Ndo bongo hiii bwana! Wepesi wa kusahau unatisha!Kwa Tanzania yetu hii,,,watu wameshasahau kama walichakachuliwa katiba yao mimi naona hakuna jipya
Mwanzoni wabunge hao hao walisema hawamtambui rais, lakini sasa wamekuwa wa kwanza kukimbilia Ikulu kuzungumza na rais wasiyemtambua kuona hivyo rais kawapa chai, juisi na soda wakanywa, kesho yake akasaini muswada wa kupata tume ya Katiba mpya, alisema Dk. Magufuli.
Unaweza usiamini, lakini ndo hivyo.
Makufuli vipi sheria ya gesi anaikubali sasa kama anaikubali vipi anawambia watanzania anaweza kuleta maendeleo?
Wananchi wa leo wanaukataa mfumo mbovu uliopo ndani ya ccm kauli mbiu mwaka huu UKAWA kwanza Magufuli badaadaeee.
Endelea kuzoea taratibu,uchaguzi wa Rais ushaisha jumapili iliyopita.Magufuli anasubiri kuapishwa tu.
we ni mnaaNadhani ataibariki ile ya wajanja wachache
Kwanini chief?we ni mnaa
au ni Mnyaa?we ni mnaa