Dk Mwakyembe arejea nchini

Huyu amekwisha. Mbona amekimbilia Mbeya? Yeye, Sitta na Nape niliwadharau sana tangu walipomtosa Mpendazoe. Mwenzao anasota wao wamerudi kwenye magari na majumba ya viyoyozi na mishahara na posho nzitonzito.

una hakika gani? unajuaje pengine Mpendazoe ndiye aliwatosa wenzake kwa kutosikia ushauri wao kwamba muda wa kuondoka ccm haukuwa muafaka.
 
Its too early to be thankful about Mwakyembe's health by deluding ourselves that he is already untangled from the Pollonium effects. As I know Pollonium kills so slowly and in some cases Russian government critics took almost 10 years to have their organs completely devastated by this lethal poison. At this juncture, it is the matter of time before we understand about the demise of Mwakyembe but hoping that he will at all survive from death is such a chimera.
 
mbona kakimbilia mbeya au madaktari wa India wamemwambia hatapona ni kama anakwenda kuaga na kuwaeleza kuwa maisha yake bado yako shakani
 
Pole sana. Ila ni wakati wa kusema ukweli sio kukaa kumya kwa ajili ya cheo ulichopewa. Bora utupe ukweli hata kama wanachukua uwaziri wao lakini wananchi watakuwa wamejua ukweli na kukulinda. Kuliko kuwalinda watu ambao hawalindiki mwisho wa yote watakumaliza.
 
Dr. umerudi,karibu nyumbani,tunamshukuru Mungu kwa hilo.Wakati ukiwa kule Apollo iliwahi kuripotiwa hapa jamvi kuwa umesema ukirudi hai utaeleza kila kitu kwani umechoka sasa,sasa Dr. wa ukweli tusubiri hilo movie, wahi kabla hawajakuwahi hawa magaidi wa magamba.
 
Kama Daniel alitoka salama kwenye tundu la simba nini kitashindikana kwa binadamu chini ya uwezo wa mungu?
Kitu bora na cha pekee nikuendelea kumwombea kwa mungu kama kila mmoja alivyo funga na kuomba tangu mwanzo!
Madhara ya sumu ile yanaweza kuchukua hata miezi sita hivyo tusishangilie mimba kabla ya mtoto.
Nani kati yenu aliyeiona kwa macho yake hali ya mwakyemba akirejea pale uwanja wa ndege?
 
Mzee Dr. H. Mwakyembe karibu sana home Tz. Vyema sana Mungu amekuponya kama lilivyo kuwa tumaini letu wanaharakati wenzako. Kwa kifupi tunakutakia bed resting njema na hapo january kama Mungu atatufikisha basi uje utuambie ukweli kuhusu yale mambo uliyoyaficha ili kuinusuri serikali ya Jk kwenye sakata Richmond.

Maana hayo mambo uliyoyaficha ndiyo yanayohatarisha maisha yako pollunium 310 si mchezo mzee, ni vyema utuambie Wtz wenzako ili kwamba hata kama ni kufa basi tuendelee kulienzi jina lako takatifu pasipokuwa na mawaa. Glad to have you again Dr. Big up sana wa kwetu!!!
 
kama tunataka uhakika wa yeye kupewa sumu ama la ni vyema tukawasiliana na Dk waliokuwa wakimtibu india na hata hawa wa hapa Tz Waliotoa kibari cha kumruhusu apelekwe India,kumtaka yeye aseme ni kuzidi kumwongezea maadui

karibu jembe letu,pamoja tutafika
 
una hakika gani? unajuaje pengine Mpendazoe ndiye aliwatosa wenzake kwa kutosikia ushauri wao kwamba muda wa kuondoka ccm haukuwa muafaka.
Alisema Mpendazoe. Kati yao watatu hakuna aliyewahi kumjibu. Sitta, Mwakyembe na Nape ni wahuni. Mwalimu angekuwa hai angewaita hivo. Malipizi ni hapahapa duniani.
Baadae Sitta akautaka tena Uspika. JK na CC yake wakampa mtihani wa kubadili jinsia yake ili agombee tena! Mwakyembe ndio huyo. Mara ngozi ya kenge, mara kisukari. Nape atalipwa tu. Magamba yakiikamata CCM 2012 mtasikia mziki wake.
 
Kama Daniel alitoka salama kwenye tundu la simba nini kitashindikana kwa binadamu chini ya uwezo wa mungu?
Kitu bora na cha pekee nikuendelea kumwombea kwa mungu kama kila mmoja alivyo funga na kuomba tangu mwanzo!
Madhara ya sumu ile yanaweza kuchukua hata miezi sita hivyo tusishangilie mimba kabla ya mtoto.
Nani kati yenu aliyeiona kwa macho yake hali ya mwakyemba akirejea pale uwanja wa ndege?

Mhhhhh
mkuu mbona unauhakika na hili la sumu? yaani hata yeye Mh mwakyembe akisoma habari hii anakuwa hana imani na maisha yake

ok ngoja tusubiri

ila tunazidi kumwombea
 
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu, jiepushe na vyakula na maji ya kunywa kutoka kwenye source usizo na uhakika nazo, maana majeraha ya Richmond ni makubwa sana yanaweza yakawa yamepelekea kuzorota kwa afya yako.
 
yah make more impressing to see this person in his motherland,karibu sana ila waambie watu ukweli toka moyoni na hatutegemei utabakiza mengine tena kama ulivyo fanya kwenye ripot ya kamati yako.pamoja sana
 
Back
Top Bottom