Show ya figo endelea tu hivi hivi kuisikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.