Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

msaliti mkubwa wewe na zitto hamtuambii kitu,tamaa ya madaraka ndio imewaponza nyie,jimbo la mchemba lilikuwa halali yako kabisalakini ulishindwa kuvumilia ukiwa chadema sasa imekula kwako
 
msaliti mkubwa wewe na zitto hamtuambii kitu,tamaa ya madaraka ndio imewaponza nyie,jimbo la mchemba lilikuwa halali yako kabisalakini ulishindwa kuvumilia ukiwa chadema sasa imekula kwako

umeandika utumbo mtupu. wazazi wako wana hasara sana
 
 
Chadema walikurupuka bila kupima upepo. Sasa kuna wabunge 24 wa chadema wanaomuunga mkono Zitto watafuata nyayo ikiwa jamaa ataondoka CDM.
Kwani Zitto bado tu yuko Chadema?

Basi atakuwa mtu wa ajabu sana yeye ni mlezi wa ACT wakati huo huo amefungua kesi mahakamani kupinga kufukuzwa Chadema.
 

Eti unasema Ighondo yupo na atafanya kazi yake.Mwambie Ighonde wako Binadamu wote niwa MUNGU na kwa kadiri awatendeavyo watu ndivyo nae atakavyotendewa,Kifo anachomuua mtu ndicho atakachokufa,Hatalikwepa ili NENO LA MUNGU ATA AGEUKE MALAIKA LEO.
 
CDM watatutoa resi ila tungeweza kuingia hapo ndani ya UKAWA ingekuwa safi lkn tuko tumejipanga tuna watu wengi kuna kitu tutapenyeza pale ili tuwavuruge TU.
ACT-Tanzani karibuni wote. Msiache kututembelea na kule New Zealand makao makuu

haa ha ha...mbona unaiogopa sana ACT?mbonamshawasha?duh...ndio maana sipendi kuviingiza vyama vya wanadamu moyoni...ona sasa watu pressure zinawapanda...!!
 

Mkuu usiende huko maana ukienda huko utawatukana makamanda wetu wengi sana kuanzia Tundu Lissu, Dr Slaa, Lema n.k,hilo kwa siasa za Africa achana nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…