Diwani CCM akimbilia Chadema

Kama vile ulikuwa akilini mwangu,huyu jamaa wanammaliza.


wanasiasa wa bongo wengi sana ni vilaza tu sijui hata kama huwa wanasoma maana mambo wanayoyafanya ni local sana!eti mtu waziri mzima anapewa degree ya zawadi nae anakubali na kufurahia akiitwa dokta wakati wengine wanahangaikia miaka nenda rudi tabu tupu!sijui hata tunakwenda wapi na mambo haya wameanza kurithishana na kwa watoto wao!
 
Je ni Madiwani wangapi waliokwisha jiuzulu tangu uchaguzi mkuu?
Kwa wale nilionataarifa nao mpaka sasa ni 5 je kuna wengine unaowafahamu?
Rolya---------------------- 3
Arusha-------------------- 1
Na huyu wa Manyara---- 1
halafu wengi wanatoka ccm kwenda chadema!!!sijasikia wa kutoka chadema kwenda ccm
 
halafu wengi wanatoka ccm kwenda chadema!!!sijasikia wa kutoka chadema kwenda ccm

Kilimasera huna Avatar nyingine?
avatar20144_2.gif
 
tuseme ukweli aliye au anayeshabikia ccm ujue kuna kimkate cha leo anapata anasema kesho potelea mbali!maana utawala mbovu wa ccm unamgusa kila mtu!soma mwananchi ya jana:wenye viwanda kuvifunga wakati wowote ni hasara wanayopata kutokana na tanzania kutokua na umeme wa uhakika!hapo ajira kiasi gani kupotea? Drc wana mradi inga power plants wanataka uzalize 100 000mw kutoka 3500mw za sasa!chini ya ccm hata 600mw hatuwezi

acha kumsema mathread wazi wazi si useeme nani
 
Tutaendelea kuibomoa CCM mpaka kieleweke, waache ufisadi wanaonaendelea nao wa kutesa wananchi. Kwa sasa umefika wakati wa kuacha malumbano na kuleta maendeleo kwa wananchi wetu, sio wa Chadema wala kwa CCM pekee.”
Kamili alisema kuwa kwa sasa ni wakati wa kuwaelenza wananchi umuhimu wa kukiunga mkono Chadema kwa sababu ndicho chama mbadala ambacho kinawenza kuboresha maisha ya Watanzania walio wengi.
 
CCM chama kubwa suo kama chadema wanatumia unyonge wa maskini kujipatia umaarufu

kauli nzito hiyo umeipata wapi!angalia maana hata cm jaribu kuchunguza nguvu yao wanaipata wapi ili kupata umaarufu nadhani jibu utalipata mwenyewe!
 
Ukiona baba anasema linginge na mtoto anasema lingine wakati wanatoka nyumba moja ujue huko ndani kumesha waka moto kila mmoja ana tafuta kwa kukimbilia...........UVCCM vs CC ya CCM
 
kafanya maamuzi mazuri kukiama chama cha mafisadi karibu cdm tuendeleze mapambano yakweli
 
Amefanya jambo la maana, maana kama alikuwa hawamuamini kwa kumtuhumu na upinzani tayari ameenda waliko kuwa wana mhisi! Wanyamaze sasa, na waone uchaguzi ulikifanyika nini kitajiri.
 
ccm ni mashine na huyo kama tone la maji kwenye bahari

Mtu wa Pwani a.k.a Mkwere huyo diwani hakuwekwa pale na Makamba, Kinana wala Chiligati aliwekwa na wananchi nadhani ni pigo jingine takatifu kwa CCM, roho inawauma lakini mnajikaza tu!
 
Back
Top Bottom