Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,399
"Kuwa na swag na kuwa whack kuna fine line"
Hapa hii umeielewaje?"Kuwa na swag na kuwa whack kuna fine line"
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha "kuwa na swagg" na kuwa mchanaji mbovu (Whack)... So Kosi anaweza kufikiri kuwa ana Swagg/style kali ya uchanaji lakini kumbe ametoka kidogo hapo yupo kwenye kuwa 'whack'Hapa hii umeielewaje?
kwahyo rapcha ni whack man?Kuna mstari mwembamba unaotenganisha "kuwa na swagg" na kuwa mchanaji mbovu (Whack)... So Kosi anaweza kufikiri kuwa ana Swagg/style kali ya uchanaji lakini kumbe ametoka kidogo hapo yupo kwenye kuwa 'whack'
"SPECIES zenu haziwezi order CLASS kwenye hii KINGDOM"


Mnaomshauri Kosi mtampoteza, atupe tu taulo akubali yaishe. Inamhitaji miaka mitano ya kusoma vitabu vya falsafa ili ajibu hata nusu ya content iliyopo kwenye hiyo ngoma.
Sio kawaida diss track kuwa na dakika 11 halafu kila baada ya line moja unapata punchline.
Mpaka sasa kwa hapa bongo list iko hivi;
1. Tribulation - Dizasta Vina
2. Futi 6 - P Mawenge
3. Neema wa mitego - Nikki Mbishi

That's what Jesusta meant,kwahyo rapcha ni whack man?
Jamaa nimemuelewa kwa maoni yakeView attachment 2485136

Niliielewa ile. Itoshe kusema Dizasta ni genius, na kinachonishangaza ni kwamba ukimsikiliza jamaa utagundua kuwa ame master kila angle kuanzia Literature, biology, maths, geography, siasa, imani n.kBasi kumbe tupo wengi tuliosikiliza btn the line
Dizasta ni mwandishi anatumia akili nyingi sana hata kueleweka kwake unahitaji utulize mdonga
Hivi nani anajua concept behind wimbo wa SHAHIDI??
Ukisikiza intro ya ile ngoma…ukaelewa basi we genius![]()


alizidisha chumvi kwenye mboga.That's what Jesusta meant,
Niliielewa ile. Itoshe kusema Dizasta ni genius, na kinachonishangaza ni kwamba ukimsikiliza jamaa utagundua kuwa ame master kila angle kuanzia Literature, biology, maths, geography, siasa, imani n.k



