Dk. Hamis Kigwangalla aikana kampuni ya Qnet

Huyu jamaa ni kielelezo tosha cha aina ya mawaziri mizigo walioko CCM..

Sasa kama yeye mwenyewe alishakana mpaka jina lake ,siwezi kumshangaa kuikana hii kampuni ya kitapeli..
 
Hiyo Qnet ni Kampuni gani? Nayo inahusika na mambo ya betting? Maana Nafikiri betting Ndio 'viwanda' vinavyoanzishwa kwa wingi sana hapa nchini kwa Sasa, hata vijijini watu wana bett!


Kuna hivyo kitaalam vinaitwa MLM au PONZI au Network Marketing.
 
Huyu waziri siku zote mkurupukaji.waziri Husein Mwinyi hutamkuta katika upuuzi puuzi kama huu
 
Ktk pic wazir kingwa alivyoshikilia mkasi......Teh Teh

Ova
 
Hivi TISS kazi zao si pamoja na kuwapasha hawa mabwana wakubwa yanayojiri ili wasijeingizwa choo cha kike ama?
 

Ha ha ha ha ha kuna kaofisi kengine kapo hapo Mikocheni kwa Warioba alinipeleka jamaa yangu mmoja ilikuwa jioni nikaamkiwa Goodmorning!mahubiri yakaendeleaaa nikaambiwa ninunue saa sh milioni 5! Halafu nimlete nimlete mtu naye anunue ndo nianze kupata pesa!nikamtizama yule jamaa alonipeleka nikamuuliza wewe ushaweka?kanambia ndio nikamwambia la kuambiwa changanya Na zako!
 
Sasa mtu kama yeye anapeteza muda kwenye kitu ambacho hakijui itakuaje kwa watu wakawaida.
 
Duh what a shame Eti Mimi simo majibu ya kitoto [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Waziri/naibu waziri unashiriki uzinduzi au shughuli ambayo hujui inajishughulisha na nini achilia mbali uhalali wake hata kama walikuokota baa siku hiyo Kigwa,hapana.



Magu utatumbua mpaka vidole viote vigimbi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikisomaga hiz comments zinazohusiana na haya mambo ya Networking huwa nacheka sana dah
 
Hawa ndio mawaziri wanaosani mikataba bila hata kuiona....aibu yako Kigwangalla.

Ingekuwa enzi za Mwalimu huyu waziri angeandika barua ya kujiuzuru mwenyeweee. Ikifika mezani kwa Julius angeteua mwingine bila hata kujibu hiyo barua! Principal ya mke wa Kaizari is applicable !
 
Waziri/naibu waziri unashiriki uzinduzi au shughuli ambayo hujui inajishughulisha na nini achilia mbali uhalali wake hata kama walikuokota baa siku hiyo Kigwa,hapana.



Magu utatumbua mpaka vidole viote vigimbi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti vigimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mara paaap... MAGU ametengeua uteuzi wa kigwangala
 
Comments za wadau zimeniacha hoi [emoji15] [emoji23] [emoji23]

 
Kigwangala asikimbie hii hoja alikuwa anawasifia sana hawa Qnet siku ya uzinduzi na aliwaelezea kama watu anaowajua sasa leo anakimbia nini?
 
Pale unapokata utepe wakati si mgeni rasmi.....🙁🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…