Ubumwiichinguru
Member
- Sep 1, 2015
- 31
- 26
Ha ha ha eti "Good morning " Saa saba mchana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo Kampuni wana ka ' branch ' kao kamoja hivi kapo Sinza jirani na Hostels za UDSM ukienda hapo hata kama ni Saa Saba ( 7 ) mchana utasalimiwa kwa kuambiwa ' Good Morning ' na baada ya hapo utaanza ' Kuhubiriwa ' Kitapeli na Wanawake tofauti tofauti ambao huzungumza haraka haraka utadhani wamebanwa na Haja Kubwa na wanataka kuwahi Kujisaidia.
Good morning ndio uchawi wao labda[emoji1]Kwanza wakikuita kwenye ofisi zao hawakwambii unaenda kufanya nn utasikia "njoo rafiki kuna opportunity nzuri" ukienda unaweza juta poteza mda wako.
Kuna rafiki wa mchumba wangu alimualika pale Sinza, aliponieleza nikamkubalia.
Picha linaanza alipofika kituoni akampigia simu then akajamchukua, chakushangaza baada ya kuingia kwenye ofisi zao tu shosti yake akamgeukia akamwambia "good morning madam" alishangaa sana inakuaje jioni hii shosti ananiambia good morning? tangulini ananiita madam?
Baada ya semina ya siku tatu"udwanzi wa kiwango cha lami" akaja nieleza yote pamoja na kiingilio, kwakua hesabu hazijanipiga chenga tukaanza kunyumbulishaa.
Alitakiwa kutoa kiingilio cha 4m then atafute watu wawili watakao jiunga kupitia yeye, na kila mmoja atoe 4m, ukijumlisha wote watatu itakuwa 12m then yeye ndio anaanza pokea mgao ambao hauzidi laki 4.
Pia anatakiwa awasimamia hao wawili nao waingize watu wawili wawili yani wapatikane wapya 4 na kila mmoja atoe 4m jumla 16m, ili yeye mgao wake uendelee kupanda kufikia around 1.2m na asipofanya hivyo basi hautapanda. Jumla mpenzi wangu na tawi lake lote atatakia kufikisha 12+16= 28m ili mgao wake ufikia around 1.2m
Nikamwambia siwezi kuruhusu uzwazwa wa kiwangu hiko.
Hahaha kuna mchizi ananiambia yeye ni injinia wa bandari ameamua kuacha kaz maana qnet inalipa balaa alaf nikimchek mchizi amechoka kidizain kuliko mimi mwingine alikua muhandis barric ameacha mwingine tbl yaan utapeli flan ivi wakitoto
teh teh umeniwahi! hapa katolea hasira zake kidogo kwa kweli jana simba walifanya vizuri walipata matokeo yaliyopunguza makunyazi yetu! ikitokea wakapoteza mechi mbili mfululizo itakuwa poa sana!We GENTA mtani umeanza eeh...by the way vipi matokeo ya jana kule Shy? (off the book).
Nyingine ipo mikocheni, kuna siku rafiki yangu aliniita kuna ishu ya biashara tukaongee, duuh nimefika ilikuwa mida ya saa 9 mchana, nasalimiwa good morning, nikiwa bado kwenye mshangao maana nnawajua hao wadada kiingereza hakiwapigi chenga, anaingia mama mmoja mweupe mtu mzima nae kashusha good morning duuh nikajisemea hii ishakua balaa ngoja nisikilize nisepe nilijilaumu sana kupoteza mda wangu na sikuelewa yule demu aliniona mimi mpori pori ama niniHiyo Kampuni wana ka ' branch ' kao kamoja hivi kapo Sinza jirani na Hostels za UDSM ukienda hapo hata kama ni Saa Saba ( 7 ) mchana utasalimiwa kwa kuambiwa ' Good Morning ' na baada ya hapo utaanza ' Kuhubiriwa ' Kitapeli na Wanawake tofauti tofauti ambao huzungumza haraka haraka utadhani wamebanwa na Haja Kubwa na wanataka kuwahi Kujisaidia.
Kwa kweli hapa nimemuona NUNDA mmoja matata sana.Ni hatari kufanya jambo ambalo haulijui.
Nyingine ipo mikocheni, kuna siku rafiki yangu aliniita kuna ishu ya biashara tukaongee, duuh nimefika ilikuwa mida ya saa 9 mchana, nasalimiwa good morning, nikiwa bado kwenye mshangao maana nnawajua hao wadada kiingereza hakiwapigi chenga, anaingia mama mmoja mweupe mtu mzima nae kashusha good morning duuh nikajisemea hii ishakua balaa ngoja nisikilize nisepe nilijilaumu sana kupoteza mda wangu na sikuelewa yule demu aliniona mimi mpori pori ama nini
we waache kuna siku watamuelewa. na kama sio Mange kumlipua wale asingeongea kabisa. afu mleta mada ungeandika kabisa nini kimetokea had ikabidi ajieleze.Haya mnaomwita Mange mwongo sijui kichaa, na hili si aliwajulisheni yeye !? Oneni sasa waziri wenu anajitapisha ujinga, kweli MTU mzima, waziri bila aibu unashiriki kuzindua kitu usichokijua ?? Sasa jaribu kuwaza kama alitakiwa kutoa speech angeongea nini ??
Pia ni AIBU kubwa !!!!!!!!!!!!!Ni hatari kufanya jambo ambalo haulijui.
WaTz wengi wanapenda udaku ndio maana mange ana visitors wengi. Huku JF kuna mada fikirishi wapenda udaku huku hapawafai ndio maana watumiaji wa JF unaweza kujikuta mko watatu tu mtaa mzimaMange Kimbambi anamadhara zaidi ya jamii forum, Mange anavistor wengi zaidi ya jamii forum, Mange anaeffect kwenye jamii ya mtanzani zaidi ya anywebsite
Na hii ni kwasababu ya Mamoderator wa jamii forum...............................Najua hii itafutwa lakini jamii forum lazimu mujitathimi, Otherwise in two year inaenda kufa
hahahah..hhahaha..haaaaaaaaaaa...walah! dahNyingine ipo mikocheni, kuna siku rafiki yangu aliniita kuna ishu ya biashara tukaongee, duuh nimefika ilikuwa mida ya saa 9 mchana, nasalimiwa good morning, nikiwa bado kwenye mshangao maana nnawajua hao wadada kiingereza hakiwapigi chenga, anaingia mama mmoja mweupe mtu mzima nae kashusha good morning duuh nikajisemea hii ishakua balaa ngoja nisikilize nisepe nilijilaumu sana kupoteza mda wangu na sikuelewa yule demu aliniona mimi mpori pori ama nini