Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Diwani wa kata ya Lugata(Adrian Tizeba) Sengerema amejiunga rasmi na chadema na ameondoka na mh Lema kutoka sengerema kwenda Geita ambapo atakabidhiwa kadi nakatibu mkuu wa chadema Dr. Slaa na kesho madiwani wanne jimbo la sengerema na wenyeviti wa vitongoji 22 watajiunga na chadema...
Source: Godlbess Lema
================
Kwenye picha hapo juu Diwani Tabasamu(aliyevaa kombati wanaokumbatiana) akipokelewa na makamanda...Kwa mjibu wa Ben
Source: Godlbess Lema
================
huyo diwani amekabidihiwa kadi ya chadema na slaa muda huu huko geita
Kwenye picha hapo juu Diwani Tabasamu(aliyevaa kombati wanaokumbatiana) akipokelewa na makamanda...Kwa mjibu wa Ben