DJ Mark namba moja

We ni mtoto hili chaka la wakubwa huwezi mwiko kutinga, biashara za shanga shazikufai waachie machinga.../
Kubishana na wewe siwezi,kwanza ni udwanz..eti mtu unajiita scars ,alafu unataka kubishana na djs
 
we boya usiwe na akili za kindezi, Kukaa nyuma ya kilabu hakukufanyi uwe mlevi.../
Wa uswazi mnajulikana tu,true
Kilabu ni msamiati mnaoujua nyie tu.
sema club au pub..mambo ya kilabu labda anayajua babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…