Goodmorni mkuu!heheheHiyo Kampuni wana ka ' branch ' kao kamoja hivi kapo Sinza jirani na Hostels za UDSM ukienda hapo hata kama ni Saa Saba ( 7 ) mchana utasalimiwa kwa kuambiwa ' Good Morning ' na baada ya hapo utaanza ' Kuhubiriwa ' Kitapeli na Wanawake tofauti tofauti ambao huzungumza haraka haraka utadhani wamebanwa na Haja Kubwa na wanataka kuwahi Kujisaidia.
Msimu huu tuko vizuri nyama yoyote ikitupitia mbele Yetu tunaila tuShinyanga Simba SC tumetoka sare ya magoli mawili kwa mawili na Mwadui FC na bado tunaongoza Ligi kwa tofauti ya alama tano na wale ' Wendawazimu ' wanaotufuatia ambao Kwao matokeo ya jana yalikuwa ni ' Sherehe ' Kwao kana kwamba vile wameshakuwa na alama sawa na Mnyama Mnyamani ( Simba SC ) wakati ukweli ni kwamba watajitahidi kuifukuzia Simba SC ila kuipita Simba SC wasahau.
Alishakana mpaka jina lake halisi..UsimshangaeHusije shangaa kwa mtu kama Kigwangala kumkana hata baba yake mazizi,kwa ushahidi huu unakana vipi kuwa uifahamu kampuni ya QNET? Msomi wa kiwango chake,mbunge na waziri wa serikali anawezaje kuzindua/kushiriki kuzindua kampuni/bidhaa hasiyo ijua?
Yaani dkt mzima unakwenda kwenye ufunguzi wa kitu fulani alafu Kumbe hujui Hata kampuni hiyo inafanyaje kazi...what a shame!Teuzi ya Kigwangala itenguliwe kwa utapeli huu
Ungepigwa mkuu faster hawa Jamaa ni matapeliWaliponifanyia presentation walitumia picha yak Mheshimiwa. Wakanambia ona hata waziri kaja kuzindua ofisi, ni real business. Ila asante Mungu sikununua high kippende chao...
Ni hatari kufanya jambo ambalo haulijui.
Goodmorni mkuu!hehehe
Hivi forex unaonaje nao ?najua wee una uelewaa sana na mbobezi wa hali ya juu ....hebu Sema Machache kidogo mkuu
Ova
Alikua anataka aonekane kwenye mediaKwa kwel nimemsikitikia sana kigwangala. Kwel waziri tena anayejiita DR. unaburuzwa kuzindua kitu usichokijua kweli??
ila nimechekaHiyo Kampuni wana ka ' branch ' kao kamoja hivi kapo Sinza jirani na Hostels za UDSM ukienda hapo hata kama ni Saa Saba ( 7 ) mchana utasalimiwa kwa kuambiwa ' Good Morning ' na baada ya hapo utaanza ' Kuhubiriwa ' Kitapeli na Wanawake tofauti tofauti ambao huzungumza haraka haraka utadhani wamebanwa na Haja Kubwa na wanataka kuwahi Kujisaidia.
Huwa tunaikosoa serikali lakini kwa utapeli huu ni akili za watu wenyewe wanajitakia, mtu anashindwa kufanya uchunguzi juu ya hii biashara mwisho anaingia kichwa kichwa anapigwa hela mwisho anakuja kulalamika.Hii Serikali kanyaboya imeshindwa kutekeleza ahadi walizowaadi watz ktk campaign zao kujenga viwanda ikiwemo, sasa wameamua kutuletea matapeli.
ila nimecheka