Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.

watu wa 4 kwa kesi ya kubambikwa...na yule kada wenu aliuwa wangapi kwa ghorofa. mlivyo 'matundu' ni wepesi kweli wa kusahau.
 
Mkuu matukuta, uongo ni dhambi kubwa sana kama issue huijui sio vyema kupotosha umma. Watu wanne kweli waliuawa kata Lutoro wilayani Muleba tarehe 17 na 18 mwezi uliopita. Watatu ni wafanyakazi wa wafugaji/wawekezaji na mmoja ni mkulima. Chanzo ni mgogoro wa ardhi. Diwani wala hakuwepo ata sehemu ya tukio, kwa kutaka sifa mkuu wa wilaya akaagiza police akamatwe diwani na mtendaji wa kijiji kwa sababu za kisiasa na kuwahusisha na tukio hilo.
 
Wewe ndio mpotoshaji na ni muongo..mbona hukutaarifu hapa siku zote hizo hadi matukuta ameweka ndio unakuja kupinga???????? Use ur brain plz
 
aaaaaah kumbe ndio maana akilizao ziko ivyo leo umenifungua nilikua nashindwa kuwaelewa maskini hawa ni wakuwasamee bure

Wote watoto wa watu hawa wanashikishwa maiki na kuosha marungu ya wakuu wa pale Ufipa street.
 
Duu ukombozi una vikwazo vingi sana mtu unauziwa kesi ya mauaji kisa tuu we huko ccm!!
 
Umesahau yule wa CCM aliyeua mwenyekiti wa TLP na mtu mwingine huko huko kagera? Au hadi tuweke picha ndo uelewe?
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.

Kapumzike chooni hadi ithibitike ukweli wako...magamba mkubwa wee!
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.

Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.
Vipi alishamgea hilo koromeo?!
 
Jamani hiki Chama sasa ni mufilisi.
Tendwa tupa hiyo takataka dustbin.
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.

Wana Chadema wenzangu tumpe Uenyekiti Zitto Kabwe kwani haya yote hayawezi kutokea ndani ya Chama chetu.
Hivi mmemuona wakati akichangia Kwenye Bajeti ya Mambo ya Ndani ya Nchi!?

Ushabiki wa DINI ni hatari sana!
 
Hawa watu ni majambazi hawa

Haya sasa,
haya Ndio tunayoyaogopa,

Mbona imewagusa sana au ndio moja ya mihemko yenu?

Haya nawe kachukue viroba vyako vinakusubiri kinondoni

Aaaaaah kwani hujawazoea tu hawa ni malaika bwana huwa hawakosei..kitu kimetangazwa kwenye habari ya saa2 lakini bado wanapinga

Lipi jema kwenu huyo USHINDI DAIMA ameeleza kilicho chake.
Lakini wewe unamcrash kuwa atoe ushabiki wake.
Pia inadhihirisha kuwa ninyi mnalipwa kutokana na ulichokiandika hapa.

Shehe ILUNGA wafuasi wako hawa hapa!
 
Wewe ndio mpotoshaji na ni muongo..mbona hukutaarifu hapa siku zote hizo hadi matukuta ameweka ndio unakuja kupinga???????? Use ur brain plz
ukiripoti wa kwanza ndo unakuwa mkweli! Hicho kipimo chako cha ukweli ni kiboko
 
sasa kama kawaua majambazi kuna tatizo gani?maana hujatoa sababu za mauaji hayo..
then aliyeua ni (X),ambaye ana wadhifa wa udiwani,na sio diwani ndye aliyeua.
unahusisha vp mauaji hayo na chama?
mbona nyie nyinyiemu hatukuwahusisha na mauaji ya mwangoc?

Na yule diwani ukanda huo huo aliyeuwa watu wawili kwa kuwapiga kwa kuwa hawakuenda kufanya kazi ya ukibarua shambani mwake kisha kutoroka na baadae kukamatwa alikuwa wa CHADEMA?
 
ccm mtatafuta pa kuponea lakini hamta paona. arobani zenu zimefika. watu hawawapendi kuanzia MTWARA HADI ARUSHA,RUVUMA HADI KAGERA, DAR HADI KIGOMA. mimi ndio kabisaa nimewachoka hakuna mfano
 
Mkuu bora ungekaa kimya tu, hata hapa we umeonyesha ubendera wako. na kukosa ubinadamu na busara.
Nina maana kuwa mambo ya kisiasa yanayoendelea kufanyika hapa nchini yanavumiliwa, ila upo mwisho wa wananchi kuvumilia. mfano:- jinsi mfumo wa bunge unavyoendelea, mbunge anasimama anaeleza mapungufu ya wizara almost 90%, halafu anaunga mkono hoja kwa 100%, si tu kwamba wanatuona wananchi ni mazezeta, bali lazima wajue yana mwisho. Wananchi wa tz, wamekuwa wavumilivu, wamekuwa na subira, ila iko siku wataishiwa subira, lolote laweza kutokea. Kuna mambo mengi yanaenda ndivyo sivyo, mgawanyo wa rasilimali adimu za taifa zinakwenda ndivyo sivyo, pengo baina ya walionacho na wasionacho linazidi kupanuka, makanisa yanazidi kuchomwa, watumishi wa Mungu wanauwawa, wanasiasa wanazidi kujirundikia mabilioni nje ya nchi na serikali inajua ila hatua hazichukuliwi. si kwamba watz ni mazezeta kihivyo, ila mwisho wa siku, watu huishiwa subira, na hayo unayoanza kuona sasa, ni dalili tosha za kuishiwa subira. ndiyo maana nikasema "Patience must have limits" There is an upper as well as lower limit of patience. Let we wait, then we will suffer the consequences of it. Lazima hatua za maksudi zichukuliwe na serikali kama kweli wanataka kulinusuru taifa hili na matatizo yanayoanza kujitokeza. "Ukiona kunafuka moshi, ujue kumeficha moto" Kukaa kimya (hapo kwenye red) ndani ya taifa ambalo unaona linaelekea kuteketea, inashindikana. ndiyo maana unaona tunasema, ingawa inawezekana wahusika hawaelewi. Mungu akubariki sana, kama utakuwa umenielewa.
 
Back
Top Bottom