Lamisa Danish
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 285
- 626
Mh nae ameanza lini kuvuta bangi?mbona ametema chakula ya kuku yaan pumba na mashudu.ameamua kwa makusudi kabisa kutumia tumbo badala ya kichwa
Bashiru afe kifikra Mara ngapi. Yule Bashiru mwanazuoni na mchambuzi wa mambo siku hizi amebaki kutoa hoja utadhani amechutama msalani!!!Kufa na kuuawa ni vitu viwili tofauti, ataanza yeye kwanza kufa kifikra kisha ndipo upinzani ufe...Upinzani ni imani kama ilivyo dini yake!
Aliongea,kumfurahisha amlipaeHalafu alivyo hovyo anadhani kuna mtu yeyote ataamini anachokisema?
VitauwawKatibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema baadhi ya vyama hivyo huibuka wakati wa uchaguzi jambo linalovifanya vishindwe kukubalika.
Amesema kwa msingi huo, CCM kitaendelea kuimarika zaidi, akibainisha kuwa udhaifu wa vyama vingi vya upinzani ni kukosa watu sahihi wa kuviongoza.
“Adui wa vyama vya upinzani yupo ndani mwao wenyewe wasitafute mchawi lazima wakubali kubadilika,” amesema Dk Bashiru.
Source: Mwananchi