Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Ndugu wapendwa
leo nilikuwa mitaa ya tmj nikimsindikiza ndugu yangu mmoja akiwa na mwanae
bahati tukiwa kwenye foleni ya dk mmoja anaitwa DK CAPTAIN .tukakutana na
jirani mwenzetu nae kaleta mamayake mmoja anaumwa pressure..alipoingia
huyu jiran akatoka nje na kuniita ...maongezi yalikuwa ni lawama yule kwa huyu dk
alipomwona akamwambia mbona umekuja leo tena unatakiwa ucheki na madk wengine
baada ya muda kakaingia kale katoto cha ndugu yangu hakika ilikuwa ni yale yale akamuuliza
mbona umemleta huku..kwani hakuna ma daktari wengine huko mbele ..embu nenda ukaulize
ma dk wengine wakusaidie leo siwezi kumtibia mwisho akasema nakushauri sio ukitibiwa na mimi
uwe unakuja kila siku
huyu dk ambae sijui kama itakuwa vibaya ma dk kupewa kozi ya customer care kwa kweli
inaonekana yale mambo mnayosoma yanawafanya wakati mwingine mnakuwa kama mmechanganyikiwa
ilikuwa huzuni sana atukuamini kilichotokea zaidi ya kumwambia mungu akubariki
sasa pale tmj kuna namba ya kutoa complains ambayo ni siku ya 366 kama sio mwaka ukipiga aipatikani kabisa naamini wapendwa wenye kumjua daktari huyu tunawaomba mumfundishe awe na hofu ya mungu mgonjwa anapokuja kwakwe sio anakuja kuomba mapenzi anakuwa na shida na kama mungu amempa uwezo hana budi kumsaidia pale anapoweza
natangaza nguvu hii ya uovu kwa wagonjwa isiwe kwa madk wengine in jesus name