Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Bado nitaendelea kusisitiza, Tanzania haihitaji utitiri wa vyama kama inavyojitokeza kila anayetekenywa na kutekenyeka anaanzisha chama chake, vyama vingi kwa uchu wa madaraka vitabaki ni 'Brief Case Political Parts' na hiyo brief case itakuwa ni ya mtu fulani au chama kingine fulani. Tanzania inahitaji wachapa kazi, inahitaji wagunduzi, inahitaji wenye maneno kidogo lakini matendo mengi...vyama anzisheni, sajilini, hongeni lakini waTanzania bado tuko maskini na umaskini wetu kamwe hautaondoka kwa kuanzisha vyama vingine eti mbadala au sijui nini...itaendelea kwa watu kuacha kukaa Dodoma na kutukanana ila kwenda majimboni kwao kushiriki shughuli za maendeleo na kutoa maelekezo na miongozo kama viongozi wa maendeleo na si viongozi wa kuhama hama vyama na kuanzisha vingine. Ni mawazo yangu tu, toa nawewe mtazamo wako, matusi kwangu mwiko.
 
Chama chochote cha upinzani kikianza kupingana na chama kikuu cha upinzani nchini tambua ya kwamba hicho siyo chama cha upinzani bali ni mawakala wa usalama wa taifa na chama tawala kuwalaghai wananchi.

Chama hicho cha upinzani hutumia vijana walioko chama tawala kuwaaminisha wananchi kwamba kinapendwa na vijana na muda wao wote watakuwa mkikimkiki kujiunga na chama hicho ili kuwalaghai wananchi.

Nawapongeza sana Chadema kuliona hilo mapema na kuwatimua wote walio kosa nidhamu hakika jamii imepata kitu cha kujifunza na mchezo wa ACT dhidi ya Chadema.

Wananchi tunaamini upinzani wa kweli ni kupunguza idadi ya vyama vya siasa na kujenga chama kimoja chenye nguvu kitakachopambana na chama tawala na kuwaletea maendeleo wananchi.

Anachokifanya Dr.Kitila Mkumbo na kikundi chake hakina nafasi tena katika kuitetea nchi yetu yenye utajiri wa kila aina ili uchumi ujipambanue kwa kila mwananchi wa kawaida kuweza kununua mahitaji yake na kubakiwa na ziada ya kipato alichonacho.

Mwisho, nawapongeza Chadema kwa kuwatimua wakosefu wa maadili ndani ya chama na hivi sasa ukweli umejipambanua ya kwamba maamuzi yenu yalikuwa sahihi.
 
:boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink:NI SAWA NA KIRUSI TU HUYO!!!!
 

Huyu jamaa walifikiri siasa ni kama kuwarudisha wanfunzi kwenye sup
 




Kitila karibu hapa jamii forum kwa maelezo ya zaidi hawa watu hawakusoma nakala zako au wamesoma lakini hawakukuelewa au wamekupuuza


This proof that your mission has failed
 
hawa wanajitafutia umaarufu tu,chadema ni noma wewe.
 

kwahiyo mh. zito ameghalisha kuamia kwenye ualimu tena kama alivyo tuhaidi hapo nyuma?!!! kwa sasa ataendelea na siasa tena!! ama kweli ukiwa mwana siasa kuyarudi matapishi yako ni jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…