Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Mere presence ya Waziri ni endorsement ya activity yoyote.
Waziri hakijui kitu chenyewe lakini anaenda kwenye uzinduzi!
Mambo kama haya ni Tanzania pekee. Hili linatosha kutumbuliwa bila ajizi.
Tusishangae mikataba mibovu kama mawaziri ni calibre hii.