CCM ilimfia Kikwete, Upinzani umebakia kupambana na JPM, Mahakama, Bunge, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, majeshi yote ya Tz.Kama anaamini kuwa Watauwa Upinzani, anapoteza muda kabisa. Kama hiyo Kauli yake Ingekuwa sawa, basi tulitaraji Uchaguzi huu wa SM ndiyo ungekuja Kuwa Kipimo bora. Kiuhalisia, CCM haipendwi na Kazi iliyopo ni Kulazimisha tu Kupitia Majeshi ya Nchi!
Kama wanajiona Wapo Strong kwanini Watumie Majeshi? Usomi wa wapumbavu saana wa wakina Bashiru hawa.
Nadhani amepatwa na uwendawazimu. Eti vinaibuka wakati wa uchaguzi!! Hajui aliyevizuia visifanye kazi wakati wote?Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema baadhi ya vyama hivyo huibuka wakati wa uchaguzi jambo linalovifanya vishindwe kukubalika.
Amesema kwa msingi huo, CCM kitaendelea kuimarika zaidi, akibainisha kuwa udhaifu wa vyama vingi vya upinzani ni kukosa watu sahihi wa kuviongoza.
“Adui wa vyama vya upinzani yupo ndani mwao wenyewe wasitafute mchawi lazima wakubali kubadilika,” amesema Dk Bashiru.
Source: Mwananchi
Dr ameongea maneno ya kiubaguzi
Hazingatii haki ya upinzani
Hawajaweza na hawataweza hata siku 1 kuwashinda wananchi
Wameonyesha ujasiri wa roho mbaya na ulafi wa madaraka
Hakuna mamna njema ya kuongoza isipokua hila
Matamshi yake ni hatari kwa ustawi na usalama wa taifa
Si kazi ya chama tawala kulinda usalama wa taifa isipokua taasisi zinazosimamia usalama wa taifa
Misingi yao mibovu na sera zisizotekelezeka wanageuza upinzani kuupa picha ya ugaidi
Ni aibu mnoo
Ipo siku hao wanyonge watakua mbogo hata ikiwa ni chini ya utawala usiokua na vyama vya upinzani
Utaona kuwa ni viongozi wa majina tu,ila wamekosa maono na usimazi dhabiti
Swala si upinzani uongoze ila ni namna ipi wananchi wanapata mateso katika utawala wao
Dr awaze mara mbili si kutoa kauli za kizembe
Ni afadhali kuwa na elimu ya ngumbaru halafu ukawa na akili kuliko hawa akina bashiru wenye elimu ya makaratasi lakini wamekosa uelewa, weledi, utashi na hekima. Poor bashiru amesoma lakini akakosa akili.hapa ndipo ninshindwa kuelewa PhD za ma Daktari wetu Tanzania.
Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema baadhi ya vyama hivyo huibuka wakati wa uchaguzi jambo linalovifanya vishindwe kukubalika.
Amesema kwa msingi huo, CCM kitaendelea kuimarika zaidi, akibainisha kuwa udhaifu wa vyama vingi vya upinzani ni kukosa watu sahihi wa kuviongoza.
“Adui wa vyama vya upinzani yupo ndani mwao wenyewe wasitafute mchawi lazima wakubali kubadilika,” amesema Dk Bashiru.
Source: Mwananchi
Haviwezi kufa kimoja baada ya kingine Bali wataua kimoja baada ya kingine.Ni kweli wataviua ila hawataweza kuua upinzani.Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema baadhi ya vyama hivyo huibuka wakati wa uchaguzi jambo linalovifanya vishindwe kukubalika.
Amesema kwa msingi huo, CCM kitaendelea kuimarika zaidi, akibainisha kuwa udhaifu wa vyama vingi vya upinzani ni kukosa watu sahihi wa kuviongoza.
“Adui wa vyama vya upinzani yupo ndani mwao wenyewe wasitafute mchawi lazima wakubali kubadilika,” amesema Dk Bashiru.
Source: Mwananchi
Mh.Bashiru Ally,hivi vyama umevikuta ulipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu,amini utauacha Ukatibu Mkuu lakini hivi Vyama vitaendelea kuwepo hivyo kuviua haiwezekani sana sana mtawasumbua viongozi wanachama,na wafuasi wao lakini Mungu hulipa hapa hapa duniani.Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema baadhi ya vyama hivyo huibuka wakati wa uchaguzi jambo linalovifanya vishindwe kukubalika.
Amesema kwa msingi huo, CCM kitaendelea kuimarika zaidi, akibainisha kuwa udhaifu wa vyama vingi vya upinzani ni kukosa watu sahihi wa kuviongoza.
“Adui wa vyama vya upinzani yupo ndani mwao wenyewe wasitafute mchawi lazima wakubali kubadilika,” amesema Dk Bashiru.
Source: Mwananchi
Sio watanzania wote ambao watakubaliana na maneno ya kejeli ya Dk Bashiru.Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.