Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Wote mliofaulu kwa ufaulu mwembamba lazima mtamuona huyu mama hafai, lakini kwa watu walio makini na wanaotaka elimu yenye tija wanamuona Ndalichako ni mtu makini.
Mbona hamjiulizi tokea waanze kumpigia kelele za kung'oka kwanini Rais asimsimamishe kazi, ni kwa sababu anajua kuwa anafaa, hayo mambo mengine ni chuki zenu tu.
​kama hayo yote unayosema ni kweli nitaamini pale atakapo kataa kurudiwa kusahihishwa kwa mitihani hiyo
 
​kama hayo unayoyasema ni kweli basi naamini atasimamia vilivyo kutorudiwa kusahihishwa kwa mititihani hiyo
 
dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (ccm). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.

toa mawazo pevu.. Kitakwimu kushuka kwa matokeo kumeanza tangu 2008 watanzania hatukustuka mpaka ilipofika critical..ndalichako ni sehemu ya watanzania anatekeleza kazi zake kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa umma.
Ukitaka kumjua nani mchawi kwa kushuka kwa elimu soma ripoti ya matokeo ya mwaka 2010.
 
Kwa Upuuzi huu tungoje wataalam kila sekta toka China hadi walimu wa Kiswahili manake tunajenga Taifa la Vilaza, jamani tuuungane 2015 kuiondosha CCM madarakani tunakokwenda sikooooo
 
toa mawazo pevu..
Kitakwimu kushuka kwa matokeo kumeanza tangu 2008 watanzania hatukustuka
mpaka ilipofika critical..ndalichako ni sehemu ya watanzania
anatekeleza kazi zake kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa umma.
Ukitaka kumjua nani mchawi kwa kushuka kwa elimu soma ripoti ya matokeo
ya mwaka 2010.

ni sawa na kuvunja kioo eti kwa kuwa kinaonesha hujachana nywele.
 
Nakupa hongera sana Dr. Usife moyo hivyo ndivyo inavyokua siasa inapoingilia mambo muhimu kama elimu. Acha tu sijui itakuaje hao madenti watakapoKapofanya mtihani wa kidato cha sita baada ya miaka miwili sijui tena watarekeb isha matokeo au mtihani sijui utatungwaje. Usihofu mama Mungu akusaidie tu ktk kuhimili vishindo na wingi wa kelele.
 
?kama hayo yote unayosema ni kweli nitaamini pale atakapo kataa kurudiwa kusahihishwa kwa mitihani hiyo

...mitihani hairudiwi sahihishwa upya wakuu...
Kinachofanyika ni kudeal na grading tu. Kusahihishwa upya maana yake ni kwamba vijana wamekoseshwa-marking scheme ya uongo-nk.
Zinachezeshwa tu computer na matokeo yanatangazwa punde
 
​kama hayo yote unayosema ni kweli nitaamini pale atakapo kataa kurudiwa kusahihishwa kwa mitihani hiyo

Mitihani ikisahihishwa na wataalam kama waliosahihisha mara ya kwanza, matokeo yanaweza yasibadilike. Labda kama mitihani itasahihishwa na vilaza wanasiasa.
 
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.

Nitamuona wa maana kama atajiuzulu, kuendelea kushikilia huo wadhifa ni kutuaminisha kuwa alitumia mfumo mpya wa usahihishaji tena bila kushirikisha wadau wa elimu na kupelekea matokeo kuporomoka na hivyo we have to question her performance.
 
Wewe naona ndio ulikuwa na ujauzito wa akili bahati mbaya ume-abort.

Kama huna kumbukumbu kwa kuwa ume-abort ubongo wako ngoja nikukumbushe. Ndalichako alianza kupigwa vita toka wale jamaa walipofeli lile somo lao, yakamfikia kinara wa udini nae bila hiyana amemuundia zengwe.

Unasemaje ndalichako ameua elimu kwani yeye mwalimu, kwani yeye vifaa vya kufundisha na kujifunzia, kwani yeye ndio sera ya elimu. Elimu imeuawa na serikali ya magamba na sasa inataka kumtoa kafara Dr Ndalichako.

Ndalichako aondoke na mwenyekiti wa NECTA naye aondoke.Waunde upya hili baraza kwakuzingatia usawa wa dini,jinsi na muunganowetu.kwani mfumo kristo umewaumiza saaaaaaaaaana waislam na nduguzao wanzanzibar.Ukiingia pale utadhani upo jimboni kwa mtakatifu NECTA.upo parokia ya peramiho ni hatari sana nyie wakristo.kwani diniyenu inafundisha dhulma?mbona siwaelewi mmeikumbati sana.
 
Nitamuona wa maana kama atajiuzulu, kuendelea kushikilia huo wadhifa ni kutuaminisha kuwa alitumia mfumo mpya wa usahihishaji tena bila kushirikisha wadau wa elimu na kupelekea matokeo kuporomoka na hivyo we have to question her performance.

Huwa nashangazwa na maelezo haya. Je unafahamu kuwa mume wa Dr Ndalichako ni Muislam?
 
Huwa nashangazwa na maelezo haya. Je unafahamu kuwa mume wa Dr Ndalichako ni Muislam?

Sorry, umedhamilia kuniuliza mimi hilo swali or it is a mistake? Uislamu wa mume wa Ndalichako unahusiana nini na comment yangu mkuu??
 
ni tanzania tu mtu anaweza kufaulu mtihani nje ya chumba cha mtihani, ushindi wa mezani.

Haya mambo mkuu mzizi wake uko mbali sana! Unapokua na mkuu omba omba! Tegemea wazazi omba omba! hivyo kutengeneza watoto omba omba!

Tatizo kubwa katika kuwa omba omba ni kuwa ni tabia ambayo ni self rewarding (positive reinforcing) na hivyo ni vigumu sana kuacha!! Hivyo tegemea kuomba kila upatapo nafasi hata kama kitu unakiweza. Na ni vigumu kujua kama unaweza au huwezi kwa kuwa unakua ushaomba!

Hii ina maana gani kwenye haya matokeo,
kwa sasa wazazi wamefurahi;
unajua kwa nini?! kwa wazazi wengi wao bora ufaulu, hayo ya kuelewa yatakuja baadae! Hii inamaanisha kuwa mzazi yuko tayari hata kumnunulia mwanae mtihani ili afaulu!

Unganisha dots uje kwenye suala la rushwa ilivyoshamiri katika nchi yetu na ufisadi uliotawala viongozi wetu, ni muendelezo wa fikra hizi! Cha kwanza ni bora kupata unachotaka, suala la umekipataje na wengine wanaumiaje, halina msingi.

Kuna makala moja ya Jenerali Ulimwengu, aliandika tunaishi kama vile hapa sio kwetu!! kama vile tunataka kufunga biashara hapa fasta ili twende kwetu sasa!

Mtu mwenye fikra sahihi ndio atagundua tatizo hapo, mazuzu wanafurahi serikali 'imesikia kilio chao' na hivyo watoto watafaulu kwa kipimo sio cha mtihani waliofanya bali eti kwa 'kuzingatia juhudi walizoweka na mazingira magumu ya Tanzania ya udahili mkubwa bila kujali ubora wa elimu hiyo' kulingana na kauli ya Lukuvi!

Watoto wao wako shule za international, kwa namna yeyote huwezi kuwalinganisha na hawa wa kupewa maksi za ugumu wa maisha! Interview zikija wao watapita!

Huu ulikua wakati wa wazazi kuhoji sasa, nini kilichotokea; kwa nini?! nini athari ya kutatua tatizo la kufeli kwa kushusha madaraja ya ufaulu?! maana maksi ziko pale pale! Na kufeli ni kufeli!

Hekaya za abunuasi,hadi 2015 tutasikia A inaanzia 50%!

Mwanasiasa anataka kura, mzazi anataka mtoto afaulu!
Na mtoto anataka kufaulu kwa kuwa hapendi kufeli sio kwa kuwa anapenda kufaulu!

Tunalishana ujinga! Kilichofanyika ni zaidi ya ugaidi! Kutengeneza taifa la wajinga kwa makusudi?!!

Nani atatutoa hapa tulipo?! Tunapika bomu! Mungu atuepushe!
 
Msimponze yasije yakamkuta ya Tido Mhando, Serikali ya sasa ukweli na kufanya mambo kwa uhakika ni sumu... Muhimu ni kufanya lolote kulinda wanaotawala wabaki madarakani (Maana wakati wote naamini shida siyo chama shida ni hawa wanaopeana kiundugu na kiushkaji kulinda maslahi)....
 
Siasa inaharibu nchi yetu

Lazima ifike mahali tukubaki kutenganisha maslai ya state na yale ya government. Watz tutaendelea kuibeba hii government hadi lini? Hii serikali itapita lakini state itabaki na majeraha makubwa
 
Kweli kabisa
 
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.

kwa sasa anang'oka,kumbe kufeli kwa Islamic Knowledge ndo serikali haikuona tatizo,sio ndalichako tu,hadi Dr Kawambwa na Mr ZIMBABWE N PEMBA
 
Lazima ifike mahali tukubaki kutenganisha maslai ya state na yale ya government. Watz tutaendelea kuibeba hii government hadi lini? Hii serikali itapita lakini state itabaki na majeraha makubwa

binafs naona kama state ina majeraha tena yananuka kwa UVUNDO
 
Back
Top Bottom