Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

Huyu Diwani juzi tar 5/01/2012 ndiyo alijisalimisha na siyo yeye peke yake kwani aliongozana pia na nafikiri aliyekuwa M/kiti wa CUF hapa jijini na wengine wengi tu ambao nashindwa hata kuwataja,Na kiliwafurahisha wanaCDM waliokuwa uwanjani hiyo juzi ni huyu mawazo kurudi maana MB Lema alishamwambiaga enzi ya kampeni ya kwamba wewe ni kijana mpiganaji lakini bado unang'ang'ana na mafisadi wakati unaona hali ilivyo kwa Watanzania.

Sasa kwa wale wana CDM wanaomjua kule mtaani kwake walimpokea kwa shangwe kweli kweli maana anakubalika na kaambatana na wadau wake na wote wamepewa kati na Kijana mdogo kamanda wa watoto kama kiapo ya laana kama watawasaliti na hiyo laana ya kukaribishwa na mtoto iwapate huko huko pamoja na wale waliotoka CUF na huku mtaani kwetu kuna wanachichiem wengine jana wameenda pale ofisi ya CDM kuchukua kadi na kuzirudisha ya mafisadi baada ya mhenyo wa miaka 50 ya uhuru ya watu kuteseka bila ya kuwepo na maji karibu miezi sasa maji ni tabu balaa hapa Arusha.

Kwa kweli wote waliorudisha kadi ya mafisadi wamepokelewa kwa vififijo na nderemo hapo uwanjani hasa wakiongozwa na hawa viongozi wawili wa vyama pinzani CUF & ccm!
unajua Liverpool hukututendea haki juzi..huku eleza matukio yote mhimu au tukuvue gamba......hahaha
 
Nadhani wakati umefika serikali iangalie kwa makini athari za MIRUNGI mkoani Arusha, maana watu wa Arusha hawaeleweki kabisa!
 
Huyu Diwani juzi tar 5/01/2012 ndiyo alijisalimisha na siyo yeye peke yake kwani aliongozana pia na nafikiri aliyekuwa M/kiti wa CUF hapa jijini na wengine wengi tu ambao nashindwa hata kuwataja,Na kiliwafurahisha wanaCDM waliokuwa uwanjani hiyo juzi ni huyu mawazo kurudi maana MB Lema alishamwambiaga enzi ya kampeni ya kwamba wewe ni kijana mpiganaji lakini bado unang'ang'ana na mafisadi wakati unaona hali ilivyo kwa Watanzania.

Sasa kwa wale wana CDM wanaomjua kule mtaani kwake walimpokea kwa shangwe kweli kweli maana anakubalika na kaambatana na wadau wake na wote wamepewa kati na Kijana mdogo kamanda wa watoto kama kiapo ya laana kama watawasaliti na hiyo laana ya kukaribishwa na mtoto iwapate huko huko pamoja na wale waliotoka CUF na huku mtaani kwetu kuna wanachichiem wengine jana wameenda pale ofisi ya CDM kuchukua kadi na kuzirudisha ya mafisadi baada ya mhenyo wa miaka 50 ya uhuru ya watu kuteseka bila ya kuwepo na maji karibu miezi sasa maji ni tabu balaa hapa Arusha.

Kwa kweli wote waliorudisha kadi ya mafisadi wamepokelewa kwa vififijo na nderemo hapo uwanjani hasa wakiongozwa na hawa viongozi wawili wa vyama pinzani CUF & ccm!

Asante Liverpool.Sasa kwa hali hii ccm imebaki na madiwani wangapi?
 
unajua Liverpool hukututendea haki juzi..huku eleza matukio yote mhimu au tukuvue gamba......hahaha
Niliopo muumba juzi aaeleze matukio mkaniita Kilazamara gamba poa tu Nlijua tu uwanjani kuna matukio muhimu kama haya Liverpool FC hatutendei haki kabisa

Kuhusu maji Arusha nawashauri fanyeni kama walivyo fanya raia wa hapa Mbalizi - Mbeya itasaidia sana
 
Huyu Diwani juzi tar 5/01/2012 ndiyo alijisalimisha na siyo yeye peke yake kwani aliongozana pia na nafikiri aliyekuwa M/kiti wa CUF hapa jijini na wengine wengi tu ambao nashindwa hata kuwataja,Na kiliwafurahisha wanaCDM waliokuwa uwanjani hiyo juzi ni huyu mawazo kurudi maana MB Lema alishamwambiaga enzi ya kampeni ya kwamba wewe ni kijana mpiganaji lakini bado unang'ang'ana na mafisadi wakati unaona hali ilivyo kwa Watanzania.

Sasa kwa wale wana CDM wanaomjua kule mtaani kwake walimpokea kwa shangwe kweli kweli maana anakubalika na kaambatana na wadau wake na wote wamepewa kati na Kijana mdogo kamanda wa watoto kama kiapo ya laana kama watawasaliti na hiyo laana ya kukaribishwa na mtoto iwapate huko huko pamoja na wale waliotoka CUF na huku mtaani kwetu kuna wanachichiem wengine jana wameenda pale ofisi ya CDM kuchukua kadi na kuzirudisha ya mafisadi baada ya mhenyo wa miaka 50 ya uhuru ya watu kuteseka bila ya kuwepo na maji karibu miezi sasa maji ni tabu balaa hapa Arusha.

Kwa kweli wote waliorudisha kadi ya mafisadi wamepokelewa kwa vififijo na nderemo hapo uwanjani hasa wakiongozwa na hawa viongozi wawili wa vyama pinzani CUF & ccm!

Kama siyo kweli vile. Lakini wakati mwingine uzalendo unauma kushinda maralia sugu, ndo mana duniani wametokea watu walioitwa mashujaa hata baada ya wao kuondoka dunoani. Hongera diwani kijana kwa kuonesha uzalendo kamili. Bila shaka anayejiita meya wa jiji hayuko mbali atufuata pamoja na mdiwani wengine waliobaki.
 
Huyu diwani Mawzo Alphonce mimi simuamini sana. Hana msimamo thabiti kisiasa ni mtu wa kuyumba yumba sana.

Labda watu wa Arusha mnaomfahamu kwa undani mtueleze ni mtu wa namna gani.
Kwanini anahama hama vyama? Mara tlp, mara ccm, mara chadema!
 
alhamdulilah mimi nitafurahi sana ikiwa hivi ili kuongeza idadi ya wapiganaji kwenye chama.
HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Heshima kwenu wakuu,

Duh mambo mengine inabidi mtu uchekee mwenyewe kama kichaa tangu lini Mawazo kawa mpiganaji ?.Mawazo ni dalali wa siasa hana msimamo hata kidogo,hajulikani anapigania nini ?,Ni mwanasiasa mbabaishaji kupita maelezo,Ni rahisi kutumiwa kwakuwa bei yake inajulikana.

Kati ya mambo ya kipumbavu kuwahi kufanywa na CDM Arusha pengine hili laweza kushika nafasi ya kwanza.
 
Nafuu huyo Diwani kasoma alama za nyakati pale A-Taun kabla CDM / BAVICHA havijaingia rasmi na 'Operasheni Chakaza UFISADI CCM Arusha' chumba hadi chumba kabla ya uchaguzi mdogo kufanyika pale. Machlii ndio kbisaaa usipime tena.
 
Back
Top Bottom