Dk. Malasusa, hali bado tete

Mkuu,

Mambo ya uzinzi hayana uhusiano wa kumfahamu mtu. Hufanyika kwa siri sana.... Laiti kuta zingekuwa zinasema ungestaajabu ya Musa kabla ya firauni.

Ni Mungu pekee ajuaye usafi wa mtu.
Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!
 
Jaribu kwa mtu wa Mungu si kwamba ni mtenda dhambi bali ni kikombe tu ni lazima akinywe...hili nalo litapita
 
Kama hawatalitimua hili kahaba la mwendo kasi me naamia AIC rasmi mnamo mwezi Wa 7 hivi siwezi kuongozwa na mtumishi hewa anayetolea macho wake za watu madhabahuni big NO!hakuzaliwa kuwa askofu arudi kulima huku tena atengwe na kanisa kama kwel tunaungana na wakristo wenzetu duniani kukiri Imani ya kikristo Malasusa aondoke.kanisa lifunge kwa siku 40 kutubu dhambi hii ya askofu tukimlilia mungu usiku n mchana atupe uongozi mpya na atusamehe n kuiondoa roho ya ulafi Wa wake za watu katika kanisa.
 
Ukimtumikia Mungu kwa uaminifu shetani atahangaika sana kukuangusha kupitia mawakala wake. Huu ni mfano mojawapo. Mungu ni mwema ila ole wao wanaokubali kutumika kumchafua mtumishi wa Mungu.
 
Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!
Hakuna sehemu niliyosema ni mzinzi. Usinihamishie dhambi za watu. Mi hoja yangu ni moja tu... huwezi kumtetea mtu kuwa si mzinzi kwakuwa unajua historia yake.... uzinzi haufanyiki hadharani......
 
Achane kutetea nyie watoto Wa wazee Wa kanisa jamaa aliyepigiwa mke yupo na anaweweseka sana kuhusu Malasusa kumgongea mkewe mnaficha mini wakati watu tunajua ALIYEGONGEWA MKE WAKE YUPO NA NI MLUTHERI KISAKOLOJIA JAMAA HAYUPO SAWA WHY SHOULD I SHUT UP?
 
Hahahaha nyani jike bana. Hivi ushawahi kukitana na nyani mwenzio Nyani Ngabu? Ni nyani mutlibu asiye mzinzi kama Malasusa.

Fanya hima basi....

BTT.... Huyu jamaa aliyepigiwa mkewe na huyu askofu "mzinzi"... ana ushahidi usio na shaka?? Huyu mume umesema ni muumini wa kawaida ambaye amemuoa mchungaji wake, sio??? Ama kweli wanakondoo wa kizazi hiki si mchezo wanawala mpaka wachungaji wao.
 
Hii dayosisi ina radhi ya Muumba, wajitathmini na kuomba sana Mungu awarehemu. Lakini sharti la maombi ni kuusimamia ukweli kwa gharama yeyote. Nakumbuka Jery Ngwandu aliondoka kwa kashfa na huyu tena ameangukiwa na kashfa inayokaribia kumuondoa.
Hakuna lolote mkuu,dayosisi hii inaongoza kwa mapato mkuu,hizo sarakasi unazoziskia ni kugombania ulaji na madaraka tu.
 
Wangejiuzulu tu wote wawili.
Kama hii stori ni ya kweli basi huyu mchungaji noma. Analiwa na kondoo wake afu anamgaia na bosi wake.

Mi ndo maana kwenda kanisani imekuwa ngumu sana. Makanisani kumejaa full unafiki, ufedhuli, uzinzi nk.... tena ukifanywa na viongozi na makasisi.
 

viongozi wa dini wa tanzania sijui wanawaza nini kwakweli? any way mambo ya mungu kazi kuelewa maana wamepewa uelewa wao tu

hasa hawa katoriki,
 
Majungu, fitna,chuki, husuda dhidi ya Mnyakyusa Malasusa. Wenyewe Wazaramo wanataka Dayosisi yao
Lakini mbona wale wapendwa wa Kaskazini ndo wengi na wanatengenezewa michongo ya kupeana kazi? Ama wa-Pwani wanatumika?
 
Kama imani yako haijajengeka katika Yesu kristo jiwe kuu la pembeni, bali umeijenga kwa kiongozi flani au mtu flani basi nikupe pole saaana bi dada

Kwa mwendo huoo utahamaa sanaaa makanisa , hata huko AIC nako utahamaa , utakako hamia nako utahamaa
Utaendaaaa mpka utafikia kanisani kwetu nako utahaamaaa tena
 
Hakuna sehemu niliyosema ni mzinzi. Usinihamishie dhambi za watu. Mi hoja yangu ni moja tu... huwezi kumtetea mtu kuwa si mzinzi kwakuwa unajua historia yake.... uzinzi haufanyiki hadharani......
Hahaaa bwana Asprin ulivyoikwepaa hiyooo ....nimeipenda hiyo stile[emoji28]
 
Kuna kitu nimekiona kwa mwanahalisi Na KKKT walianza Na kweka kuhusu sijui kapora ardhi wakaja Na askofu mdegela sasa wanapambana Na malasusa naona kuna wachungaji wanalitumia hili gazeti kuchafuana kwa ajili ya uongozi huku awajui kuwa wanalichafua kanisa pia kama swala la unzinzi kwa nini huyo mwenye mke asiseme hadharani aite waandishi Wa habari Na ushaidi wake auweke adharani Na pia amfungulie mashitaka wapo wanasheria wanaweza kumsaidia akapata haki Na mwenye kosa akajulikana
 
kwani ushahidi wa hao wachungaji kugegana ulikamilika? kama ndiyo je katiba yao inasemaje kuhusu adhabu stahili kwa watuhumiwa hao? Pia kwanini mwanahalisi pekee ndio imekuwa chanzo cha hizi habari wakati vyombo vingine vya habari viko kimya?
 
Hahaaa bwana Asprin ulivyoikwepaa hiyooo ....nimeipenda hiyo stile[emoji28]
Hahahaha jamaa anataka kunihamishia msala. Haya mambo mkuu wangu yanahitaji ushahidi usio na shaka ndo uweze kusema huyu ni mzinzi au laa.

Sasa mimi huyo Malasusa wala hata sijawahi kumwona hata kwenye picha, nna mamlaka gani ya kumtuhumu au kumtetea mwenue masuala ya uzinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…