Diwani wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga mjini (CCM) afariki dunia

May his soul rest in eternal peace. Hizi ajali za pikipiki zinamaliza watanzania wengi sana. Mkuu uliyepo eneo la tukio kama unaweza hebu tujuze zaidi, ajali imetokeaje?
 
RIP diwani mpendwa!

Muda mwingine tena kula wali dagaa kwa magamba!! Kura kwa magwanda.
 
R.I.P Diwani,tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi!Ila mkuu ni vizuri watu wakajua alikuwa chama gani,sema labda maneno kama magamba au magwanda yasitumike na badala yake yatumike majina sahihi ya vyama kama ccm au chadema

reffer the topic heading
 
Ni kweli amefariki dunia baada ya kugongana na mtendaji wa kata ya bukene ambaye nae yuko hoi hospitali. Alikuwa diwani kupitia gamba lakini hakuwa mwanagamba. R.I.P MAGINA JILUNGU
 
Amemeliza kazi aliyoitiwa na Mola ya kuwanyonya na kuwasababishia umaskini wana shinyanga but anya way Mungu mpokee na sisi Chadema tuakachukue kata yetu si unajuwa kwetu hapa shnyanga ccm ni chama cha upinzani hta muimba taarabu wa magamab Nape anajuwa hilo
 
Back
Top Bottom