Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
Mjomba iddi yan huyu jamaa acha kabsa ni fundi asiye na mpinzan. Hao kina Mark wameanza kumsikiliza huyu ICONHakuna na hata tokea kama Capt. Derick Gasper Mkandara Rufufuuuuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu siyo Mshana jr kweli?Ngoja tuusindikize UZI vizuri na picha ya mr ACHECHEView attachment 1455254View attachment 1455255
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana wa digital hawawezi kumjua mkandara.Mjomba iddi yan huyu jamaa acha kabsa ni fundi asiye na mpinzan. Hao kina Mark wameanza kumsikiliza huyu ICON
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuwasindikizie na kapicha kdogo wamjue ICON wao!. #RIPMKANDALAHawa vijana wa digital hawawezi kumjua mkandara.
Alikuwa na vionjo vya kipekee sana. Toka enzi hizo hii lugha haipandi sielewi hata moja na mpaka leo angalau kidogo lugha inapanda lakini namkubali sana jamaa.
Jamaa alikuwa icon sana. Apumzike kwa amaniNgoja tuwasindikizie na kapicha kdogo wamjue ICON wao!. #RIPMKANDALAView attachment 1455565
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome kwanza aina zautafsiri, ndiyo uje tena kucomentKinachofanyika kwa hao uliowataja hapo juu mtoa mada/nyuzi SIO KUTAFSIRI movie BALI ni kuielezea/kuisimulia.
Wanaotasfiri movie toka lugha halisi iliyotumika hawawezi weka sauti nyingine za ziada kama kuielezea movie kabla haijaanza, au kwenye scene ya mapigano wahusika hawaongei ila unasikia mtu anasimulia mapigano hayo.
Ukitaka kujua jinsi movie zinavyotasfiliwa angalia tamthilia kwenye eiza dikoda za Azam au StarTimes.
Huko ndio kutafsili movie au kwa lugha ya kitaalamu ni DUBBING.
Dah yan acha tu huyu mshua alikuwa noma. Ukisikia anaongea saut ya kike anavyoirembaAlikuw
Alikuwa na vionjo vya kipekee sana. Toka enzi hizo hii lugha haipandi sielewi hata moja na mpaka leo angalau kidogo lugha inapanda lakini namkubali sana jamaa.
R.I.P
Umenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesiliaDah yan acha tu huyu mshua alikuwa noma. Ukisikia anaongea saut ya kike anavyoirembautapenda au aongee saut ya mtukutu BILL DRAGO kwenye movie ya delta force ya Churck norris.... Yan ni noma avyopita nayo km anadharau vile!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuw
Alikuwa na vionjo vya kipekee sana. Toka enzi hizo hii lugha haipandi sielewi hata moja na mpaka leo angalau kidogo lugha inapanda lakini namkubali sana jamaa.
R.I.P
Mkuu mwambie huyo mdogo wako hayo mambo ya utafsiri sio km hatuyajui tunayajua sana na tumeyasoma sana advance kwenye topic ya TRANSLATION & INTERPRETATION, mfano:Kasome kwanza haina zautafsiri, ndiyo uje tena kucoment
Umenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu, ujuaji ndio unatukwamishaMkuu mwambie huyo mdogo wako hayo mambo ya utafsiri sio km hatuyajui tunayajua sana na tumeyasoma sana advance kwenye topic ya TRANSLATION & INTERPRETATION, mfano:
Word for word translation
Semantic translation
Communicative translation.... nk
Ila hayo yote hatujataka kuyafatilia saaanaa, sis tunachofatilia zaid vionjo vyao sababu tukisema tufate wanachotafsiri bas tutawakosoa wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu najiandaa kuchek movie ya Churck norris MISSING IN ACTION kapita nayo mjomba lufufu, ni refresh mind + nicheke kdogoUmenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa karibu na wewe ningekuja kuzichukua aisee. Huku mtaani wamejaa hao kina Mark, Afro n.k ambao naonaga kama wananiumiza masikio tu.Nmecheka sana mkuu, yan huyu mjomba alikuwa anatupa burudan sana!. Ujue me ishu zangu za library hasa hizo movie za mjomba lufufu nnazo za kutosha tu, kwahyo cku nkijsikia kucheka kurefresh mind naweka movie moja ya jamaa naenjoy cku yangu saaaaf
Sent using Jamii Forums mobile app