Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,399
Hapana,alizidisha chumvi kwenye mboga.
Kwani Rapcha ni level za kina lunya?
Lunya ni zaidi ya Rapcha.
Hapana,alizidisha chumvi kwenye mboga.
Kwani Rapcha ni level za kina lunya?
Hahah kwenye nini? kwenye kubana pua au?Hapana,
Lunya ni zaidi ya Rapcha.
'Habembelezi warembo kama Mario' anamaanisha Marioo huyu msanii kwa zile ngoma zake za kubembeleza au Marioo yenye maana ya mwanaume kuwa kulelewa au kuwa king'asti kwa wanawake wenye uwezo kipesa?..Maana anaweza kuibuka Marioo msanii na Dis track take hapa
![]()


itakuwa kali ya Karne Marioo aje na Diss track kwa Vina, anyway sidhani kama itakuwa hivo, cheki reaction yake
Sema wewe mkuu, tukisema wengine kuwa jamaa ni Genius tunaonekana machawaNiliielewa ile. Itoshe kusema Dizasta ni genius, na kinachonishangaza ni kwamba ukimsikiliza jamaa utagundua kuwa ame master kila angle kuanzia Literature, biology, maths, geography, siasa, imani n.k
"Leo wananiita Bar builder/Sema wewe mkuu, tukisema wengine kuwa jamaa ni Genius tunaonekana machawa
Kwenye kila wimbo wake lazima utapata kitu cha tofauti kulisha katika Akili yako, maana anagusa angle nyingi sana
Mfano tucheki baadhi ya maneno kwenye diss ya Rapcha
Nenda forth and back kama ping pong/
SPECIES zenu haziwezi/
ORDER CLASS kwenye hii KINGDOM
Leo wananiita Bar builder/
Level 5 SORCERER kutoka far FUTURE/
Alien illuminat nakaa nyumba/
Area 51 triple 666 au Bermuda
Nina kiatu huwezi ukavaa njuka/
Hasa anaefanya Rap sababu ya fuba au Njaa ya fuba/
Heavy Element iliyozaliwa baada ya Star kufa
Ogopa Ma-pythagoras ma Schroedinger/
Ma documentary flani kweye monitor/
No one is insane enough to battle me/
I'm so scary I'll wear my own mask for Halloween
Kuwa na kikomo joh, basi ukikosa kazi no/
Don't slap asses that's Homo bro/
With all due respect to Rapcha, ila tukiwa wakweli ni kwamba kwenye hizo verse kuna vitu viko juu sana ya uelewa wa Rapcha
Ata Dizasta mwenyewe analijua hilo kuwa Rapcha katika uzani bado sana na ndomana kuna sehemu akasema kuwa
God your so young this is Felony/
I apologize i fall on my knees/
Ata yaimbe Makerubi na Maserafi
I'm already twice the MC he'll ever be
Mashabiki maandazi watakwambia ohhh inakuaje mtu anaandika dakika 8-11 kumdiss mtu huo ni uwezo mdogo, brohh huo ni uwezo mkubwa sana na wanao watu wachache
Kama unaandika verses za kuunga unga huwezi kuandika ata dakika 5 na ukabaki kwenye mada husika, Dizasta anaweza kuandika wimbo wenye saa nzima na bado ukaeleweka coz jamaa ni Verteller lakini pia ni Genius
Mkuu Dizasta vina fid q yeye anamuita Monster of entendre, yani anaweza imba kitu chenye maana zaidi ya moja"Leo wananiita Bar builder/
Level 5 SORCERER kutoka far FUTURE/
Alien illuminat nakaa nyumba/
Area 51 triple 666 au Bermuda"
Mfano hapa, Huyu Level 5 Sorcerer (Dizasta) unaweza kumuita Allien au Illuminati... Na Area 51 Nyumba namba 666 au Bermuda amezitumia kama physical address ya sehemu anapotokea.
Men Rapcha amebakwa, Dizasta kaua mende kwa bunduki.
Sidhani kama Kosi anaelewa hata robo ya kilichoandikwa humo.
Mkuu Dizasta vina fid q yeye anamuita Monster of entendre, yani anaweza imba kitu chenye maana zaidi ya moja
ila hapo kwenye leve 5 sorcerer ni Aina ya uchawi ambao unafundishwa katika nchi za magharibi kwahiyo hapo jamaa anasema yeye ni mchawi katika level ya 5 na katika level hiyo wana sifa zao ambazo zinawatofautisha na wengine
Hapo kwenye Area 51, ni highly classified United States Air Force (USAF) facility within the Nevada Test and Training Range, kambi ya Siri ya kijeshi ya Marekani ambayo inapatikana Nevada, inasemekana huko wanafanya majaribio ya vitu vingi vya siri ikiwemo kufanya genetic mutations
Area triple 666 pia ni number inayotumiwa na illuminat lakini pia ni number inayomaanisha mnyama mkatili/wa ajabu/Monster tafsiri hii ni kutoka katika kitabu cha ufunuo
Kwahiyo jamaa anaweza kuandika vitu ambavyo yeye anamaanisha kitu kingine ila anawapa maana ingine muhangaike nayo, mfano kwenye wimbo Mwanajua kila mtu ana tafsiri yake
"mara ya mwisho alionekana ziwa Tanganyika".Mwanzo nlivosikiza “MWANAJUA” Nlliona amepotray jua kama “mawingu fm” ila nmesikiza tena na tena ndo nkaelewa ni late president
Ndio nilichokuwa nakiongelea mkuu, nyimbo za jamaa nyingi zinakuwa na maana mbili Hadi Tatu tofauti, inabaki kazi ya mskilizaji kuumiza kichwa na kujipa majibuMwanajua ni late president JPM
Sikiza vizuri tena ule wimbo..
Unajua “almasi” ni nani?
Ndio nilichokuwa nakiongelea mkuu, nyimbo za jamaa nyingi zinakuwa na maana mbili Hadi Tatu tofauti, inabaki kazi ya mskilizaji kuumiza kichwa na kujipa majibu
Kwahiyo kwa upande wako unaweza kuhisi alikuwa anaongelewa JPM kuna uwezekano ukawa Sawa lakini pia kuna uwezekano usiwe sawa maana hiyo sio tafsiri rasmi ya mtunzi
Alizaliwa mashariki...... na mwisho alionekana ziwa Tanganyika (magharibi)"mara ya mwisho alionekana ziwa Tanganyika".
Ni kweli JPM alionekana Kigoma mara ya mwisho?
Kasome literature kwanza anza na kitabu kinaitwa "beautiful one are not yet born" ni mfanano wa sanaaa alotumia dizastavina....washirikeshe na walio kuelekeza mwanzo mpate elimu wote.Tuambie unachofikiri
Mkuu kama wewe umesoma nadhani inatosha, tusaidie tu kufungua hizo codeKasome literature kwanza anza na kitabu kinaitwa "beautiful one are not yet born" ni mfanano wa sanaaa alotumia dizastavina....washirikeshe na walio kuelekeza mwanzo mpate elimu wote.
Stori nzima inahusiana JUA, sikiliza wimbo vizuri na kama kuna mstari huelewi uweke chini nitakupa tafsiri yake.Mkuu kama wewe umesoma nadhani inatosha, tusaidie tu kufungua hizo code
Sawa mkuuStori nzima inahusiana JUA, sikiliza wimbo vizuri na kama kuna mstari huelewi uweke chini nitakupa tafsiri yake.
Mwanajua ni "JUA"Mwanajua ni late president JPM
Sikiza vizuri tena ule wimbo..
Unajua “almasi” ni nani?