Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Kwani ule Msalaba wa Kufeli Islamic Knowldge Ulikuwa wake na Maafisa wa NECTA??????Kwanini akubali kubeba mzigo usio wake?
Thats Politics, Nashangaa sana Kwanini Huyu Mama Hajajiuzulu Kwa kweli.
Wanasiasa ambao hata Elimu zao ni Za Kuunga unga zisizoeleweka Kama Lukuvi Wanaingilia Utendaji Uliotukuka wa Mama, Dr Ndalichako