Diwani kata Mlangali Ludewa ajinyonga

Nimeshitushwa sana na kifo cha diwani huyo kwa sababu nilifahamiana naye kikazi zaidi, lakini alikuwa mtu makini sana. waliosababisha kifo chake wailipe hiyo saccos ili ndugu wasiingie kwenye deni hilo.
 
Kweli inatisha, the late diwani amezikwa leo ktk makaburi ya kanisa katoliki mlangali, japo kanisa liligoma kuzikwa eneo hilo ila jamii iliforce, maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya diwani huyo ambaye amezikwa kipagani kutokana na nature ya kifo chake. Kutokana na msululu huo naweza kusema kwamba mheshimiwa alikuwa alikuwa kipenzi cha watu wengi.
 
We unafikiri angefanyeje? Milioni 81 hizo ni mali ya saccos sio zake sasa angezirudisheje? Kweli pesa mwanaharamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom