Dk huyu wa TMJ hatari sana ajirekebishe kwa yoyote anaemjua, anaitaji upendo wa Mungu kutoka juu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Ndugu wapendwa
leo nilikuwa mitaa ya tmj nikimsindikiza ndugu yangu mmoja akiwa na mwanae
bahati tukiwa kwenye foleni ya dk mmoja anaitwa DK CAPTAIN .tukakutana na
jirani mwenzetu nae kaleta mamayake mmoja anaumwa pressure..alipoingia
huyu jiran akatoka nje na kuniita ...maongezi yalikuwa ni lawama yule kwa huyu dk
alipomwona akamwambia mbona umekuja leo tena unatakiwa ucheki na madk wengine

baada ya muda kakaingia kale katoto cha ndugu yangu hakika ilikuwa ni yale yale akamuuliza
mbona umemleta huku..kwani hakuna ma daktari wengine huko mbele ..embu nenda ukaulize
ma dk wengine wakusaidie leo siwezi kumtibia mwisho akasema nakushauri sio ukitibiwa na mimi
uwe unakuja kila siku

huyu dk ambae sijui kama itakuwa vibaya ma dk kupewa kozi ya customer care kwa kweli
inaonekana yale mambo mnayosoma yanawafanya wakati mwingine mnakuwa kama mmechanganyikiwa
ilikuwa huzuni sana atukuamini kilichotokea zaidi ya kumwambia mungu akubariki

sasa pale tmj kuna namba ya kutoa complains ambayo ni siku ya 366 kama sio mwaka ukipiga aipatikani kabisa naamini wapendwa wenye kumjua daktari huyu tunawaomba mumfundishe awe na hofu ya mungu mgonjwa anapokuja kwakwe sio anakuja kuomba mapenzi anakuwa na shida na kama mungu amempa uwezo hana budi kumsaidia pale anapoweza

natangaza nguvu hii ya uovu kwa wagonjwa isiwe kwa madk wengine in jesus name
 
Nenda pale TMJ omba kuonana na mhindi mmoja anayeitwa KUZEMA mwelezee hilo tatizo atakusaidia
 
Ni haki ya Dr kutibu au kutotibu mtu, Dr akishakataa kukutibu tafuta mwengine kwani kisheria sio lazima akitibu weye.. sijui kuhusu sheria za huko bongo.. ila kawaida Dr ana haki ya kumkataa mgonjwa
 
Infact we need to have pitty with the sick person always because no one needs sickness in his/her life. Ndugu pole sana kwa yaliyokupata. Tuzidi kuwaombea hata madaktari wetu wasiwe na emotions zao zingine wakiwa kazini, wana dhamana kubwa.
 
Bongo hizo zipo sana na serikali inajua..

Apollo dr, consultant, specialist etc anaaambiwa tu na customer service division tena kwa e mail, kuwa una mgonjwa wako tumempokea rum no flani so nenda kaonane nae mjue muanza vipimo na matibabu.. Na Dr anakufata rum,

Lakini bongo kama analazimishwa, proffesionalism ni zero kabisa
 
Huwa anatibu vibinti tuu,anaangalia sura sana huyu Dr.ni malaya wa kutupwa.ni mkongo aliyelowea sijui hata uhamiaji wanamjua?
 
Ni haki ya Dr kutibu au kutotibu mtu, Dr akishakataa kukutibu tafuta mwengine kwani kisheria sio lazima akitibu weye.. sijui kuhusu sheria za huko bongo.. ila kawaida Dr ana haki ya kumkataa mgonjwa
Hivi we njiwa unaongea kutoka moyoni au umekosea! kilichompeleka hospitali ni nini kama hataki kutibu wagonjwa, nadhani wewe hayajakukuta, ukipita ktk mazingira haya huwezi kuongea hivi ndg yangu, tena Mungu akusamehe na omba yasikukute aisee!

Pole sana Pdidy, na Mungu awarehemu sana hawa madaktari na manesi, kweli wanaboa sana sometimes jamani hivi kweli unawezaje kumjibu mgonjwa hivyo! najisikia vibaya sana kwa kweli poleni sana, so mlipata matibabu kwa daktari mwingine?
 
Professionally huyo Dk. kama aliona hawezi kumwona mgonjwa alitakiwa afanye arrangement zake kutafuta Dk. mwingine awaone hao wagonjwa ambao alifikiri hawezi kuwaona. Mgonjwa hawezi kujua kama hakutakiwa kumwona huyo Dk. Captain. Hawa ndio madk. ambao wanavunja heshima za profession hii.
 
Ndugu wapendwa
leo nilikuwa mitaa ya tmj nikimsindikiza ndugu yangu mmoja akiwa na mwanae
bahati tukiwa kwenye foleni ya dk mmoja anaitwa DK CAPTAIN .tukakutana na
jirani mwenzetu nae kaleta mamayake mmoja anaumwa pressure..alipoingia
huyu jiran akatoka nje na kuniita ...maongezi yalikuwa ni lawama yule kwa huyu dk
alipomwona akamwambia mbona umekuja leo tena unatakiwa ucheki na madk wengine

baada ya muda kakaingia kale katoto cha ndugu yangu hakika ilikuwa ni yale yale akamuuliza
mbona umemleta huku..kwani hakuna ma daktari wengine huko mbele ..embu nenda ukaulize
ma dk wengine wakusaidie leo siwezi kumtibia mwisho akasema nakushauri sio ukitibiwa na mimi
uwe unakuja kila siku

huyu dk ambae sijui kama itakuwa vibaya ma dk kupewa kozi ya customer care kwa kweli
inaonekana yale mambo mnayosoma yanawafanya wakati mwingine mnakuwa kama mmechanganyikiwa
ilikuwa huzuni sana atukuamini kilichotokea zaidi ya kumwambia mungu akubariki

sasa pale tmj kuna namba ya kutoa complains ambayo ni siku ya 366 kama sio mwaka ukipiga aipatikani kabisa naamini wapendwa wenye kumjua daktari huyu tunawaomba mumfundishe awe na hofu ya mungu mgonjwa anapokuja kwakwe sio anakuja kuomba mapenzi anakuwa na shida na kama mungu amempa uwezo hana budi kumsaidia pale anapoweza

natangaza nguvu hii ya uovu kwa wagonjwa isiwe kwa madk wengine in jesus name

Nadhani huyo Dr Captain huwa anasoma hapa JF namjibu hivi uliajiriwa kama Daktari hapo TMJ lakini hukutakiwa kwenda hapo uliajiriwa siku moja tu ondoka hapo hutakiwi. You are speaking what your Auto Smart Smile had to spit at your toilet.
 
Badomnatibiwa kenye hizo hospital za private!Mimi sitaki kusikia Aghakan,TMJ na Regence hata kidogo zilishanitenda vibaya mno.Nikiwa na mgonjwa na GVT hospital.
 
Watu kama hawa dawa yao ni kuanza utaratibu wa kuwapasua vichwa kwa Risasi ili nao waanze kujifunza utu..
 
Kuna mwingine alikuwa pale TMJ, akiingia mwanamke ndani ya chumba chake, kama akimwona kuwa ni mzuri, yeye ni kumtongoza tu, anaitwa Dr. Omari. Sijui kama bado yupo pale au la...
 
Bongo hizo zipo sana na serikali inajua..

Apollo dr, consultant, specialist etc anaaambiwa tu na customer service division tena kwa e mail, kuwa una mgonjwa wako tumempokea rum no flani so nenda kaonane nae mjue muanza vipimo na matibabu.. Na Dr anakufata rum,

Lakini bongo kama analazimishwa, proffesionalism ni zero kabisa

Wewe unaenda mbali sana badala ya kutolea mifano hapa third world country unaelekea Apolo vp nyie ndiyo wale mnaotibiwa kwa bill yetu nini.Toa mifano ya Hindumandali,Regency, Aga Khan ambako angalau middle class tunaaford sasa unaelekea Apolo tena ndugu yangu
 
dr wa familia ya dr mengi.....na ana mengi kwa familia ya mengi

samahani kama ni ndugu yako anaonekana anapenda kutibu mabinti wa kike sana mbaya zaidi wakifika wanampigia sim u alafu anatoa ruhusa kwa secretary wake anawaruhusu huku kuna wazee wamekaa toka saa mbili wakimsubiri hii ni laana jamani ni uovu zaidi ya uzinzi..uwezi weka wazee wanafika saa mbili alafu unaambiwa dk anaingia nne na nusu na akifika unakuta mabinti wamekaa nje wanamsubiri ..kuingia kwa hawa ndugu ilikuwa favour ya mungu kwa kweli hata sijui aliruhusuje..ukimwona alivyo unaweza mwona mstaarabu kweli lakinni kiroho namwona ana pepo baya sana la kitandani mungu aakamfungue kwanza na hili la kukatisha watu tamaaa
 
kuna mwingine alikuwa pale tmj, akiingia mwanamke ndani ya chumba chake, kama akimwona kuwa ni mzuri, yeye ni kumtongoza tu, anaitwa dr. Omari. Sijui kama bado yupo pale au la...

alishaondolewa mkuu ...heee heeee na nyie mna info maana kuna kabinti kalikuwa kaanaumwa pemben ya paja cha kazini kaka akaomba aangalie akishika anapiga shauku ashiiiii ashiiiiiii your so soft loh ningekuwa mie ningewambia soft ya mamako huna adabu
 
Back
Top Bottom