka mmoja mmoja wote wakaonja mema ya nchi ,maana ni wengi kweli.mtu mzima kashatembea uchi basi ,akubali aibu ya maramoja.kwani bei gani,maana na huu uchi naona wanapakaza tu kwa speed ya kwenda kariakoo!
 
Aliwahi kuwaita wanafunzi vilaza kumbe na yeye pia kilaza kwa tukio hili sio kuikiuka tu katiba Bali ameikokojolea katiba nishapata jibu kumbe wanasayansi wanapata tabu sana kuongoza nchi
Mkuu usiwahusishe wanasayansi na mambo ya kipuuzi.
 
We kenge kama nia ya babu yako ilikuwa siyo kuvunja katiba angemteua kwanza balozi kabla ya kuwateua wabunge.
Huwezi kuanza na uteuzi wa wabunge uvunje katiba halafu ndo uje urekebishe kwa kumteua balozi. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?? By Faiza Fox
 
Hivi huyu si aliteuliwa kuwakilisha Albino pia? Sasa nani atawawakilisha?
 
Nakushauri uachane na mijadala mizito kama hii.akili yako inakutosha kufugia kuku tu.
 

Syo utashi tu Bali akili za kijinga
 
Salary Slip; acha movie iendelee ingawaje sikumbuki tuliishia episode gani vile!?
 
Kwahiyo kama hao walikosea basi na sisi tufanye hivyo hivyo. Akili yako ni yakufugia kuku tu.pole
Kama ulikuwepo. Nafuga kuku 10,000. Na sasa hivi najenga mabanda ya kufuga kuku 10,000 zaidi. Hongera wewe usiyejua maana ya hija badala yake unakuja na kebehi.
Hivi unajua maana ya lancashire?
 
Huwezi kukataa kukubali hali aliyoamua Mungu iwe "ukaidi" lazima akupige upofu hata mambo madogo usiyaone ili utawala /ufalme wako udharauliwe na hata wasiojua" Mungu msamehe mtawala uwarudishie ufahamu, uwatie nguvu macho yao yaone kabla ya kufanya maamuzi, ili ufalme uheshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…