Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jan 6, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ni Alfonce Mawazo.

  Source: Sunrice Radio
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  vipi ingekuwa ni pemba ungeshangaa?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mrembo Malaria Sugu umependeza, nataka kuja toa posa uko twayari?
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wakati mwingine siasa ni kama mchezo wa pata potea.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu siko Arusha hebu tupe habari kamili
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is this true?
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaenda kumtolea posa msomali? angalia mkuu! al shabaab hao
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Chadema wamemnunua huyo ana njaa
   
 9. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jamani ni kweli ama uwongo kwa huyu diwani wa kata ya sombetini (Arusha mjini) ndugu Alfonce Mawazo kahamia chadema.!? Mko wapi wadau wa arusha? Tupeni news updates toka huko, wapi crashwire, wapi Nanyaro, wapi Liverpool fc?
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  utajibeba na kijiba cha roho mbona Pemba huwashangai?
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huna uhakika wowote we bear. Unaijua history ya huyo diwani Mawazo.
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo CHADEMA wana fweza kuliko magamba?
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  imekaa vizuri sana.
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  habari njema kwa CDM. hongera diwani hayo ndo maamuzi ya kikamanda. karibu sana kamanda.
   
 15. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tupe taarifa za uhakika bwana.
   
 16. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  malaria haikubaliki!!!
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ipo vizuri!
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  wapi Paka Jimmy?
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  kwa mijibu wa stori za vigenge vya gahawa pale tunapokusanyika kujengana kiimani na kuhamasishana kuhusu umuhimu wa ileeeeee mahakama yetu, cdm iko 'safi' kuliko gamba
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Huyu Diwani juzi tar 5/01/2012 ndiyo alijisalimisha na siyo yeye peke yake kwani aliongozana pia na nafikiri aliyekuwa M/kiti wa CUF hapa jijini na wengine wengi tu ambao nashindwa hata kuwataja,Na kiliwafurahisha wanaCDM waliokuwa uwanjani hiyo juzi ni huyu mawazo kurudi maana MB Lema alishamwambiaga enzi ya kampeni ya kwamba wewe ni kijana mpiganaji lakini bado unang'ang'ana na mafisadi wakati unaona hali ilivyo kwa Watanzania.

  Sasa kwa wale wana CDM wanaomjua kule mtaani kwake walimpokea kwa shangwe kweli kweli maana anakubalika na kaambatana na wadau wake na wote wamepewa kati na Kijana mdogo kamanda wa watoto kama kiapo ya laana kama watawasaliti na hiyo laana ya kukaribishwa na mtoto iwapate huko huko pamoja na wale waliotoka CUF na huku mtaani kwetu kuna wanachichiem wengine jana wameenda pale ofisi ya CDM kuchukua kadi na kuzirudisha ya mafisadi baada ya mhenyo wa miaka 50 ya uhuru ya watu kuteseka bila ya kuwepo na maji karibu miezi sasa maji ni tabu balaa hapa Arusha.

  Kwa kweli wote waliorudisha kadi ya mafisadi wamepokelewa kwa vififijo na nderemo hapo uwanjani hasa wakiongozwa na hawa viongozi wawili wa vyama pinzani CUF & ccm!
   
Loading...