Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

Naona umeadhiriwa na lile gonjwa linalowasumbua hapo chuoni hadi vifo vimeongezeka, nakushauri kapime ili ujielewe. Umesahau kuwa hicho ni chuo cha umma umelewa na wenzako hadi umejisahau.
Sasa ndo mnajidai kupanda the ladder of moral high ground wakati ni waumini wa NGONOMICS, tatizo lenu ni kuwa poor performers.
kama mngekuwa na akili za kuwatosha wala msingejiingiza katika upuuzi wa kuandika ujinga JF.
Nani asiyewajua, hata idara nyeti zimefanya kazi kwa mambo yenu ya kipuuxi na kugundua mna akili mbofu mbofu tu.

Nadisitiza , matetembeza sana makalio lakini mtashindwa maana kinachohitajika ni academic exellence na perfornance, kitu ambaco hamjawahi kuwa nacho.
 
Siku zenu za kuichezea serikali zinahesabika pamoja na mabwana zenu.
 
Siku zenu za kuichezea serikali zinahesabika pamoja na mabwana zenu.
,
Sikuiti mkuu, maana hustahili.
Mtu unayetoa mbbofu mbofu na wewe ni mbofu mbofu tu.
Kama madudu ya wakuu wako wa kazi unayafahamu na unayajua, aidha ni mtu mwoga sana asiyestahili kuajiriwa au mtu wa majungu na kizabizabina.

Sasa naanza kuona unaanza kukubali kuwa nawe ni mtu mjinga mjinga tu wa majungu.
Ili serikali iyafanyie kazi madudu yako, nenda ukayapeleke kimaandishi.

Zaidi ya hapo, bwana mfogo, soma sana ujiendeleze uweze kujiajiri au kuajiriwa sehemu nyingine.
Inferiority complex ndo zinawafanya kulalamikia makwapani, and in actual fact, ninyi ndo wenye mioyo ya kwenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta ndumba badala ya ku perform na ku excel katika kazi.

Kwa vidomo domo vyenu ni dhahiri maisha yenu hayako vizuri sana, maana mnaishi kwa kumtazama jirani ana nini, a recipe for failure.

vinyago vilivyo funika nyuso zenu karibu vitafunuliwa.
 
Eti kile kigodoro cha Dr. Magotti cha Zanzibar bado kipo. yule Mwl wetu kilaza wa 2.8 G.P.A. yupo, muomba rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike yupo, wale wadada wapenda waume za watu wapo, wachakachua matokeo ya wanafunzi wapo na yule mtaalamu wa kurudisha miaka nyuma yupo, wale wanaume wambea (umbea wa kike) wapo. Nakuhakikishia fagio la chuma kwa wakiuka maadili wote hapo chuoni liko karibu, itumieni habari za JF kujiaandaa kisaikologia.

Endelea kutembeza makalio yako, pengine unaowapa wakinogewa ndio wataondoka.
Kazana kijana , makalio ni yako ila hala hala usijepasuka msamba.
 
Nasikia serikali inazidi kuwabana mafisai katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, naamini si muda mrefu chuo kitarudia hadhi yake ya zamani. Ufagio wa chuma utakapowapitia wahusika waliowasafi watabaki kukiendeleza chuo hicho.

Endelea kusikia tu, maana kati ya hao wasafi we si mmoja wapo.
Soma posti za huko nyuma upate kujielewa elewa.
 
Endelea kusikia tu, maana kati ya hao wasafi we si mmoja wapo.
Soma posti za huko nyuma upate kujielewa elewa.
Tawi la Chuo cha Kumbuku ya Mwalimu Nyerere, Zanzibar sasa kina Mkuu mpya mahiri baada ya Kigodoro cha Magotti kuondolewa kwa aibu. Kiongozi mahiri kwa tawi la DSM yuko njiani na hivyo mafisadi wote wa elimu chuoni hapo wanakiwa kujiondoa wenyewe kabla ya ufagio wa chuma kuwafikia.
 
Vitoko vinaendelea Chuoni hapo. Baada ya Serikali kuamua kulipa mishahara moja kwa moja kwenye akaunti za wafanyakazi wamegundulika wafanyakazi hewa zaidi ya elfu 14 na chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ni moja ya sehemu iliyokutwa na wafanyakazi hewa. Ajabu iliyoje wafanyakazi walioacha kazi na waliofariki walikuwa wanaendelea kulipwa mishahara. Hongera serikali kwa kugundua moja ya ufisadi huu mkubwa katika chuo hicho maana kuna ufisadi mwingi, sasa ni wakati wa kuwakamati wahusika na kuwachukulia hatua stahiki. Asante Mungu kwa kusikia kilio cha wazalendo wa nchi hii kuhusu ufisadi.
WANAJANVI SALAM?

Namasikitiko makubwa juu ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Kigamboni ambacho kwa ukweli mimi kama mtu wajirani na chuo hiki yanayotokea yananipa mashaka endapo katika serikali ya rais Kikwete kuna watu makini katika kusimamia elimu yetu.

Huyu mkuu wa chuo alishawahi kufungiwa mlango na watumishi miaka kazaa nyuma na akanusuriwa na mzee kingunge Ngiombare Mwiru.

Alistaafu akapewa miaka mitano akamaliza akapewa tena miaka miwili hadi feb 2014, sasa kunataarifa kuwa kaomba kujiuzuru haraka oct 2013 pamoja na Mkt wa bodi DK SALI A SALIM baada ya kuona moto unawake kila kona.

Moja; Magoti anatuhumiwa yeye na MR Lwambano kula zaidi ya Tsh milioni 300 za fedha ya gharama ya wanafunzi ya matibabu

Yani walichangisha pesa kinyume na agizo la serikali LA MWAKA 2008

Serikali iliagiza tangu mwaka 2008 kuwa mwanachuo au sekondari aliejiunga na bima ya afya Hatotozwa tena gharama ya matibabu na taasisi za umma na taasisi hizo zijiunge na bima ya matibabu

DK MAGOTI kwa njia za panya akaanzisha mchango wa matibabu wa shilingi laki moja kila mwaka kwa kila mwanazfunzi na kwa mwaka alichangisha zaidi ya milioni 150 kwa wanachuo waliokuwa takribani 1500,mchango huo ulidumu kwa muda waamiaka 3 hadi 2013 kutokana na kitumbua kuingia mchanga mara baada ya mwanachuo aliekuwa akisoma chuoni hapo kwa wakati huo ABUBAKAR ASENGA .D kuwasha moto wa kukataa kulipa gharama hizo na hatimae aliondolewa chuoni kwa kusimamishwa miezi 3 na kesi hadi sasa inaendelea ambapo chuo kimeshatumia zaidi ya milioni 10 kumlipa wakili wakuhakikisha mwanachuo huyo arudi chuoni hapo.

Magoti akaweka tangazo kuwa atarejesha pesa zote za wanachuo ambazo amezichangisha weye bima za matibabu ,jambo ambalo hajafanya hadi sasa, na wanachuo wengi wameshamaliza chuo na wako tangu miaka 3 nyuma, atarudishaje pesa hizi na hizi pesa zimetumikaje mana nasikia imebaki laki 6 tu?

Nani anazikagua? Wakati zahanati hapa chuoni inapewa ruzuku ya dawa na tabibu analipwa na serikali.
Hadi sasa wanachuo ambao hawana bima (na chuo hakitaki kuanzisha huduma hiyo chuoni) wanatakiwa kulipa shilingi laki moja kila mwaka, mwanachuo aumwe au asiumwe lazima aliepe na gharama hizo ni kwa zahanati ya chuo tu inayofungwa saa 10 jioni na tabibu ni huyo mmoja tu.

Mwanachuo akipewa rufaa ni kwa gharama zake,baaada ya malalamiko sasa Magoti kaamua eti mwakachuo akizidiwa zaidi atapelekwa Burhani hosp ambapo ameingia nao mkataba wa kifisadi pia.

Kila kitu huyu mzee anaamua mara baada ya kushauriwa na huyu bwana Lwambano ambae ndie anaonekana kumiliki utajiri wa Dk Magoti.

Kumbukeni huyu Lwambano ameajiriwa chuo cha Nyrere mara baada ya kufilisi kiwanda cha kahawa Moshi, na ameajiriwa akiwa na miaka 40 kinyume na taratibu za serikali.

Anafanya kazi zaidi ya tatu hapa chuoni,msajili,mhadhiri,msimamizi wa zabuni,msimamizi wa rasilimali watu na kadhalika.

Mara zote huyu bwana Magoti, alikpokuwa akiandikwa hapa mtandaoni na ufisadi wake alikuwa akitetewa na bwana mmoja anaejulikana kwa jina la Mabuba ambae ni memba wa sikunyingi humu ,na ni mfanyakazi hapa chuoni.
SASA MABUBA NAE YAMEMKUTA NA KAMA YUMO HUMU ASEME KWELI HAPA

Alikuwa afisa wa mitihani, akaamuriwa aweke somo la mtihani kwenye ratiba kinyuime cha taratibu kwa kuwa somo lilikuwa jipya na halikuwa kwenye mpangio wa mwaka, alikataa na siku ya mwisho, Magoti aliingia ofisini kwa Mabuba na kutunga mtihani,kuchukua karatasi za majibu na akaenda kwenye chumba cha wanachuo wanaotakiwa kufanya mtihani na kuwasimamia yeye mwenyewe kwa kuwa alitangaza somo hilo kuanza kufundishwa pasi na marekebisho ya kanuni wakati bwana Mabua alisema endapo somo hilo litafanyika basi atajiuzulu nafasi yake

Mabuba sasa AMEACHIA OFISI,ameelewa ukweli na uzalendo umemshinda akaamua kuachia nafasi na akaondolewa na kuteuliwa mtu mwingine ambae kwa kweli nikichekesho mana wanachuo imebidi wapate matokeo yao kwa njia ya kusoma kwenye matangazo kwenye ubao,,kwa kuwa hakuijua ofisi wala hakupewa semika ni kama kawaida ya Magoti ya kuhamka asubuhi na kusema wewe ndiwe utakuwa afisa mitihani na unakuwa.
NI DIKTETA MKUBWA.

Pole Mabuba, ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa maana lazima udhihiri.

Tatu; WATUMISHI HAPA CHUONI SASA hawapati allowance yeyote ile ikidaiwa hakuna pesa na pesa zilienda kujenga nyumba ya kukaa wanafunzi katika tawi la chuo cha zanzibar kinyume cha taratibu.

Chuo hakina fedha chuo ambacho kilikuwa kinakaribia idadi ya wanachuo 2000 miaka miwili iliyopita sasa walioomba kujiunga na chuo hawafiki 200 na kunahati hata wasiwasili wote, sasa chuo hakifikishi jumla ya wanachuo 1000
WAZIRI MKUU PINDA NJOO KWA ZIARA YA GAFLA HAPA CHUONI AMURU UZUNGUMZE NA WAFANYA KAZI BILA MAGOTI NA MR LWAMBANO KUWAPO,,,,,TUKWAMBIE MAMBO ZAIDI YA YALE YA MWAKA JUZI ULIPOKUJA NA KUKUTA UFISADI ULIOKITHIRI CHUONI.

HAPA CHUONI kulikuwa na mkuu wa idara ya maktaba huyu bwana ni Mmasai hakutaka mchezo aliletewa orodha ya vitabu 5 vilivyonunuliwa kila kimoja shilingi laki saba wakati vinauzwa shilingi elfu arobaini kariakoo, akapandisha mori na kwenda kwa Magoti,alipofika akaambiwa alaa kumbe unakiherehere na wakubwa WA NCHI HII…..
basi utaisoma namba, huyu bwana Mmasai ana first class degree katika mambo ya maktaba na aliajiriwa akiwa na diploma mpaka sasa ajatambuliwa wala kupandishwa cheo, wenzake wanapanda tu yeye kila mwaka anaambiwa bajeti si ya Wamasai

Mkt wa bodi ya chuo hiki ni DK SALIM AHAMED SALIM, DK HUYU ANAMAJUKUMU MAZITO YANAYOMPA NAFASI MAGOTI KUFANYA ATAKACHO kwakuwa hakuna mtu wakaribu kumfatilia.

ALICHUKUA MAGARI YA SERIKALI KWENDA KUTOLEA POSA YA mwanae Musoma na kushiriki kwenye harusi Arusha KAFANYWA NINI?

Lwambano kila kukicha anachukua magari ya serikali chuoni na kwenda nayo Rufiji kwenye shamba lake,
LWA MBANO SASA ANAMILIKI MAFUSO ZAIDI YA 7,EXTRIAL GARI YA KUTEMBELEA NA JUZI AMENUNUA PRADO NEW MODEL AMEIPAKI CHUMBANI NYUMBANI ANAPOISHI NA AMEIJENGEA UKUTA akifanya mpango wakubadili hati kuandika jila la nduguye.

Kila mara anawalingishia wafanyakazi wenzake kuwa yeye amejijenga vya kutosha na yupo tayari kwa chochote.
Mambo ya Magoti yalimkuta pia aliekuwa makam mkuu wa chuo Mr Mushi na kukataa kuongezewa mkataba na badala yake kuwa mwalimu wa kawaida,siku ambayo Mushi alisema hivyo haraka bwana Magoti akamteua mtu wake ambae yeye hajui kusema hapana bali NDIYO TUU anaitwa Mr Lunyelele kuchukua nafasi kabla ya bodi kuamua.

Sasa Lwamabano anapesa kuliko chuo, Juzi ameikopesha SACCOS YA wafanyakazi wachuo na yeye ndie anatembea na makabrasha ya saccos.

BWANA MAGOTI SIKU AKIKUTANA NA WANACHUO KUZUNGUMZA NAO,HOTUBA ZAKE NI MAARUFU KWA KUANZA HIVI, “NDUGU WANACHUO KAMA KAWAIDA HAKUNA MASWALI H APA”,ANAHUTUBIA ANAONDOKA
NAULIZA HIVI DK MAGOTI AMEKINUNUA CHUO CHA MWALIMU NYERERE?
MAANA CHUO SASA KINAITWA CHUO CHA KUMSAHAU NYERERE

Alimuajiri shemejie amabe alisomea vyeti vya mtu akiwa na diploma na kumsomesha hadi Phd bwana MHAGAMA,kilipo waka likawekwa tangazo eti ameamua kuacha kazi kwa hiari.

Sasa hapa chuoni bwana Magoti amemuajiri ndugu yake anaeitwa Mr KIOI,huyu bwan pia ameajiriwa chuo cha DIT suala ambalo nikinyume cha taratibu za serikali kwa mtu kuwa na ajira mbili rasmi ndani ya taasisi za serikali,utashangaa wakati Magoti ni mkubwa ktk nchi hii anatishia kila mtu,

HUYU NDIE DK MAGTI WA KWENYE PICHA HII
 
Nakuunga mkono mkuu, naamini wamesikia.

wewe Assengar Abubakar umekuwa shabiki wa ccm pamoja na mafisadi wake..... Wananchi wanavoumizwa na mafisadi ndivo hivo hivo unavoumia. Ulidhan kuwa uvccm magoti atakuacha? Eti zimebaki laki 6 what?? Wewe auditor? Tafuta chuo ukasome siasa inaendeshwa na waliosoma. Unashabikia mafisadi wa matrioni unapambana na fisadi wa mil 150. Stpd! Soma kwanza ngonjera hazitakusaidia ktk maisha yako. Vinginevo utabeba briefcase za makonda mpaka utazeeka.
 
CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII Hakuna chuo pale ni sanaa tu. Waalimu kibao ni feki hawana uwezo. Wapo wapo tu, kumpeleka mtoto pale sio. kimsingi ni chuo cha watu wasiojua umhimu wa elimu. Dr. Magoti ni kada na CCM bado hawajakubali kuwa chuo chao sasa kimekuwa cha umma.
 
Hawa CCM ni shidaaa wameuziana Shule ya Sekondari ya Isango iliyopo Rorya Tarime,ambayo ilikuwa inamilikiwa na moja ya Jumuiya za chama hicho Jumuiya ya Wazazi na iliyojengwa
kwa michango ya wananchi wa mkoa wa Mara,hii kitu itawagharimu sana sijui M/kiti Wazazi Taifa yupo wapi na kama anajua umuhi u wa Elimu.
 
Piga ramli tuu lakini siku za mafisadi wa fedha za wafanyakazi hewa zinahesabika katika Chuo cha mwalimu Nyerere.
wewe Assengar Abubakar umekuwa shabiki wa ccm pamoja na mafisadi wake..... Wananchi wanavoumizwa na mafisadi ndivo hivo hivo unavoumia. Ulidhan kuwa uvccm magoti atakuacha? Eti zimebaki laki 6 what?? Wewe auditor? Tafuta chuo ukasome siasa inaendeshwa na waliosoma. Unashabikia mafisadi wa matrioni unapambana na fisadi wa mil 150. Stpd! Soma kwanza ngonjera hazitakusaidia ktk maisha yako. Vinginevo utabeba briefcase za makonda mpaka utazeeka.
 
Kweli Mkuu sisi tunasoma hapo hatujui kama tutapata kazi maana elimu inayotolewa ni ya kimagumashi. Kuna vijifisadi vimejificha pale wanaona wameiweka serikali mfukoni.
CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII Hakuna chuo pale ni sanaa tu. Waalimu kibao ni feki hawana uwezo. Wapo wapo tu, kumpeleka mtoto pale sio. kimsingi ni chuo cha watu wasiojua umhimu wa elimu. Dr. Magoti ni kada na CCM bado hawajakubali kuwa chuo chao sasa kimekuwa cha umma.
 
Tatizo sio chama Mkuu, tatizo ni vijifisadi vilivyojificha kwa jina la chama.

Back
Top Bottom